CHADEMA kupoteza Majimbo mengi october 2015

tata mura

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
275
49
Kwa Sera hizi za mgongo wa Ukawa za kujiaminisha kuwa ushindi utakuwa mwepesi. Hii ni kujidanganya tujifunze yaliyokea Uingereza.
 
Kwa Sera hizi za mgongo wa Ukawa za kujiaminisha kuwa ushindi utakuwa mwepesi. Hii ni kujidanganya tujifunze yaliyokea Uingereza.


Kupitia UKAWA upinzani utapata majimbo mengi na tutashonda mpaka urais,cha msingi ni mshikamano na fair kwenye mgawanyo na maridhiano after mgawanyo
 
tukiachilia jimbo la arfi ni jimbo gani jingine linaweza kupotea?

Jumbo la Lema (Arusha mjini), Nyamagana - Mwanza (Jimbo hili historia yake haliongozwi na Mbunge mmoja kwa mihula miwili mfululizo), Ilemela - Kwanza na hats kwa Mbowe ajipange.
 
unataka kutuaribia tu jumapili ii nzuri ambayo tulikua ibadani ungepost kesho uone kazi
 
inawezekana ni kweli.lakini cdm itapata majimbo mengi zaidi na ccm itapoteza majimbo mengi zaidi.
 
Back
Top Bottom