Hizo siku nane za kukaa mortuary,nani alimwambia aende si angesubiri kwanza hukumu,naona leo kafurahi baada ya kuona ''mafuriko''teh tehWakuu, katika mwendelezo wa sarakasi nimemsikia Mbowe akidai watamfikisha mahakamani Mkumbo (RPC?) ili ajue gharama za kumweka Lowassa Mwanza. Watataka CHADEMA walipwe gharama za kumweka Lowassa siku nane. Wakati rais Magufuli akibana matumizi, NGO zinazojitambulisha Kama vyama vya siasa zinatafuta mianya ya kupigia pesa. Hawa ndio wapinga ufisadi!!?
Wakuu, katika mwendelezo wa sarakasi nimemsikia Mbowe akidai watamfikisha mahakamani Mkumbo (RPC?) ili ajue gharama za kumweka Lowassa Mwanza. Watataka CHADEMA walipwe gharama za kumweka Lowassa siku nane. Wakati rais Magufuli akibana matumizi, NGO zinazojitambulisha Kama vyama vya siasa zinatafuta mianya ya kupigia pesa. Hawa ndio wapinga ufisadi!!?
Ni nakwambia kamanda Mbowe ni mhuni tu na mbinafsi. Atashurutishaje wabunge wachangie kwa mtoto wa Mawazo bila ridhaa yao.!??? Yaani kafanya maamuzi tu ya kihuni huni. Sio zama zake hizi.
Je watoto wa Chacha Wangwe mbona wamtupwa kule
Je watoto na familia na Mwangosi mbona imetelekezwa? ?
Je mbona familia na dr Mvungi imetelekezwa? ?
Je mbona wapo wahanga wengi wa siasa ambao wametangulia mbele ya haki kwa ajili ya kutetea ukawa na chadema mbona wametelekezwa? ??
Kwa nini iwe kwa Mawazo? ??? Na kuamua kuwalazimisha wabunge, wengine ni wapyaaa hata hawataki biashara ya kupelekeshana kama hiyo? ?

Kulikuwa na ulazima Mhe. Rais kusema atamlipia mgonjwa Muhimbili kupitia mshahara wake? Mbona kawaida sana mkuu?
Kulikuwa na ulazima Mhe. Rais kusema atamlipia mgonjwa Muhimbili kupitia mshahara wake? Mbona kawaida sana mkuu?
Nafuu huyo aliyetangaza kuchanga fedha za kumsomesha mtoto wa marehemu kuliko yule aliyetangaza kumtibu Ray C kwa kuelemewa na madawa ya kulevya yaani TEJA huku waliomsababishia uTEJA huo wakiachwa wakiendelea na biashara hiyo.
Kulikuwa na ulazima Mhe. Rais kusema atamlipia mgonjwa Muhimbili kupitia mshahara wake? Mbona kawaida sana mkuu?
Politiki nikuulize.wewe BABELI NDI MHUNI UNAYEPIKA HABARI
Nani alikwannbia kuwa wabunge walishuritishwa mhuni Babeli?? hayo yalikuwa makubaliano ya kikao cha wabunge wenyewe
NAifahamu familia ya chacha wangwe nani aliyekwambia familia yake imetelekezwa mhuni Babeli na majibu yake umeyaona kwenye uchaguzi wana Tarime wameipa nini chadema unafikiri cdm imtelekeze familia yake halafu leo wana Tarime waipe zawadi ya jimbo cdm grow up babeli.
Mwangosi anausika vipi na cdm ?? hakuwa mfanyakakzi wao wala mpiga debe wao lakini wameaidi kusoma mtoto wao wake kwa hiyari yao wenyewe ujue kuwa cdm ni chama chenye utu, mwangosi alikuwa mwajili wa channel 10
Dr.Mvungi hakuwa mwajiiliwa wa cdm wala hakuwai kufanya kazi cdm sasa sijui wana usika vipi na issue yake mpaka anakufa mvungi alikuwa mwajiliwa wa serikali kwahiyo inawajibia naye hapa pameonyesha uenda babeli kichwa yako haijakaa sawa.
kwanini iwe kwa mawazo tu??
Mawazo alikuwa ni kiongozi na mtumishi wa chadema amefia kazini ameacha mtoto mmoja halafu hutako achangiwe ili upige kelele kwanini hakuchangiwa next time uliza kabla ya kuanza kutoa madai yako ya ajabu kama haya ya kulazimisha wabunge
Kulikuwa na ulazima Mhe. Rais kusema atamlipia mgonjwa Muhimbili kupitia mshahara wake? Mbona kawaida sana mkuu?
Mpumbavu nyumbu wewe, kudai fidia eti sababu kumweka Lowassa Mwanza ni gharama kubwa ni upuuzi uliopitiliza. Nyumbu weee
Watu kila kitu wanaleta siasa mkuu... Hadi wanapoteza reality.
Mjinga daima hupenda kusifiwa lazima aseme kwa watu ili aonekane.Mbowe ana mambo ya ajabu sana! Hivi kulikuwa na haja gani ya kuutangazia ulimwengu kuwa wabunge wa UKAWA watachanga pesa eti laki 3 ya kumsomesha mtoto wa Mawazo!? Hivi alishindwa kuongea na wabunge wake kimya kimya huko mpaka atutangazie!?
wakimshita itakuwa imekaa poa sana,kwa kuwa wananchi wamepata hasa kwa uzembe wa amri isyo halali,pia amepoteza kodi za wananchi bila sababu
magufuli hataki kuchezea hela za serikali za uma sasa lowasa anatumia hela ya nani na wewe mbowe unatakiwa ulipe kodi za ulizouza chama