Najua we ni wa magamba, na nakuhakikishia kuwa CDM wako juu kuhusu kutuma taarifa watatuma baada ya kufanya utafiti sunajua CDM huwa hawakurupuki?. They never speak without evidence!.
Mmmh,kabla sijabadilisha jina hapa nilitoa utabiri wangu juu ya matokeo ya chadema igunga,...
nilitukanwa sana,sasa nasubiri yatimie ndipo niwape quote ya nilicho kisema wakati ule
Chadema hawakurupuki,chadema ni watu wa kuongea 'classified information' siyo watu wa kuleta thread ilimradi wamepost! Hata hivyo sijui utafiti wako umelalia wapi! maana kunapost kibao za makamanda kuhusu Igunga!
Tumewatanguliza CUF kwa picha za kuchakachua za pemba karibu chenga zinawaishia,
mtanange utakapoanza pumzi kwishiney ni mapovu tu yatawatoka mtasema tena mbona post za CDM zimezidi?
Kukiwa na uchaguzi ni raha sana, yaani tambo, mbwembwe za kila aina utaziona humu. Ok cha kuomba ni uchaguzi ufanyike kwa haki bila uchakachuaji au mizengwe isiyo na tija kwa taifa.
Hii thread imekaa kimagamba ndio maana watu wenye akili zao hawachangii, hata kampeni bado mnajipa ushindi je uchaguzi ukifika? Tunatoa taarifa zenye source na sio za kukurupuka kimagamba