Kajifunze kwanza kuandika ndio huje hapa.Kwa Sera hizi za mgongo wa Ukawa za kujiaminisha kuwa ushindi utakuwa mwepesi. Hii ni kujidanganya tujifunze yaliyokea Uingereza.
Kajifunze kwanza kuandika ndio huje hapa.
swissme
Kwa Sera hizi za mgongo wa Ukawa za kujiaminisha kuwa ushindi utakuwa mwepesi. Hii ni kujidanganya tujifunze yaliyokea Uingereza.
Kwa Sera hizi za mgongo wa Ukawa za kujiaminisha kuwa ushindi utakuwa mwepesi. Hii ni kujidanganya tujifunze yaliyokea Uingereza.
tukiachilia jimbo la arfi ni jimbo gani jingine linaweza kupotea?
Tujifunze uingereza kipi? Kwani Kuna Chama kilifanya muungano na vyama vingine kimepoteza viti.Kwa Sera hizi za mgongo wa Ukawa za kujiaminisha kuwa ushindi utakuwa mwepesi. Hii ni kujidanganya tujifunze yaliyokea Uingereza.
Tujifunze uingereza kipi? Kwani Kuna Chama kilifanya muungano na vyama vingine kimepoteza viti.
tukiachilia jimbo la arfi ni jimbo gani jingine linaweza kupotea?
Tatizo hufuatilii siasa za uingereza, hata nikikwambia ni Chama gani kimeshinda kwa kishindo kule Scotland waweza usijue.Kuna vyama vya upinzani vilitarajia kushinda kwa kishindo lakini imekuwa kinyume.