CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?

Great Thinkers= writing with irrefutable evidence. If no facts then that remains to be hearsay(udaku).
Sasa Pasco kama unatushauri kufikiri na kutenda kama great thinkers,mbona wewe katika uzi wako hukuchukuwa hatua ya kuandika kama great thinker? Kama unakijuwa kirusi kwa nini usikitaje? Kama unakijuwa na kuogopa kukitaja kwa sababu ya kesi iliyopo mahakamani je mshawasha wote huo ni wa nini? Please if at all you understand what entails a great thinker,control yourself. You must exercise retrain and stop make people anxious
 
ni kawaida yake hata ukimjibu ovyo utakupa like....kwake like inamaana nyingi zaidi ni kwamba ujumbe wako umemfikia.!!

Ni tabia ya njaa,
if hungry you loose your senses, if stomach is full you come back to your senses.

Ni kama maji ya bahari, kupwa na kujaa, hivyo Pasco sometimes anaujua ukweli na mara nyingine yupo kibaruani anamtumikia kafri apate mradi wake.
Ndio maana anagonga tu maLIKE na maDISLIKE, afanyeje sasa...
 
Wanabodi,

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuna "kirusi" ndani ya Chadema ambacho kinakitafuna Chadema ndani kwa ndani kwa mtindo wa Kikulacho!.

Jee unakijua kirusi hicho ni nani?, na nini ni motive yake "the motive behind"?!.

Kufuatia uzoefu wangu binafsi katika mambo ya siasa na ufuatiliaji wa karibu wa siasa za ndani ya vyama, mimi "Pasco wa JF, nakifahamu vizuri, "kirusi" hicho!, kinachoitafuna Chadema, ndani kwa ndani, na wewe ukikijua,unaweza usiamini, ila ukweli ndio huu, "kirusi" kipo na kinaitafuna Chadema, taratibu, ndani kwa ndani kwa ndani kwa mtindo wa "bandu bandu!", by the time kisingegunduliwa mapema!, mngekuja kushtuka "gogo limemalizika!. Thanks to ZZK angalau ametoa alarm watu sasa mfungue macho!.

Kabla sijakitaja rasmi kirusi hiki, naomba kwanza ufanye tafakari fupi kwa kuunganishe the following dots!.
1. Tukio la Kibanda: Baada ya Kibanda kutoka Tanzania Daima na kujiunga na Mtanzania, alikwenda kule kwa sababu maalaum!, (Naijua) Ila kabla ya kuanza kutimiza majukumu yake hayo mapya, alishughulikiwa "kiulimboka ulimboka" just to make a look like!. Mara tuu baada ya tukio lile, kuna uzi niliuweka humu kumhusu Kibanda, ila ulifungwa soon!. Kwenye uzi ule, nilieleza kuwa alichofanyiwa Kibanda is "an action!" tuu, kitu kibaya zaidi ni "the motive behind!" yale aliyofaniwa.(Tuendelee kumtakia Kibanda Uponyaji wa Haraka, atakaporeajea salama, kwa idhini yake, nitaweka wazi the motive behind!.

2. Baada ya Video ya Rwakatare kutoka, mimi nilikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kuelezea kuwa video ile
ni "bonafide genuine" just by looking at it with naked eyes!. Nikapandisha uzi kuhusu hiyo video, nikasema watu wamejikita zaidi katika authenticity ya video ile kuliko contents!, na kueleza japo the target ni mwanahabari Msaky, mlengwa halisi hakuwa Msaky, nikashauri tujikite kwenye the "motive behind", why Msaky!, no one bothered!.

3. Sasa leo ZZK ameleta hii

Baada ya maelezo hayo ya ZZK, sasa ndio wengi wanaanza kufungua macho kuwa kumbe "kikulacho, ki nguoni mwako".

Sasa ndio namtaja kirusi hicho ndani ya Chadema kwa kutumia code name ya XYZ, kwa formular ya if X=Y, na Y=Z, Then X=Z!. to get the names, one has to crack the codes!.

Kwa vile hii ni hypothesis tuu, na bado haijawa postulate yenye proof!, naomba sana tusianze kutaja taja majina humu, kwa sababu moja ya matukio haya, tayari kesi iko mahakamani na huko ndiko majina halisi yatapoibukia pale kesi itakapo anza kusikilizwa, only if, mmoja/wahusika wakuu wata "confess!" na ndipo wengi wenu mtabaki midomo wazi, kwa kutoamini mtakacho kisikia!, unless watuhumiwa ni "mashujaa wa ukweli!, ambao watahimili kufunga midomo mpaka mwisho na kukubali "kufa kizungu" na tai shingoni, kwa kuifia Chadema kwa kuonyesha upendo mkubwa wa Mshumaa ambao ni ushajaa, kwa kumulikia wengine, huku wenyewe ukiteketea!.

Jee baada ya maelezo yangu, umeshajua "kirusi" ndani ya Chadema ni nani?. Kama na wewe umekijua, naomba unyamaze kimya!, usikitaje!, Ma Great Thinkers hawataji taji majina!, ile kujulikana tuu kwa kirusi, kuwa kipo, inaitwa "detection!" na ni anti virus tosha kuzuia kirusi hicho kisiendelee kuleta madhara makubwa zaidi ya hayo ambayo kimeisha yafanya ndani ya Chadema hata kama hakita angamizwa!.

Lengo la thread ni informative tuu kuwa "be aware", ndani ya Chadema kuna kirusi!.

Kwa wale msio jua, hata shetani, mwanzo, alikuwa malaika!, umdhaniye ndiye kumbe sie!. Kikulacho kii nguo mwako!.

Kinacho matter most kwa sasa, kwa ma GT, sio nini kimefanyika, bali "the motive behind!".

Natanguliza poleni kwa Chadema kwa yote!, penye nia pana njia!.

Namalizia kwa kukumbushia tuu kuwa

"Simple Minds Discuss People"-Hawa Watamjadili mleta mada ambaye ni Pasco.
"Ordinary Minds Discuss Events"-Hawa watajadili matukio, la Kibanda, la Rwakatare na la Barua ya Mhe. Zitto!
"Great Minds, Discuss Ideas" - Hawa watajadili, "The Motive Behind" ambayo ndio the real essence ya hii thread!

Wakati ukichangia, kwanza jiulize mwenyewe "where do you belong?", uko kwenye makundi gani kati ya hayo makundi matatu?, kisha ndipo uchangie according to kundi lako!, at least we'll know, thats where you belong!.

Nawatakia majadiliano mema!

Asanteni.

Pasco.

Ushauri wa Bure: Kwa mada zinazokuhitaji uwe ni GT, ukijigundua kuwa wewe sii GT, hivyo huna uwezo wa kudiscuss idears!, bali uwezo wako ni ku discuss people, kama wafanyavyo simple minds!, then nakushauri ujifanye ni GT kwa kukaa kimya na kutochangia kabisa. Sio lazima kuchangia kila thread!, ila pia kwa vile humu jf, kuna majukwaa mengi, then nashauri, stick kwenye mada za level na uwezo wako!.

NB-Pasco wa JF sio Great Thinker na Sio Mwanachama, Mshabiki, Mfuasi wa Chama chochote cha Siasa, bali ni mtu anayeandika kwa kuweka mbele maslahi ya taifa, kwa kuzungumza ukweli daima "the truth no matter what", with "objectivity", "impartiality" na "fairness and balance".

ulichofanya hapa pasco ni kurudia tu alichosema zito, kwamba kuna kirus chadema na hakuna taarifa nyingine zaidi
 
Nimesoma issue ya jamaa wa Uingereza na kimada wake waliwasha moto kwenye nyumba yao kwa matarajio kuwa wangeweza kuuzima na kumsingizia ex-wife wa huyo jamaa. Kinyume chake ngoma iliwageukia na matokeo yake watoto wake sita waliungua na kufa na wao wamepigwa kifungo gerezani huku jamaa akiambulia kifungo cha maisha.

British parents sentenced for fire death of 6 children

Couple forged plan to start fire and rescue children, pinning blame on husband's ex mistress

The Associated Press

Posted: Apr 4, 2013 7:26 AM ET

A jury found Mick and Mairead Philpott guilty of the killing of their six children, aged 5 to 13, in a house fire in Derby, central England, on May 16. A jury found Mick and Mairead Philpott guilty of the killing of their six children, aged 5 to 13, in a house fire in Derby, central England, on May 16. (Rui Vieira/Associated Press)

A judge has sentenced the father of six British children who died in a house fire to life, with a minimum of 15 years in prison, describing him as the "driving force" behind setting the blaze.

Judge Kathryn Thirlwall levelled most of the responsibility for the fire on Mick Philpott, describing him as a dangerous man. His wife, Mairead, and family friend Paul Mosley each received 17 years for manslaughter.

Prosecutors say the couple hatched a plan to start a gasoline-fueled fire and then rescue the children, pinning blame on Philpott's mistress so he could gain advantage in their child custody battle.

The plan went wrong within minutes, because the fire was far bigger than expected and the father was unable to smash a window to get in.

Chanzo: British parents sentenced for fire death of 6 children - World - CBC News

Kama binadamu ni vyema tutambue kuwa katika hii dunia hakuna siri itakayobaki kuwa siri milele na kila ubaya tunaotenda kwa wengine malipo yake tutayapata hapa hapa duniani.
 
huyu kirusi mbona anafahamika muda mrefu sana.
Sifa zake,ni mtu ambaye huwa anaamini hakosei.
Kwamba ana akili kuliko watz wote
Bahati mbaya anaaminiwa sana wa wafuasi wa chama chake
Ni mpenzi sana wa kushinda mitandaoni hususani hapa JF
tena hapa ana ID zaidi ya ile anayotumia kwa jina lake halisi
mdomo wake kidogo umekaa upande kama amepigwa stroke,
na akizungumza mdomo hutoa mate mengi,vijana wanaita mvua
anapoona totos zipu haifungi
anapenda sana kujikopesha,macho yake kama mjusi kabanwa na mlango
wale wafuasi bendera hupenda kumwita babu wa ukweli
kwa hayo machache kirusi kimefahamika

na wewe unajiita gt?
 
Zitto keshatamka wazi kwamba mwaka 2015 ni uraisi tu ndio anachotaka kugombea na huko kigoma ameshawaaga tayari kwamba hawatokua nae baada ya hapo. Iwapo katiba aimruhusu na muundo wa sasa kupata mgombea wa uraisi chamani kwake ulivyo chances za yeye kuwa mgombea urais kwa ticket ya CDM hatakama katiba ikibadilishwa aupo.

In other words ZZK ndani ya CDM baada ya 2015 atakuwa kama kiongozi au mwanachama passive tu ambae hana majukumu yeyote makubwa, sasa sielewi kazi ya huyo kirusi zaidi ya kufurahisha magazeti na baadhi ya wanachadema wenye akili fupi for what i just think ignorance.

Ndio maana watu wanalumbana hapa kwa barua iliyokuwa inaomba ukweli upatikane na party discipline ifuatwe, what is wrong with that? wakati kweli video ilikuwepo, saa zingine mtu unakuwa hata upati the rationale za baadhi ya argument za wana CDM.
 
Mkuu Pasco heshima mbele.Tunashukuru kwa post yako hii ambayo ni moja ya maendelezo ya posts zako nyingi ambazo zimeweza kukupa heshima na sifa mbele ya members na wasomaji wengine wa JF.kwamba most of the posts ambazo umekuwa ukizitoa ni kuhusu(government issues) issues ambazo ni vigumu kwa mtanzania wa kawaida kuwa nazo au hata mwenye nazo sio rahisi kuzitoa hadharani.Pasco umekuwa ni mtu muhimu sana hapa JF na posts zako au comments zako members wengi(including myself) wanapenda kuzipitia.sijawahi kuwa makini kujaribu kutafuta reason ya kwanini Pasco umekuwa na uwezo wa ku-access na kupata infos nyingi za serekali,chadema na vyama vingine kirahisi namna hii. Baada ya kusoma post ya leo kuhusu Pasco na CCM ambayo inaeleza kuhusu wewe kumtetea Lowassa ndipo nilipopata muda wa kuanza kujumlisha mambo.nianze hivi 1)Mkuu Pasco kwenye issues za Lowassa zilizowahi kutolewa kwenye forum hii(either posts za members wengine au zako mwenyewe ) umekuwa ukimtetea sana Lowassa.2)kwa upande wa chadema umekuwa ukimtetea sana Mh Zitto(direct/indirect) 3)post zako nyingi ambazo wewe ndio umezipost(mfano post hii) umekuwa hauko direct au haujionyeshi malengo yako kamili au uko upande gani.Kutokana na sababu hizi tatu naomba nitoe mawazo yangu binafsi kwa members wenzangu wa JF kuhusu wewe Mkuu Pasco kama ifuatavyo: kwamba kutokana na kwamba umeamua kutumia ID ya Pasco ambayo sio ID yako ya kweli ni kujificha ili members wengi wasikujue na sioni sababu ya wewe kujificha.Mzee mwanakijiji(mchangiaji mada anayeheshimika hapa JF anajulikana na most of the members hapa).Pia naamini kabisa kwamba wewe ni usalama wa taifa na posts zako kwenye issues za chadema haziko kwa malengo ya kuishabikia,kuitetea au kuisaidia chadema.kwa kufuatilia mtiririko wa posts zako unaonyesha zaidi kwamba unabrainwash watu.Mfano,kwenye hii post yako ya sasa umetoa maongezi/mahojiano kati yako na Zitto(kama ilivyo kwenye posts zako nyingine zinazohusu chadema au Zitto)kama reference point pasipo hata kuonyesha maelezo ya viongozi wengine wa chadema kama Mh Mbowe,Dr Slaa,Tundu Lissu,Mnyika nk.kwamba reference point yako chadema imekuwa ni Zitto tuu.Kwenye suala la Lwakatare ni suala ambalo Mh Tundu Lissu amelitolea ufafanuzi na pia ni suala ambalo kesi yake bado iko mahakamani hivyo wewe kutoa comments kwamba mkanda wa video wa Lwakatare ni genuine ni kinyume cha sheria kwasababu huna sababu yoyote ya kuhakikisha hilo.Pia unavoongelea kirusi ndani ya chadema ni pumba tu kwasababu sio suala jipya au la kushangaza kwa chama kama chadema kukusa virusi ambao wako kila chama.kwa taarifa yako chadema hakipo kirusi bali kuna virusi.Naamini kabisa uongozi wa chadema unatambua hilo na wana-CRV za kupambana nao.Mkuu Pasco still nina -appreciate michango yako mingi uliyoitoa hapa kwani imenisaidia sana mimi personal na pia members wengine ila lengo lako limeshaanza kujionyesha wazi.peter tosh anakwambia "u can fool some people sometimes but you can not fool all the people all the time".be blessed!

Mkuu Ndusty I salute you! Kama kuna Great thinkers nawakubali ktk Jukwaa hili ni wewe wa kwanza!

Kama watu wangekuwa wanajua kuchanganua mambo, basi hapa Umemaliza kila kitu! Hii mada ingefungwa tu sasa!

Ni ukweli usiopingika kwamba ndani ya CDM kuna Virusi vingi sana na vingine vilishaondolewa wakakimbilia kwa waliowapandikiza [CCM]ndani ya CHADEMA!

CCM HAIKUBALIKI TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA!!
 
Najaribu kutafakari ni wapi Pasco amesema "Kirusi" kilichopo CHADEMA ni "mtu" sijaona. Hapa ni lazima tufikiri kwa bidii sana bila ya kuegemea kwenye hisia zetu. Tabia haiwezi (Attitude) kuwa Kirusi? Kwani ingawa tabia hubebwa na watul lakini huwezik kusema wachaga wote ni "wezi" au Wahaya wote ni "watu wa majigambo" Ingawa kuna ukweli fulani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ndusty I salute you! Kama kuna Great thinkers nawakubali ktk Jukwaa hili ni wewe wa kwanza!

Kama watu wangekuwa wanajua kuchanganua mambo, basi hapa Umemaliza kila kitu! Hii mada ingefungwa tu sasa!

Ni ukweli usiopingika kwamba ndani ya CDM kuna Virusi vingi sana na vingine vilishaondolewa wakakimbilia kwa waliowapandikiza [CCM]ndani ya CHADEMA!

CCM HAIKUBALIKI TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA!!

Pasco,kulikoni jibu la haraka haraka namna hiyo kwa ndusty. Au ni kukwepa maswali likuki kwenye hoja yake. Hebu rejea tena hoja yake ina maswali mengi sana umeyaacha. Nichangie tu swala la virusi kwenye kambi za itikadi tofauti ni changamoto za enzi ktk siasa na cdm sidhani kama walisahau hilo hata ile siku wana hatch wazo la kuunda chama. Pia ccm itakuwa imelala fofo endapo haitajua umuhimu wa kumjua mpinzani wako kesho ana kete gani ya kukufunga bao. Cha muhimu hapa ni utaalamu wa uendeshaji wa virusi hivyo, maana kama vilivyo kwenye maabara havikawii kurudi nyuma na kumwangamiza owner. Je nchi yetu imefikia majaribio ya virusi tuyaonayo sasa au ni kuiga na hatimaye ni kujerhi nyati na kifo kikakubili. Hebu turudi nyuma ambako alikosa kiongozi akaomba radhi na wananchi wakaitikia na kusonga mbele, pale penye kuhitaji kitendo ku kikatendeka na hoja ikajibika. Virusi vitumike ku mpre empty mpinzani kwa hoja zake kwa vitendo kwa kutekeleza manifesto au fafanusi bayana la hasha virusi vitakuwa vinadumisha matatizo ya 'half cooked rice' litaendelea kutia aibu taifa letu.Sababu 'covert operations na episionage' sio utamaduni wetu nchi iliyopata uhuru bila kumwaga damu na kuishi kwa amani zaidi ya nusu karne. Si taaluma ya kulala asubuhi na ukaweza kutekeleza bila kuacha matundu. Its not done for money.....comes from heart, patriotism. Vijana wetu wameacha kufundishwa utaifa na uraia miaka mingi. Historio zero, political science 0 kwa wale wa arts, wanaota kuendesha mashangingi na starehe. Kazi ya kirusi hawataiweza. Leo hapoa tumesikia moja analewa anapayuka kusalitiwa nwa wenzake mbele ya kadamnasi.......
 
Kwa mustakabali wa cdm kuendelea ku exists bila machafuko makubwa zitto alelewe tu hakuna jinsi.

Zitto atakuwa anahusika na upuuzi huu wote, baada ya vijana wake wa masalia kung'olewa sasa amekuja na mikakati yake binafsi lengo kuu ni kulipiza kisasi na pia kutimiza malengo ya bwana mkubwa kikikwete ili kukisaidia ccm kuimarika

Kwanini kila sekeseke ndani ya chadema linamhusu zitto na amekuwa mwepesi kukurupuka kujisafisha na kuelekeza watafiti na wanamjadala wajadili kwa mwelekeo wa ujenzi wa hoja zake kuepuka kutambulika mapema.

KIRUSI ni ZITTO ZUBERI KABWE.

Chadema wasiingie mkenge kushughulika na kirusi zitto. kumshughulikia zitto itawafanya ccm na kikwete kufikia malengo yao haraka na mapema. Kete ya kuivuruga chadema kupitia Zitto imenasa kwenye mzizi wa dini ya zitto na kuwagawa watanzania kupitia mkakati huo ndani ya cdm. Na ili cdm ibakie na image yenye kuukwepa mtego wa udini no way zitto anapaswa kuachwa aendelee na siku moja ataaumbuka vibaya kiasi kwamba yeye mwenyewe ..........

Zitto anatia mashaka ........ atuambie hiyo barua mletaji aliipataje wakati haina sahihi yake. Au atuambie kama alimuandikia Katibu Mkuu barua bila kuweka sahihi yake!!!!!
 
Ndani ya ofisi moja munaandikiana barua. Assistant unamlima mkurugenzi barua ukimpa maagizo. Nadhani si kawaida. Ila ndio vijana wetu cku hizi mihemuko mingi hata itifaki haizingatiwi tena. Tuache hivyo hivyo alikuwa na nia nzuri.
 
huyu kirusi mbona anafahamika muda mrefu sana.
Sifa zake,ni mtu ambaye huwa anaamini hakosei.
Kwamba ana akili kuliko watz wote
Bahati mbaya anaaminiwa sana wa wafuasi wa chama chake
Ni mpenzi sana wa kushinda mitandaoni hususani hapa JF
tena hapa ana ID zaidi ya ile anayotumia kwa jina lake halisi
mdomo wake kidogo umekaa upande kama amepigwa stroke,
na akizungumza mdomo hutoa mate mengi,vijana wanaita mvua
anapoona totos zipu haifungi
anapenda sana kujikopesha,macho yake kama mjusi kabanwa na mlango
wale wafuasi bendera hupenda kumwita babu wa ukweli
kwa hayo machache kirusi kimefahamika

akili ni nywele naisi una kipara
 
hizo ni speculations zako usitake kutuaminisha kwamba wewe unaijua CDM kiundani na una wapenda sana CDM.

Kwa sisi wenye upeo mkubwa wa kudadavua mambo post yako nikama zingine ambazo huwa unapost utumbo unajificha kwa kuchanganya na vijineno vya kingereza ili kuwaadaa wapumbavu na wajinga kama wewe, sisi kuchomeka vijineno vya kingereza siyo issue issue hapa ni theme na contents,

huwezi kutuashawishi watu wenye akili na ndo maana unajiami kabla

Wanabodi,

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuna "kirusi" ndani ya Chadema ambacho kinakitafuna Chadema ndani kwa ndani kwa mtindo wa Kikulacho!.

Jee unakijua kirusi hicho ni nani?, na nini ni motive yake "the motive behind"?!.

Kufuatia uzoefu wangu binafsi katika mambo ya siasa na ufuatiliaji wa karibu wa siasa za ndani ya vyama, mimi "Pasco wa JF, nakifahamu vizuri, "kirusi" hicho!, kinachoitafuna Chadema, ndani kwa ndani, na wewe ukikijua,unaweza usiamini, ila ukweli ndio huu, "kirusi" kipo na kinaitafuna Chadema, taratibu, ndani kwa ndani kwa ndani kwa mtindo wa "bandu bandu!", by the time kisingegunduliwa mapema!, mngekuja kushtuka "gogo limemalizika!. Thanks to ZZK angalau ametoa alarm watu sasa mfungue macho!.

Kabla sijakitaja rasmi kirusi hiki, naomba kwanza ufanye tafakari fupi kwa kuunganishe the following dots!.
1. Tukio la Kibanda: Baada ya Kibanda kutoka Tanzania Daima na kujiunga na Mtanzania, alikwenda kule kwa sababu maalaum!, (Naijua) Ila kabla ya kuanza kutimiza majukumu yake hayo mapya, alishughulikiwa "kiulimboka ulimboka" just to make a look like!. Mara tuu baada ya tukio lile, kuna uzi niliuweka humu kumhusu Kibanda, ila ulifungwa soon!. Kwenye uzi ule, nilieleza kuwa alichofanyiwa Kibanda is "an action!" tuu, kitu kibaya zaidi ni "the motive behind!" yale aliyofaniwa.(Tuendelee kumtakia Kibanda Uponyaji wa Haraka, atakaporeajea salama, kwa idhini yake, nitaweka wazi the motive behind!.

2. Baada ya Video ya Rwakatare kutoka, mimi nilikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kuelezea kuwa video ile
ni "bonafide genuine" just by looking at it with naked eyes!. Nikapandisha uzi kuhusu hiyo video, nikasema watu wamejikita zaidi katika authenticity ya video ile kuliko contents!, na kueleza japo the target ni mwanahabari Msaky, mlengwa halisi hakuwa Msaky, nikashauri tujikite kwenye the "motive behind", why Msaky!, no one bothered!.

3. Sasa leo ZZK ameleta hii

Baada ya maelezo hayo ya ZZK, sasa ndio wengi wanaanza kufungua macho kuwa kumbe "kikulacho, ki nguoni mwako".

Sasa ndio namtaja kirusi hicho ndani ya Chadema kwa kutumia code name ya XYZ, kwa formular ya if X=Y, na Y=Z, Then X=Z!. to get the names, one has to crack the codes!.

Kwa vile hii ni hypothesis tuu, na bado haijawa postulate yenye proof!, naomba sana tusianze kutaja taja majina humu, kwa sababu moja ya matukio haya, tayari kesi iko mahakamani na huko ndiko majina halisi yatapoibukia pale kesi itakapo anza kusikilizwa, only if, mmoja/wahusika wakuu wata "confess!" na ndipo wengi wenu mtabaki midomo wazi, kwa kutoamini mtakacho kisikia!, unless watuhumiwa ni "mashujaa wa ukweli!, ambao watahimili kufunga midomo mpaka mwisho na kukubali "kufa kizungu" na tai shingoni, kwa kuifia Chadema kwa kuonyesha upendo mkubwa wa Mshumaa ambao ni ushajaa, kwa kumulikia wengine, huku wenyewe ukiteketea!.

Jee baada ya maelezo yangu, umeshajua "kirusi" ndani ya Chadema ni nani?. Kama na wewe umekijua, naomba unyamaze kimya!, usikitaje!, Ma Great Thinkers hawataji taji majina!, ile kujulikana tuu kwa kirusi, kuwa kipo, inaitwa "detection!" na ni anti virus tosha kuzuia kirusi hicho kisiendelee kuleta madhara makubwa zaidi ya hayo ambayo kimeisha yafanya ndani ya Chadema hata kama hakita angamizwa!.

Lengo la thread ni informative tuu kuwa "be aware", ndani ya Chadema kuna kirusi!.

Kwa wale msio jua, hata shetani, mwanzo, alikuwa malaika!, umdhaniye ndiye kumbe sie!. Kikulacho kii nguo mwako!.

Kinacho matter most kwa sasa, kwa ma GT, sio nini kimefanyika, bali "the motive behind!".

Natanguliza poleni kwa Chadema kwa yote!, penye nia pana njia!.

Namalizia kwa kukumbushia tuu kuwa

"Simple Minds Discuss People"-Hawa Watamjadili mleta mada ambaye ni Pasco.
"Ordinary Minds Discuss Events"-Hawa watajadili matukio, la Kibanda, la Rwakatare na la Barua ya Mhe. Zitto!
"Great Minds, Discuss Ideas" - Hawa watajadili, "The Motive Behind" ambayo ndio the real essence ya hii thread!

Wakati ukichangia, kwanza jiulize mwenyewe "where do you belong?", uko kwenye makundi gani kati ya hayo makundi matatu?, kisha ndipo uchangie according to kundi lako!, at least we'll know, thats where you belong!.

Nawatakia majadiliano mema!

Asanteni.

Pasco.

Ushauri wa Bure: Kwa mada zinazokuhitaji uwe ni GT, ukijigundua kuwa wewe sii GT, hivyo huna uwezo wa kudiscuss idears!, bali uwezo wako ni ku discuss people, kama wafanyavyo simple minds!, then nakushauri ujifanye ni GT kwa kukaa kimya na kutochangia kabisa. Sio lazima kuchangia kila thread!, ila pia kwa vile humu jf, kuna majukwaa mengi, then nashauri, stick kwenye mada za level na uwezo wako!.

NB-Pasco wa JF sio Great Thinker na Sio Mwanachama, Mshabiki, Mfuasi wa Chama chochote cha Siasa, bali ni mtu anayeandika kwa kuweka mbele maslahi ya taifa, kwa kuzungumza ukweli daima "the truth no matter what", with "objectivity", "impartiality" na "fairness and balance".

Zitto anatia mashaka ........ atuambie hiyo barua mletaji aliipataje wakati haina sahihi yake. Au atuambie kama alimuandikia Katibu Mkuu barua bila kuweka sahihi yake!!!!!

The degree of naivety amongst some of the self proclaiming "great thinkers" is nothing short of preposterous really. A simple program/software like Adobe Photoshop can easily erase a signature or even a logo from a scanned document. An obvious explanation here is Den Saatatu took Zitto's letter, scanned it and then erased the signature to suit his malicious intent. Unfortunately that simplest of the ideas seems to be beyond the comprehension of most folk in here.
 
Kama kuna kirusi CDM, ni suala la wakati tu kitaolewa hadharani, tuache speculations za kipuuzi. Hakuna mapambano popote pale yanayokosa wasaliti, lakini ole wao kwani historia haitwaacha salama hata kidogo.
 
Pasco ni aibu kwamba you are using a very cheap way to get the information you need. As a matter of fact you have come up here in the forrum to do fishing - casting your net far and wide, hoping that someone will give out a clue!

*It is a way of thinking but not great!
 
Back
Top Bottom