MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Bado Lema ana miaka 50 ya kuongoza jimbo la Arusha...atawafirimba magamba mpaka basi.
Kazi uliyopewa ya kushinda huku JF na kuanza kumfukuzia Lema na Dr. Slaa naona Watanzania wameshakushtukia. Lakini upo kazini endelea kupiga mihela kwa kutunga uzushi humu bila hivyo wewe na familia yako hamuendi Msalani ng'o
Wewe na MBOWE nani anayejua majaliwa ya LEMA?
Lema hatufai wana Arusha kama vipi kagombee kwa kina SOCIOLIGSTTZ Ndo wanataka matapeli wa Siasa
Unajua wewe october usibadilishe tu hili jina lako .
Utasubiri sana .
Kam humuamini hata mwenyekiti wa chama chako wewe si msukule tu!
LEMA kaondolewa na wenzie huko CHADEMA sio sisi.mnamwogopa sana
Huwezi simulia mvua isiyokunyeshea na wewe utakuwa msukule mwenzangu huwa tunapishana usiku leo tripu za wapi msukule wa lumumba.