WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na malumbano ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo!
Kubwa linalogombaniwa hivi sasa ni nani awe Mwenyekiti wa chadema Taifa?!
Kuna mafahari wawili ndani ya chadema,fahari mmoja akitakiwa na kikundi kidogo cha wachumia tumbo na fahari mwingine akiwa hitaji la wanachadema kila kona ya nchi!
Hapa nawazungumzia Freeman Alkael Mbowe na Zitto Zubeir Kabwe!
Wakati ambapo Mbowe anapiganiwa na kikundi kidoogo cha wanachadema na hasa wale wasiokuwa na uwezo hata wa kuongoza,Zitto anaungwa mkono na wafuasi wengi wa chama hicho kila kona ya nchi.
Ndiyo maana zitto akatangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho,ingawa si mara ya kwanza kwa zitto kugombea nafasi hiyo mbapo mara ya kwanza alifanyiwa mizengwe ili Mbowe ashinde na ndicho kilichotokea,akatulia akajipanga upya!
Safari hii baada tu ya kuonesha njia na kwa sbb uchaguzi uko mlangoni,vitimbi vikaanza kwa lengo la kumchafua zitto na waliokuwa wakifanya fitina hizo kupitia mitandaoni ni wale wale wachumia tumbo,wenye njaa kali,na wakwapuaji wa nafasi za uongozi!
Kubwa linalotafutwa na wabakaji hao hao wa siasa ni kumfukuza zitto ili mradi tu asiweze kugombea.
Kilichopo sasa zitto kakimbilia mahakamani kupinga kikao cha cc ambacho hicho hicho kilimwadhibu tena kwa kukiuka kanuni,then kinarudi tena kutaka kubaka nafasi y kutoa maamuzi,nafasiambayo siyo yake.
Sasa kinachokuja kutokea kwa sababu tayari chadema wamemtuhumu zitto kutumiwa na ccm ili kuimaliza chadema endapo hatatimuliwa na kuendelea kuwa ndani ya chadema na kugombea nafasi hiyo,wapo waasi wengine ambao watatumia nafasi hiyo kuimaliza chadema ili kumalisha hoja ama tuhuma zao hii ni kwa sbb wasaliti ndani ya chadema wapo wengi!!
Lakini hata kama chadema watamtimua zitto kutoka chadema bado chama kitasambaratika tu kwa sbb ukifuatilia mtifuano unaoendelea unabaini kwamba wafuasi wa zitto wako serious na ni wengi lakini wale wasiomuunga mkono wengi wao wanafatanmkumbo,wanatemgenezwa ili wamshambulie na kumpinga kama ilivyokuwa jana kwa Ben kuwaalika watu kuhudhuria mahakamani kwa mujibu wa moja ya ujumbe uliopostiwa humu ndani kwenye thread ile ya Yericko Nyerere juu ya mwenendo wa kesi!
Ndiyo maana wengi wanaona kusambaratika kwa chadema kabla ya mwaka 2015 kama alivyotabiri Wassira kuko pale pale,wawe wamemtimua zitot ama wamemwacha!

Una akili ndogo kupita kiasi hata cha kawaida....na mwajiri wako pia katika kazi hii unayoifanya
kweli akili ndogo mtu anakimbilia mahakamani unasema ana wafuasi wengi? Hakuna mgogoro cdm ni huu uchafu tunataka safisha. Yaani boss wako na weweAhsante mkuu House of Commons.vipi hizo ulizonazo umetumiaje kumsaidia kuisaidia chadema ili kuacha ubaguzi wa ukabila,pamoja na kutatua mgogoro unaondelea,au na wewe akili zako ndogo?!
naona kazi hii inakulipa zaidi kuliko ile nyingine ......(tigo)Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na malumbano ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo!
Kubwa linalogombaniwa hivi sasa ni nani awe Mwenyekiti wa chadema Taifa?!
Kuna mafahari wawili ndani ya chadema,fahari mmoja akitakiwa na kikundi kidogo cha wachumia tumbo na fahari mwingine akiwa hitaji la wanachadema kila kona ya nchi!
Hapa nawazungumzia Freeman Alkael Mbowe na Zitto Zubeir Kabwe!
Wakati ambapo Mbowe anapiganiwa na kikundi kidoogo cha wanachadema na hasa wale wasiokuwa na uwezo hata wa kuongoza,Zitto anaungwa mkono na wafuasi wengi wa chama hicho kila kona ya nchi.
Ndiyo maana zitto akatangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho,ingawa si mara ya kwanza kwa zitto kugombea nafasi hiyo mbapo mara ya kwanza alifanyiwa mizengwe ili Mbowe ashinde na ndicho kilichotokea,akatulia akajipanga upya!
Safari hii baada tu ya kuonesha njia na kwa sbb uchaguzi uko mlangoni,vitimbi vikaanza kwa lengo la kumchafua zitto na waliokuwa wakifanya fitina hizo kupitia mitandaoni ni wale wale wachumia tumbo,wenye njaa kali,na wakwapuaji wa nafasi za uongozi!
Kubwa linalotafutwa na wabakaji hao hao wa siasa ni kumfukuza zitto ili mradi tu asiweze kugombea.
Kilichopo sasa zitto kakimbilia mahakamani kupinga kikao cha cc ambacho hicho hicho kilimwadhibu tena kwa kukiuka kanuni,then kinarudi tena kutaka kubaka nafasi y kutoa maamuzi,nafasiambayo siyo yake.
Sasa kinachokuja kutokea kwa sababu tayari chadema wamemtuhumu zitto kutumiwa na ccm ili kuimaliza chadema endapo hatatimuliwa na kuendelea kuwa ndani ya chadema na kugombea nafasi hiyo,wapo waasi wengine ambao watatumia nafasi hiyo kuimaliza chadema ili kumalisha hoja ama tuhuma zao hii ni kwa sbb wasaliti ndani ya chadema wapo wengi!!
Lakini hata kama chadema watamtimua zitto kutoka chadema bado chama kitasambaratika tu kwa sbb ukifuatilia mtifuano unaoendelea unabaini kwamba wafuasi wa zitto wako serious na ni wengi lakini wale wasiomuunga mkono wengi wao wanafatanmkumbo,wanatemgenezwa ili wamshambulie na kumpinga kama ilivyokuwa jana kwa Ben kuwaalika watu kuhudhuria mahakamani kwa mujibu wa moja ya ujumbe uliopostiwa humu ndani kwenye thread ile ya Yericko Nyerere juu ya mwenendo wa kesi!
Ndiyo maana wengi wanaona kusambaratika kwa chadema kabla ya mwaka 2015 kama alivyotabiri Wassira kuko pale pale,wawe wamemtimua zitot ama wamemwacha!
naona kazi hii inakulipa zaidi kuliko ile nyingine ......(tigo)
Ahsante mkuu House of Commons.vipi hizo ulizonazo umetumiaje kumsaidia kuisaidia chadema ili kuacha ubaguzi wa ukabila,pamoja na kutatua mgogoro unaondelea,au na wewe akili zako ndogo?!
Kwa hapa tulipofika, ZZK awe ndani au nje ya CHADEMA, CDM imekwenda na maji. Na kwa kuwa ameshasema ana jasho lake wewe wataraji nini?Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na malumbano ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo!
Kubwa linalogombaniwa hivi sasa ni nani awe Mwenyekiti wa chadema Taifa?!
Kuna mafahari wawili ndani ya chadema,fahari mmoja akitakiwa na kikundi kidogo cha wachumia tumbo na fahari mwingine akiwa hitaji la wanachadema kila kona ya nchi!
Hapa nawazungumzia Freeman Alkael Mbowe na Zitto Zubeir Kabwe!
Wakati ambapo Mbowe anapiganiwa na kikundi kidoogo cha wanachadema na hasa wale wasiokuwa na uwezo hata wa kuongoza,Zitto anaungwa mkono na wafuasi wengi wa chama hicho kila kona ya nchi.
Ndiyo maana zitto akatangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho,ingawa si mara ya kwanza kwa zitto kugombea nafasi hiyo mbapo mara ya kwanza alifanyiwa mizengwe ili Mbowe ashinde na ndicho kilichotokea,akatulia akajipanga upya!
Safari hii baada tu ya kuonesha njia na kwa sbb uchaguzi uko mlangoni,vitimbi vikaanza kwa lengo la kumchafua zitto na waliokuwa wakifanya fitina hizo kupitia mitandaoni ni wale wale wachumia tumbo,wenye njaa kali,na wakwapuaji wa nafasi za uongozi!
Kubwa linalotafutwa na wabakaji hao hao wa siasa ni kumfukuza zitto ili mradi tu asiweze kugombea.
Kilichopo sasa zitto kakimbilia mahakamani kupinga kikao cha cc ambacho hicho hicho kilimwadhibu tena kwa kukiuka kanuni,then kinarudi tena kutaka kubaka nafasi y kutoa maamuzi,nafasiambayo siyo yake.
Sasa kinachokuja kutokea kwa sababu tayari chadema wamemtuhumu zitto kutumiwa na ccm ili kuimaliza chadema endapo hatatimuliwa na kuendelea kuwa ndani ya chadema na kugombea nafasi hiyo,wapo waasi wengine ambao watatumia nafasi hiyo kuimaliza chadema ili kumalisha hoja ama tuhuma zao hii ni kwa sbb wasaliti ndani ya chadema wapo wengi!!
Lakini hata kama chadema watamtimua zitto kutoka chadema bado chama kitasambaratika tu kwa sbb ukifuatilia mtifuano unaoendelea unabaini kwamba wafuasi wa zitto wako serious na ni wengi lakini wale wasiomuunga mkono wengi wao wanafatanmkumbo,wanatemgenezwa ili wamshambulie na kumpinga kama ilivyokuwa jana kwa Ben kuwaalika watu kuhudhuria mahakamani kwa mujibu wa moja ya ujumbe uliopostiwa humu ndani kwenye thread ile ya Yericko Nyerere juu ya mwenendo wa kesi!
Ndiyo maana wengi wanaona kusambaratika kwa chadema kabla ya mwaka 2015 kama alivyotabiri Wassira kuko pale pale,wawe wamemtimua zitot ama wamemwacha!
acha matusi ww msukule wa mbowe .wafuasi wa zito ni wasomi.wanaomshabikia mbowe na babu ni vilaza wvuta bange wakiongozwa na jambazi lema