CHADEMA kumsafisha Lowassa!

CHADEMA kumsafisha Lowassa!

mamlaka pekee yenye uwezo wa kumsafisha mtu ni mahakama c vinginevyo

Na hata hiyo mahakama haikurupuki tu na kumsafisha sharti shauri lipelekwe mbele yake. Sikumbuki ni lini EL alifikishwa kwa pilato.
 
Chama kinaingia madarakani kwa mikakati sahihi sio kwa kulipa fadhila kwa maveterani.
 
Haya yote ni upuuz mtupu,, kuna aliyepost kwamba haitaisha week lowassa atakuwa keshajiunga CDM, leo hii ni week ya Pili tunaenda ya tatu,,msipende kutupotezea mda na post za kijinga bhana,,, siyo mpaka upost,,, if you dont have something concrete to post,, shut ur damn mouth or switch off ur godamn Tecno and take a diaper then get some sleep
 
Kama mlikataa mchezaji Edo kuwa hafai na eti umati wote uliomsindikiza kuchukua na kurudisha fomu tumekula rushwa mnamfuatafuata wa nini kwenye timu pinzani? Mbona huyo Maghufuli analiyeteuliwa washabiki wanajaa kwenye mapokezi anawapa rushwa za kifisadi pia? Tuache ushabiki wa kijinga na mngekua wasafi kivile mngalimshtaki mahakamani kama B. Mramba.
 
Laiti na Mungu huyu anayeumba, kusamehe na kuhukumu angekuwa kama hivi ufikiriavyo, sijui ni nani angepona!

Mungu angekuwa anasamehe tu mkosaji bila kujutia kosa na kutubu basi jehanamu isingekuwepo.lowasa aje afundishwe uzalendo kama mtanzania yeyote siyo Kuwa mgombea.hakika akiwa mgombea narudisha kadi.
 
Na hata hiyo mahakama haikurupuki tu na kumsafisha sharti shauri lipelekwe mbele yake. Sikumbuki ni lini EL alifikishwa kwa pilato.

yeye eddo we nu mbona hakwenda kudai mahakamani ili asafishwe?ni nini kilicho mpararaizisha?
 
Chadema itashirikiana na mtu yeyote aliyetayari kuiangusha ccm hata kama ni shetani chadema tutampa sapoti ilimradi tuteketeze maccm.

Mmh! Chadema iko tayari kushirikiana na CCM kuiondoa CCM madarakani. SIASA mchezo mzuri sana.
 
Ukawa angalien kuweka mgombea makin ili tushinde lowasa anafaa manake mkimueka lipumpa chadema watamaind mkimueka slaa ukawa utavunjika mueken Lowasa ashatabiriwa na TB joshua atakua rais

Who is TB Joshua kwenye siasa za Tanzania?
 
Mim inanichekesha sanaaa yan huwa nacheka kwelii ninapokuta post za dizain hii yan watu wanavaa uhusika wa Chadema na Ukawa utadhani kwel, wanaongea kwa uchungu mnooo na point sanaa ila wanasahau ktu kimoja tu "ukiona chungu ujue kuna tamu yake hyo" Mmekata katulia kmyaa kama alivyokaa kmya miaka7 lkn bado mnamuingilia sasa mpk kwny akili yke. Elewen Ccm nchii hii ni huru muacheni mtu aishi afanye maamuz yke kiuhuru. Sis ukawa tunajua nn kitatokea October 2015 na nyny subirin kuwalaum kina Knanaaa na Napeuryee kwa sisasa zao.
 
Ambaye hatarudisha Kadi Lowassa akihamia CDM ni ama Mchagga au Mmasai.

hata mchaga na mmasai mzalendo hawez kula sahani moja na lowasa.kuna MTU hapo juu kasema Mimi ni gamba pure mwache ajidanganye mambo yakishaharibika kwa kuendekeza uroho Wa pesa hatutakuwa na wakumlaumu
 
Ama kweli malipo hapa hapa duniani ndugu za ngumi haaa.. Chadema walimzunguka nchi nzima kumsema Ndugu Lowassa kuwa jitu kuu papa la ma papa fisadi la mafisadi kuwai tokea.. Vyombo hivyo hivyo na watu wale wale ndo wanao mpiga magoti makubwa, ndo Boss wao ndo Mungu wao Zaid ha dj wetu mwenyekiti wa chama..

My take.. Goes around come around.. Siasa tamu sana.. Endeleeni kusafishia visadi wenu hadi awe pweupe.. Hapa kazi tu .
 
Hata Lowassa alijua ndio maana kaenda ukawa,na Kibajaj alionhea kabisa bungen kwamba anaekuchafua ndie atakaekusafisha
 
Wakati EL akiwa Pm kulikuwa na makundi kama 3 hivi ndani ya CCM na kila kundi lilikuwa likijiandaa kwa akili ya kuhakikisha Mgombea wao anagombea Uraisi 2015. EL alikuwa na nguvu kubwa sana ndani ya Chama na kundi lake pia. Ili kumdhoofisha ilibidi ahusishwe na skendo ya Ufisadi na CDM bila kujua au kwa kujua waliegemea upande wa wanaompinga EL. Naamini baadae CDM waligundua makosa na kuamua kumsafisha. Ndiyo maana hadi hivi Leo hakuna anayethubutu kumpeleka mahakamani because HE IS INNOCENT.
 
Kuna habari zimeanza kuzagaa kuwa CHADEMA wanapaswa kumsafisha Lowassa kupitia chama chao ili aweze kugombea urais kwa tiketi ya UKAWA kupitia CHADEMA.

My take: CHADEMA tegemeeni chama kuondoka mikononi mwenu mana Lowassa anakuja na timu yake na hela yake hapo ni njia ya kutimiza malengo yake yeye na mtandao wake. So tegemeeni CHADEMA kutumika kama condom kama Shibuda alivyo kitumia
haiwezekani kuna watu wamekijenga chama muda mrefu mpaka mabomu wamepigwa Leo kuelekea uchaguzi eti watu wanahamia hayo mambo mtatuboa wapenzi Wa CHADEMA.
Du! ahsante JF
 
Kuna habari zimeanza kuzagaa kuwa CHADEMA wanapaswa kumsafisha Lowassa kupitia chama chao ili aweze kugombea urais kwa tiketi ya UKAWA kupitia CHADEMA.

My take: CHADEMA tegemeeni chama kuondoka mikononi mwenu mana Lowassa anakuja na timu yake na hela yake hapo ni njia ya kutimiza malengo yake yeye na mtandao wake. So tegemeeni CHADEMA kutumika kama condom kama Shibuda alivyo kitumia
haiwezekani kuna watu wamekijenga chama muda mrefu mpaka mabomu wamepigwa Leo kuelekea uchaguzi eti watu wanahamia hayo mambo mtatuboa wapenzi Wa CHADEMA.
Du! ahsante JF
 
Back
Top Bottom