CHADEMA kurudia msimamo wao dhidi ya Lowassa?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,532
Inaonekana mwenyekiti wa Chadema ni mtaalamu sana wa kubadilisha gia angani na kufuata upepo mzuri unapovuma kwa manufaa yake.

Je unadhani Chadema inaweza kirudia msimamo wake wa kumuhusisha EL na ufisadi?

Na kama ikitokea hivyo wewe Utachukua maamuzi gani?
 
As long as lile kundi kubwa la nyumbu litaendelea kuwa nyuma ya freeman, anaweza kufanya lolote bila kuhofia matokeo.
 
Inaonekana mwenyekiti wa Chadema ni mtaalamu sana wa kubadilisha gia angani na kufuata upepo mzuri unapovuma kwa manufaa yake.

Je unadhani Chadema inaweza kirudia msimamo wake wa kumuhusisha EL na ufisadi?

Na kama ikitokea hivyo wewe Utachukua maamuzi gani?

Ndio...Lakini ya CHADEMA hayakuhusu
 
Ndio...Lakini ya CHADEMA hayakuhusu
Chadema kuna ruzuku ya serikali inaenda ...ambayo partly ni kodi yangu...kwa hiyo nahusika kabisa mpaka pale mtakapoacha kuchukua ruzuku!
 
Sasa hapo kuna hoja gani Mkuu?? Umewahi kwenda kwa Mganga kuagua??? Basi hiki unachofanya hapa Ktk post yako ni Uaguzi.
uaguzi uauleta wewe sasa...mimi nimeuliza swali rahisi tu....
 
Inaonekana mwenyekiti wa Chadema ni mtaalamu sana wa kubadilisha gia angani na kufuata upepo mzuri unapovuma kwa manufaa yake.

Je unadhani Chadema inaweza kirudia msimamo wake wa kumuhusisha EL na ufisadi?

Na kama ikitokea hivyo wewe Utachukua maamuzi gani?
Ukiwa jingalao ndio kila wakati uwe na point za kijinga tu?
 
Attachments

  • 1454513175921.jpg
    1454513175921.jpg
    49.4 KB · Views: 36
Chadema kuna ruzuku ya serikali inaenda ...ambayo partly ni kodi yangu...kwa hiyo nahusika kabisa mpaka pale mtakapoacha kuchukua ruzuku!
Kodi ulipe wapi wakati unashinda kila siku lumumba kudowea vya kutupiwa,hata unga unajua unauzwa sh ngapi wewe?
 
Inaonekana mwenyekiti wa Chadema ni mtaalamu sana wa kubadilisha gia angani na kufuata upepo mzuri unapovuma kwa manufaa yake.

Je unadhani Chadema inaweza kirudia msimamo wake wa kumuhusisha EL na ufisadi?

Na kama ikitokea hivyo wewe Utachukua maamuzi gani?
Mimi msimamo wangu ni kuhakikisha walioshiriki kuiba fedha za escrow woote bila kujali cheo cha mtu wanafikishwa mahakamani na kufilisiwa mali zao
 
Akili ya kiwavi
Mkuu Ukiwa CCM Nahisi kuna kitu kinaondoka akilini mwako!! Yaani jamaa anauliza maswali ya kijinga sana, Kama Kweli Anania ya kujua mambo basi aanze kujiuliza Yale Majangiri yaliyoshusha helcopter kwa AK 47 wanaconnection na Nani Ktk Biashara ya pembe za ndovu? Akimaliza hapo ajiulize inakuaje magufuli yupo Kimya Ktk suala nyeti la Zanzibar?

Yapo mambo mengi HALISI ya kujiuliza kuliko maswali ya issue ambazo hata hazipo FICTIONS, akili mfu ni janga kuliko hata Ukimwi na Ufisadi wa Bandarini.
 
Kweli kabisa mkuu,ukiwa mwana ccm ni lazima ujitoe akili maana inabidi kuamini uongo na kuukana ukweli hiyo ndiyo ccm
 
[QUOTE="jingalao, post: 15243229, member: 56995? ? Inaonekana mwenyekiti wa Chadema ni mtaalamu sana wa kubadilisha gia angani na kufuata upepo mzuri unapovuma kwa manufaa yake.

Je unadhani Chadema inaweza kirudia msimamo wake wa kumuhusisha EL na ufisadi?

Na kama ikitokea hivyo wewe Utachukua maamuzi gani?[/QUOTE]
kamanda kwani chadema sasa kinamilikiwa na nani ?
 
Mimi msimamo wangu ni kuhakikisha walioshiriki kuiba fedha za escrow woote bila kujali cheo cha mtu wanafikishwa mahakamani na kufilisiwa mali zao
Ni msimamo mzuri na nitakuunga mkono...lakini na wale RICHMOND usiwaache
 
Back
Top Bottom