CHADEMA Kupata Kura 28.34% Ngome ya CCM Iramba Linatuambia nini?

Nachukia huu mtindo wa kukimbilia kwenye asilimia matokeo yanapokua mabaya! Viongozi wa Chadema wamezidi propaganda badala ya kazi!
 
Hii thread inanikumbusha ile timu iliyokuwa inashangilia mitaani kwa sauti kubwa. Watu wakauliza "aisee leo mmeshinda ngapi", wale mashabiki wakajibu "leo TUMEFUNGWA TANO TU, tuko juu saaaaaaaaaana".

ww ni mzigo hata kwa mkeo** tafuteni watu wa kuwakomboa Watz acha fikra mgando basi atakupitia chama chako
 
Highlander
Unajaza server kwa kuandika pumba nyingi; nenda mtaa wa Togo kahoji mapato na matumizi halafu tena jamvini uone kama hukuja na jicho moja; huo ufisadi uliopo Togo huoni? Mwenye kibanda anajemalizia ghorofa kutokana na pesa za pango anazopewa na mafisadi wenzake; Mohamedi Mtoi kuna asasi nyingi sana nitamtumia ili ajiunge nao kupigania maendeleo ya mtanzania

Chama
Gongo la mboto DSM

Chama mimi si mtu wa pwani kama wewe mkaaji wa gongo la mboto. Mashairi kama haya unayoleta hapa uwaga siyaelewi. Weka facts tuelewane. Nimekwambia mtaa wa Togo sijui uko wapi. Nambie sasa. Mtaa wa togo upo wapi?

Kuhusu server unayoilalamikia, akinikataza kuandika Maxence Mello nitamsikia. Wewe mdandiaji mwenzangu siwezi kukutii hata siku moja. Mdandiaji unaanza kuweka hadi masharti ya kutumia server. Au ni hako kamsaada umempa Max kanakutia kuburi? Najaza server? Wewe nani kukataza watu kuchangia kuelimishana hapa. Ungetoa hela ya Tanzanite si ndo tungepelekwa segerea kabisa tukanyee ndoo?!

Usifikiri sijatambua kamsaada umetoa hapa. Nimekaona sana hako kamsaada kako uchwara. Ungekuwa umetoa Tanzanite pengine ningekuvutia pumzi kidogo. Gold halaf unaanza kukataza watu kuandika? my foot!! Ngoja nami nijikamuepo kidogo siku mbili tatu hizi nimtumie Maxence Mello ingalau elfu ishirini nipate hiyo gold unayojitapa nayo.

Haya nambie sasa. Mtaa wa Togo upo wapi? Na ni nani anakaa huko ambaye wewe chama una usongo naye hivyo?
 
Sasa mkuu kama hata mtaa Togo hukujui zile buku unachukulia wapi? muulize Mohamedi Mtoi atakufahamisha; sijakukataza kuandika nimeshauri tu punguza pumba server ya JF ni ndogo sana kuna wakati mods wanafanya kazi ya ziada tujaribu kuwapunguzia mzigo nao ni binadamu pia; ni wapi nimejinadi kutoa msaada? JF waliomba member wachangie sasa je kuna ubaya gani mtu kuchangia kama nia ipo? Hapa kwenye mchango sio uwezo ni nia tu kwani hata yule fisadi mkuu mtaa wa Togo ni member lakini si yeye wala hawara yake aliyechangia.

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz; Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Chama ee, nadhani nakuelewa vizuri sasa.
Huna haja ya kunijibu. Mjadala wa mahawara unaanzia wapi
kwenye hoja ya huu uzi? Mtaa wa Togo upo wapi?
Unaumwa wewe. Nenda pharmacy iliyo karibu nawe
waombe vidonge vinaita Lagactil. Usiku mwema!
Chama Reputation.JPG
 
Hatimaye matokeo kamili ya uchaguzi wa vijiji na vitongoji uliofanyika wilayani Iramba yametangazwa.

Katika uchaguzi huo CHADEMA kwa mara ya kwanza ndiyo kimesimamisha wagombea karibia katika nafasi zote.

Matokeo rasmi yanaonyesha kwamba CHADEMA kwa mara ya kwanza kimeweza kupata vitongoji 2 na wajumbe wa Halmashauri za vijiji 40.Ikumbukwe kabla ya uchaguzi huu vitongoji vyote na wajumbe wote wa halmashauri za vijiji walikuwa CCM.

Pamoja na kwamba CCM iliweza kurejesha viti vya uenyekiti 8 bado wenyeviti hao wataongoza vijiji hivyo kwa mchanganyiko wa wajumbe wa CCM na CHADEMA ambapo kabla ya hapo hakukuwa na mjumbe hata mmoja wa CHADEMA.

Matokeo haya ya CHADEMA yamechangiwa na kazi kubwa iliyofanywa na Kiongozi wa kampeni Kamanda Ally Bananga.
 
Iwapo matokeo haya ni ya kweli ...huu ni ushindi mkubwa..kisomi
 
Well, tusubiri mwaka kesho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa...hii ichukuliwe kama learning mhimu na chadema waanze sasa kusahihisha makosa na waendelee kutoa elimu kwa wananchi
 
Hatimaye matokeo kamili ya uchaguzi wa vijiji na vitongoji uliofanyika wilayani Iramba yametangazwa.

Katika uchaguzi huo CHADEMA kwa mara ya kwanza ndiyo kimesimamisha wagombea karibia katika nafasi zote.

Matokeo rasmi yanaonyesha kwamba CHADEMA kwa mara ya kwanza kimeweza kupata vitongoji 2 na wajumbe wa Halmashauri za vijiji 40.Ikumbukwe kabla ya uchaguzi huu vitongoji vyote na wajumbe wote wa halmashauri za vijiji walikuwa CCM.

Pamoja na kwamba CCM iliweza kurejesha viti vya uenyekiti 8 bado wenyeviti hao wataongoza vijiji hivyo kwa mchanganyiko wa wajumbe wa CCM na CHADEMA ambapo kabla ya hapo hakukuwa na mjumbe hata mmoja wa CHADEMA.

Matokeo haya ya CHADEMA yamechangiwa na kazi kubwa iliyofanywa na Kiongozi wa kampeni Kamanda Ally Bananga.

Samahani kidogo Molemo: naona Mods wameunganisha uzi wako na ule wa jana. Hivi taarifa za jana na hii ya kwako zinaongelea eneo lile lile? au ni maeneo mawili tofauti?
 
Ni dalili nzuri za demakrasia ya kweli, siasa zinanoga kunapokua na ushindani wa namna hii, lazima tukubari kuwa CDM wanawahitaji CCM na vilevile CCM wanawahitaji CDM, hakutakua na demokrasia ya kweli kama majimbo yote yatashikwa na CDM na vilevile hakutakua na demokrasia ya kweli kama majimbo yote yatashikwa na CCM!.... kama vile chadema ilivyo na nguvu kwenye baadhi ya maeneo (mf. kaskazini) lazima tukubali pia CCM wana Nguvu maeneo mengine,... so tukaze buti na tuendelee kupambanana lakini tusitake tanzania nzima iwe CDM au CCM kwani ikiwa hivyo tutarudi kulekule tulikotoka.
 
Mkuu Chama ee, nadhani nakuelewa vizuri sasa.
Huna haja ya kunijibu. Mjadala wa mahawara unaanzia wapi
kwenye hoja ya huu uzi? Mtaa wa Togo upo wapi?
Unaumwa wewe. Nenda pharmacy iliyo karibu nawe
waombe vidonge vinaita Lagactil. Usiku mwema!
View attachment 95354

Kamanda hujui mtaa wa Togo upo wapi au mtaa wa ufipa?
 
Hii inaonyesha ambavyo hata hesabu ndogo tu hujui, huoni CHADEMA walikuwa kwenye asilimia 0 ambayo inamaanisha walizidiwa asilimia 100, sasa wana asilimia 28 ambayo inafanya wazidiwe asilimia 6 kutokana na matokeo yaliyo toka. Kumbuka ccm eneo hilo ni kambi yao na waliwekeza zaidi ya miaka 50 na walikuwa hawategemei kuonyeshwa upinzani kama huo kwa watu walio wekeza kwa kipindi cha miezi. CHADEMA wamefanikiwa na hii ni hatatari kwa ccm 2014 na 2015
 
Iwapo matokeo haya ni ya kweli ...huu ni ushindi mkubwa..kisomi

ha haa haaa!! Kamanda acha masihara Chadema kina miaka 21 umri mkubwa katika medani ya siasa kupata viti 2 katika vitongoji huko Iramba ni ushindi mkubwa wa kisomi usomi upi?
 
Kamanda hujui mtaa wa Togo upo wapi au mtaa wa ufipa?

Mtaa wa Togo sijui upo wapi. Ila wa Ufipa nimesoma humu JF mara nyingi wachangiaji wanauhusisha na Makao Makuu ya Chadema. Tafadhali naomba msaada wa maelezo kamili Mkuu Ritz, kama mwenzangu unaijua vizuri hiyo Mitaa. Mtaa wa Togo upo wapi? Na Je mtaa wa Ufipa ni kweli upo makao makuu ya Chadema? Tafadhali nisaidie kuielewa Jiografia hiyo nisionekane mfinyu sana wa Jiografia ya nchi yangu. Tafadhali Mkuu. Togo ndo wapi, na Ufipa ndo H/q Chadema? Au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom