Hakuna wana CHADEMA humu?
Hata wakati wa kufanya mabadiliko ya Katiba ya CHADEMA ambayo iliua nguvu ya mikoa na kuleta mfumo wa wilaya zenye nguvu na mfumo buniwa wa majimbo,wanachama na wajumbe wa mkutano mkuu walipiga kelele lakini hawakusikilizwa
nakumbuka kulikuwa na mabadiliko 13 ya katiba ambayo mwenyekiti aliwashawishi wajumbe wajadili badala ya kujadili mabadiliko ya katiba nzima. Matokeo yake mfumo wa kizipa nguvu wilaya nakubakisha kazi ya uratibu kwa ngazi ya mkoa haujaonyesha matunda
Hoja hapa ni kwamba makao makuu wanaishi kwenye njozi za kufanikiwa huku kwa bidii kubwa wakikwepa njia halisi ya kuwapeleka kwenye mafanikio,ni kama vile wanataka kwenda mbinguni lakini hapo hapo wanaogopa kufa!
Lakini Mkuu si ni vizuri kama Mkoa ukiwa unakazi ya uratibu si ndio vizuri maana sasa wanakuwa wanazisimamia wilaya kwa maslahi ya wananchi?
Ama kama nimeelewa kivingine naomba unieleweshe haswa ni kwa kivipi utaratibu huo wa mabadiliko 13 yameathiri utendaji wenye nia nzuri na wananchi.
hebu tuwe wakweli wakati CCM wana nguvu mbili kwa wakati mmoja kwenye mkoa,yaani dola na chama chao,CHADEMA wao wana nguvu kwenye wilaya tuu.
QUOTE]
These are not the only political parties in TZ, broaden your discussion scope
jamani! chadema, chadema,chadema... hivi JF ni ya chadema? mara mwajadili sera zao,mara viongozi wao, mara sijui Dr Slaa for President 2010... hapa hamvitendei haki vyama vingine.
Tanzania tuna vyama 18, ni ufinyu wa majadiliano, kila siku chadema chadema chadema... jadilini na vyama vingine
TLP
Demokrasia makini
CHAUSTA
PPT Maendeleo
UPD
DP
NCCR Mageuzi
CUF
Jahazi asilia
CCM
nk
Jiulizeni huko kwenye vyama vingine kunaendelea kitu gani ndipo mtaweza kuwa na mtizamo au chaguo bora.
Jiulizeni huko kwenye vyama vingine kunaendelea kitu gani ndipo mtaweza kuwa na mtizamo au chaguo bora.
Dhana ya chadema kuwa ni chama chenye nguvu bara haitazami historia ya vyama vingi nchini, ndugu Mushi, kila baada ya miaka mitano mambo yanabadilika, hiyo nguvu unayodhani chadema inayo usingeweza kuiongea 1995, wala 2000, na hujuma walizofanyiwa wengine ktk chaguzi za 2005 zisikufanye ukadhani chadema ina nguvu kuliko vyama vingine vya upinzani.kwasababu CHADEMA licha ya kwamba ndicho chama cha upinzani chenye nguvuzaidi upande wa bara..Bado wana consider tiketi moja...
neno la huruma limekujaje hapa? au unamaanisha determination yenu ni kuionea huruma chadema?hata kama wewe una thread kuhusu vyama hivyo unavyovionea huruma .wewe iweke humu watu waisasambue.Hata hivyo siyo kwamba CHADEMA wanatukuzwa humu ndani bali wanajitahidi kuwa wavumilivu hawako kama mzee kingunge
Dhana ya chadema kuwa ni chama chenye nguvu bara haitazami historia ya vyama vingi nchini, ndugu Mushi, kila baada ya miaka mitano mambo yanabadilika, hiyo nguvu unayodhani chadema inayo usingeweza kuiongea 1995, wala 2000, na hujuma walizofanyiwa wengine ktk chaguzi za 2005 zisikufanye ukadhani chadema ina nguvu kuliko vyama vingine vya upinzani.
Aidha kama kuna chama kinapinga mambo ya tiketi moja ya upinzani chama hicho ni chadema, bisha nikupe ushahidi
, Bisha nikupe ushahidi