Umbea ni kutoa taarifa za upande mmoja kupeleka upande wa pili bila ridhaa ya mhusika, huu sio umbea ni kupeana habari juu ya yanayojiri katika siasaAcha umbea toka lini ccm ikawa mshauri wa CHADEMA:what::banghead:ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni nikuambie kitu hii nchi ni yetu sote tunajua baya na jema kwa hiyo usipoteze pumzi kutuambia hii nyeusi wakati ni nyeupe ni m.baya jully angalizo ukiwa mnafiki ujanani uzeeni utakuwa mchawi.
Juliana wewe ni mwanaccm kwa sasa ya Chadema tuachie wenyewe.Umemsikia Mkapa ametuamgia kwamba sisi tu Wapumabavu na Malofa.Hakuachia hapo amemalizi juzi kwa kutuita mbumbu hakuna shida.
Maana Mpumbavu na Lofa ni vyema akaongozwa na Mpumbavu na Lofa mwenziwe.Na pia ni bora Mbumbu akaongozwa na mbumbu mwenziwe.
Fanya yako ya kwetu tuachie hayakuhusu.Ni wakati wa kampeni uza sera za chama chako.Cha kwetu tuachie.
Acha umbea toka lini ccm ikawa mshauri wa CHADEMA:what::banghead:ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni nikuambie kitu hii nchi ni yetu sote tunajua baya na jema kwa hiyo usipoteze pumzi kutuambia hii nyeusi wakati ni nyeupe ni m.baya jully angalizo ukiwa mnafiki ujanani uzeeni utakuwa mchawi.
Tatizo kubwa wametawaliwa na uchu na urohoo wa madaraka Hakika dhambi hii itawaumiza sana
Acha umbea toka lini ccm ikawa mshauri wa CHADEMA:what::banghead:ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni nikuambie kitu hii nchi ni yetu sote tunajua baya na jema kwa hiyo usipoteze pumzi kutuambia hii nyeusi wakati ni nyeupe ni m.baya jully angalizo ukiwa mnafiki ujanani uzeeni utakuwa mchawi.
maneno yako ni yakweli kabisa, lakini jiuliize kwanini baada ya kukatwa ndio mtu anahama chama,je angepewa nafasi ya kugombania angehama?Anza na CCM kisha umuulize mzee Nassor Moyo, Mzee Ntagazwa, Mzer Lwaitama na wengineo. Chadema ya Mbowe ni tofauti na ile ya Bob Makani ama Mzee Mtei. Hizi siasa za leo ni siasa huria haijalishi itikadi ama unaamini nini. Isipokuwa makubaliano na maridhiano yenye malengo yanayofanana chanya na uelekeo jadidi. Dada Juliana kesho unaweza ukaona.malengo yako na CCM hayatimii unakuwa huru, kuhama chama ama kuanzisha chama chako na ndio demokrasia. Watu wanahama dini na dhehebu seuze chama?
tukiacha ushabiki , na kuweka pembeni nakusupport kwa asilimia 100, kwani hujaongea tu bali mambo yako wazi na yananonekana ni kweli, tatizo la ukawa hawapendi kuambiwa ukweli wanapenda uongo zaidi,, waswaili wanasema ambea hapendi kuambiwa maana , hajui maaana, fikra zao zimeshajikita sehemu moja hivyo utakavyowaambiwa watadhani unawasengenya , ila ukweli ndo huo kabisa!!
Si ulishatoka chadema mbona fikra zako bado zipo huko.
CHADEMA kuna matatizo makubwa na ya msingi..moja ya tatizo lao KUBWA ni kupuuzia matatizo yao.
tukiacha ushabiki , na kuweka pembeni nakusupport kwa asilimia 100, kwani hujaongea tu bali mambo yako wazi na yananonekana ni kweli, tatizo la ukawa hawapendi kuambiwa ukweli wanapenda uongo zaidi,, waswaili wanasema ambea hapendi kuambiwa maana , hajui maaana, fikra zao zimeshajikita sehemu moja hivyo utakavyowaambiwa watadhani unawasengenya , ila ukweli ndo huo kabisa!!
KUPOTEA...hivi unajua tafsir ya neno kupotea..??
Subiri shughuli yangu utaiona BUNGENI...MTANYOOOKA tu.
Jadiri m/kiti wenu alikoifikisha ccm ya cdm hayawahusu
Ni kweli, hii ni forum kila mtu ana uhuru na nafasi ya kuzungumza ila tu tusichupe mipakaits a free country kila mtu anauwezo wa kuzungumza anachoona kipi kinafaa, mnapenda 2 positive comments??? hamtaki kuambiwa negatives, , ...yuko sahihi, anachoongea na tutawazika wakiwa 2nawazika oktoba endeleeni kuchimba kaburi
Kuwa na Akili wewe Juliana alikuwa kiongozi wa Bavicha hivyo lazima afuatilie kama mwanasiasa na atoe ushauri ili kuleta changamoto katika siasa. NB Hizi ni siasa za Vyama vingi.
Hilo siyo tatizo, tatizo ni baadhi yenu kujikubali kwamba ni malofa wakati siyo malofa, na ndiyo maana mnapewa ushauir mnaweza kuwa werevu