CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi

Kwa hiyo kwa kunipa kazi ndiyo niipigie CCM au Magufuli???Hivi kujua kwamba mtu mwizi mpaka umuoane anaiba??Hivi Audit report inaposema wizara ya Ujenzi imelipa Bilioni 262 Wakandarasi hewa maana yake nini???SIyo pesa zimepigwa???Waziri wa ujenzi alijikatia ngapi??Maana nina uhakika ndiye aliyeidhinisha malipo au??Ili labda kama wewe ni mfanyakazi wa serikali utatueleza namna pesa nyingi kama hizi zikitoka nani anaziidhinisha....

Pili hivi unapotoa idhini kuuzwa nyumba za serikali na nyingine ungawa kwa ndugu na jamaa unataka tukuone wewe ni mwema mno au???

Hivi unaponunua meli isiyotembea kwa bilioni 8,meli ya mwaka 1970 wakati Azam ananunua Brand new kwa bilioni 6,nani muidhinishaji ni waziri wa ujenzi,tufikirire nini???

Sina PHD lakini nina imani 2+2=4, na 1+1 =2 japo 2x2=4 lakini 1x1 si 2....

Pole sana siyo Pro-Lowassa wala Pro-Magufuli,sababu wote wawili ni wachafu,lakini kama Mtanzania nimeambiwa nichague kati ya wachafu wawili hawa.Basi bado sijaamua nani wa kumchagua lakini siwezi kuipoteza kura yangu kwa kuipigia KURA CCM,hivyo basi sina sababu ya kusema nitampigia KURA Magufuli ambaye leo amejitanabaisha kwamba na yeye pia anaizimia M4Chadema
 
Uwezo wako wa kufikiri ndiyo umeshia hapo?
 
BASI KAMA NI HIVYO, WALIOTUAMINISHA 1+1=2
Ndio hao walionifanya mimi nisimchague tena Lowasa, na kwa kuwa Lowasa yupo CDM na UKAWA, sioni haja ya kuwaunga mkono, maana kama umekubali kuongozwa na mvuta bangi lazima na wewe utakuwa mvuta bangi. Mara kumi uishi na wavuta bangi unaweza usivute bangi
 
Kwa hiyo inamaana kuishi na Mbwia unga kutakufanya na wewe usibwie UNGA???Sidhani.

Ila nina IMANI kwamba MTU MBAYA mungu aweza kumgeuza kama akiamua kuacha yale mabaya na akawa mtu mzuri kabisa.Na ndiyo maana leo WAKRISTU tuna mtu alikuwa MUAJI mkubwa wa wakristu kwa jina la SAULI/SAULO inategemea lafudhi tu,mtu huyu alipofushwa na akabadilishwa kuwa MTANGAZA INJILI na mwisho akawa MTAKATIFU leo tuna mwita Mtakatifu Paulo Mtume.Upo kaka!!!!!!!!!!!!!!

Hata mwizi akitubu kwa dhati na kuomba Muumba wake amasaidie kubadilika,atabadilika tu na kuwa mtu mwema.
 
Saw, ila kama mwizi akitubu anasamehewa, mbona mahakamani hawamsamehi, wewe siyo Mungu useme kwa kuwa umesamehe wewe na wengine watasamehe, hakuna hiyo kitu.
 
Saw, ila kama mwizi akitubu anasamehewa, mbona mahakamani hawamsamehi, wewe siyo Mungu useme kwa kuwa umesamehe wewe na wengine watasamehe, hakuna hiyo kitu.

Umesema vyema sana mimi siyo Mungu na wewe siyo Mungu pia.Na wao siyo Mungu pia.Kama aliiba sioni sababu gani CCM hawakumpeleka mahakamani mpaka alipohama chama.

Nikitafakari kwa kina naona giza nene lililofunika sakata zima la Richmond.Ningependa liwekwe wazi zaidi na hata lile la Escrow pia lifanyiwe vivyo hivyo.

Kwa sasa tunahitaji chama kitakachofanya kinachoamini ni sahihi .Kurekebisha mfumo mzima wa serikali yetu.Ni mbovu, mchafu haufai.Na kwa uhakika kabuki sa Magufuli hawezi.Pamoja na kwamba anajua namna wanavyopiga pesa za umma.
 
Lazima uone giza kwani ni akina nani waliomtuhumu ENL kuwa ni fisadi kama si Mbowe, Slaa, Lissu, Mbatia, Mdee, Mnyika na wengine ambao leo wanamuona shujaa. Tulitegemea wao ndio wampeleke mahakamani, maana wao ndio walituonesha vithibitishi. Na CCM haikumkata ENL isipokuwa alikuwa na kashfa chafu, ndiyo maana. Si kwa sababu hizo mnazozifikiria nyie
 
na kama kweli mnania ya kubadilisha serikali chafu, na mfumo wake, je mamvi ni serekali ,pya??? au ileile ya zamani chafu?? tusing'ang'anie tu kuitoa madarakani ccm, tuangalie tu na factors zingine
 
na kama kweli mnania ya kubadilisha serikali chafu, na mfumo wake, je mamvi ni serekali ,pya??? au ileile ya zamani chafu?? tusing'ang'anie tu kuitoa madarakani ccm, tuangalie tu na factors zingine

Wao wanataka serikali safi, wachukue mifyagio wakasafishe, lakini kama wanataka kumpa IKULU ENL, serikali itakuwa siyo tu chafu, bali itakuwa Dampo, na dampo halisafishiki.
 
I thought kwa CHADEMA kuwa na ''ombwe la uongozi'' ni jambo jema sana kwa CCM maana kila siku tunasema ''adui yako muombee njaa''. Lakini mbona sasa wanaCCM ndo wapo mbele kupiga kelele kwamba kuna shida CHADEMA? Si mfurahie tu kwamba ndio mwanzo wenu kupiga bao? kelele za nini?

I thought pia kwamba CCM ndio kwenye ombwe la uongozi. Chama ambacho wasomi wamekikacha na watu kama Juliana, na Kibajaji ndio wanaokitetea. Chama ambacho mwenyekiti wake analialia jukwaani akibishana na kutupiana maneno na watu wa kawaida kama Lissu. Nadhani saa kila mtu afikirie kivyake na tukutane 25th October
 
If you were a goat, we could have benefited from your meat...too bad you are human... there is nothing we can do with you....I hope one day u look your kids on the face and tell them this...

Pole sana... there is no cure for stupidity! that is why... 1.Elimu 2.Elimu 3.Elimu.
 
Kesi yake ni ya uhujumu uchumi, serikali ndiyo iliyotakiwa kumfungulia kesi hiyo maana ni kesi ya jinai.JK alimpigia promo Mwaka 2010 kwamba ni mtu safi kabisa hana mawaa ilikuwa ni ajali ya kisiasa tu.Sasa mimi na wewe tujiulize kumetokea nini leo?? Kwanini nguvu yote hii.Siyo mpenzi wa Lowassa wala Magufuli sababu wote ni wezi.Lakini ningependa haki itendeke tu.Kwamba kama kufungua kesi basi hata akina Magufuli wanastahili kushtakiwa kwa ubadhirifu wa mali za umma
 
Kwa maana hiyo, basi hata wewe utafungwa, kwa sasa tunahitaji rais, kuna vigezo vya msingi vya kuvizingatia kama wananchi katika kumchagua rais, kwa mantiki hiyo inaonesha wewe hujaridhiwa na wagombea hawa wawili basi ungesimama wewe kugombea urais, tukuchague. Hata mzani huwa haulinganishi uzito kisawasawa bali hujaribu kuhsabiisha uzito wa jiwe na kitu kinachopimwa. Kwa maana hiyo hakuna kitu kilicho kamili, na hivyo hivyo tunafnya kwa mwanaadamu, hakuna aliye sahihi kisawasawa ila usahihi unazidiana, tumia akili za kuzaliwa. Wewe unatumia sana akili za shule, that's why
 
YERICKO NYERERE Anaishi katika uongo na uzushi, mpaka kila mmoja amemmpuuza, Mwanakijiji, Chahali na WATABE wengine wa maandishi yenye adili, wameikacha CHADEMA, bado CDM haijiulizi, inajivunia kuwa na YERICKO. Wasomi, watumishi, na wanataaluma wameikacha CHADEMA, bado CDM haijiulizi, wanajivunia madereva bodaboda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…