CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi

Vyama binafsi Vs Taasisi. Mbowe na Maalimu seif Vs CCM. Ushindi wa CCM na magufuli ni lazima.
 
Werevu wakuwa WANACCM???Pole ni bora niitwe MPUMBAVU na LOFA na juzi tumeongezewa jina jipya MAMBUMBU mpaka kiama lakini si kuichagua CCM period....

Sawa,lakini October 25 ndiyo tutajua nani mwerevu na ni nani, mbumbumbu, lofa na mpumbavu
 
Haya Hongera Mwenye akili.Alitoka CHADEMA sasa anarudi kufanya nini???CHADEMA kwa sasa hawahitaji USHAURI toka kwake,sasa atumie muda wake kukisaidia chama chake kipya.
Ni suala la uwezo wa ufikiri na kuamua...ndugu yangu unaonekana uko vizuri na uko sahihi kabisa kutokuhitaji USHAURI ili uendelee kubaki kama ulivyo.
 
Sawa,lakini October 25 ndiyo tutajua nani mwerevu na ni nani, mbumbumbu, lofa na mpumbavu

Hakuna shida.Sababu I value my vote.Pole.Ndiyo maana situmii matusi kukujibu.
 
Ni suala la uwezo wa ufikiri na kuamua...ndugu yangu unaonekana uko vizuri na uko sahihi kabisa kutokuhitaji USHAURI ili uendelee kubaki kama ulivyo.

Tena wewe wal si wa kunishauri.

1.Hata CCM hujaijua kwa kupewa kadi kama unaenda chooni.Wenzako tulisoma mwaka mzima ili kupewa hiyo kadi uliyopewa kama peremende.

2.Hujui hata the don'ts and does za CCM hivyo huna ubavu wa kunishauri.

3.Hata Katiba ya CCM hujawahi kuiona toka uzaliwe,wenzako tulizichoma moto siku nyingi baada ya kuona wachache wanafaidika na RASLIMALI za TAIFA na sisi WAPUMBAVU na MALOFA tuliowatajirisha akina MKAPA na JK tukiambulia matusi wao matajiri na watoto wao wakionekana ndiyo bora kuliko watanzania wa kawaida.

4.Pole hujui hata MASHARTI ya uongozi yaliyoko ndani ya KATIBA ya CHAMA ULICHOKO.Ningekushauri kabla hujanishauri kamuombe Kinana KATIBA ya chama chako uisome na kuielewa halafu ndiyo uje kutushauri tuliokuzidi umri na elimu.Pole rudi tena shule ya siasa.
 

 

Point nzuri, naungana na wewe mkuu.
 
Werevu wakuwa WANACCM???Pole ni bora niitwe MPUMBAVU na LOFA na juzi tumeongezewa jina jipya MAMBUMBU mpaka kiama lakini si kuichagua CCM period....

Msigwa: "watanzani wakimchagua Lowasa wakapimwe akili zao" sasa hapa ndio tutakapojua nani lofa na mpumbavu
 
Hakuna shida.Sababu I value my vote.Pole.Ndiyo maana situmii matusi kukujibu.
Siyo matusi, na ndiyo maana hata ulipomention awali, admin hakuremove reply yako, tukutane Oct 25
 

Kweli wewe ni al munafik. Wewe upo CCM huko CHADEMA wakutafutiani? Kiherehere cha nini?

Kama kuna kitu ulikisahau sema wakuletee.
 
Msigwa: "watanzani wakimchagua Lowasa wakapimwe akili zao" sasa hapa ndio tutakapojua nani lofa na mpumbavu

Sitachagua chama ambacho najua kwa uhakika hakioni thamani ya watu wake.Chama ambacho kwa miaka zaidi ya hamsini haioni maovu yake.

Chama ambacho kinaona maovu ya viongozi wake pale tu wanapohama toka chama chao kwenda chama kingine.

Ni bora nikapimwe akili na kuendelea kuitwa Mpumbavu na LOFA kuliko kuchagua tena Chama kile kile chenye maona yale yale,tabia ile ile,ikikumbatia wezi wale wale.

Nipo na imani na ninachokiamini hakuna na hakutakuwa na maendeleo kamwe chini ya CCM mpaka pale wanaCCM walio wengi na ambao ni MALOFA na WAPUMBAVU kama mimi watakapojitambua kuwa na wao pia wako kama mimi.
 
Siyo matusi, na ndiyo maana hata ulipomention awali, admin hakuremove reply yako, tukutane Oct 25

Kila mtu na aminicho.Na kila mtu akikatakacho.I wish hata hao wafanya kampeni waCCM wangejikita katika kutetea ILANI yao zaidi ya kupamba mikutano na KAULI mbiu moja tu LOWASSA fisadi.

Mwanz,ningekuona kweli wewe una UTAIFA kama ungeona kwamba si CCM wala CDM wana a right candidate wa URAIS.

Rudi nyumba angalia wale walioingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge 99% wamehonga wajumbe ili wapate nafasi husika.

Simlaumu mtu nailaumu CCM kulea RUSHWA,ndiyo maana nasema tena with confidence,Magufuli hawezi na hataweza kupiga vita RUSHWA wala UFISADI.

Walioingia kwa RUSHWA lazima watataka kurudisha pesa zao.Bahati mbaya sana nilikutana na Mgombea mmoja ambaye alinihakikishia kwamba pesa yake itarudi kwa maana atapata UWAZIRI na siyo kwa kuhisi ni kwa kunihakikishia LAZIMA atapata,na kweli baada ya UCHAGUZI 2010,alipata UWAZIRI na nimeona wizara yake ilivyogubikwa na rushwa,ufisadi na ujangili wa maliasili zetu.

Ndiyo maana kwa sauti kabisa Mwanz nasema ni BORA mmoja aliyetubu maana hata SAULI aliopolewa akawa PAULO.
 
The biggest disease we have in Africa is slavery mindset. That is why the ex colonies are still thinking on our behalf, they planning on our development. Africa is poor because it is poor. The brain which cannot emancipate itself from slavery cannot think of development. If you accept to be procured for some money to betray what you were believing in or trusting into no wonder you can even accept selling your country resources for the peanut amount of money. This is kind of revolutionist we have in Africa. Today they in this party tomorrow in another party preaching issues they were opposing or criticizing .
 
Kiingilishi kigumu ila umeeleweka...
 

inawezekana ukawa unapoint kweli ila ningekuona pia unamsimamo atleast ungekua side mbali na cdm na ccm, lakini umedhihirisha upande ulioshika wazi wazi, mamvi katokea ccm , kalelewa huko, mpaka kazeekea huko, siku zote hakuona kuwa watanzania wanahitaji mabadiliko,? mpaka jina lake lilipokatwa??? watanznia tuna lawama saana na hatuangalii wapi pa kutokea nna uhakika leo hii ccm ingemsimamisha mamvi mngelalamika na kusema cjhama gani kimeleta fisadi, ila leo hii ccm imemkata mnasema mnataka mabadiliko??/ mbona mnajichanganya?? hii inadhihirisha mnafanya kitu bora iende tu, ambayo itawaumiza baadae vizazi vyetu, tujitahidi kufanya uamuzi sahihi, na tukae tukumbuke , the decisions we make today might have effects tomorrow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…