CHADEMA Kulikoni Wilaya ya Kilosa???

CHADEMA Kulikoni Wilaya ya Kilosa???

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,464
- Toka Jumapili nipo katika ziara ya kikazi ya Wazazi/CCM Taifa katika Wilaya zote za Mkoa wa Morogoro, tulianza na Gairo, Ifakara, Mahenge na leo ilikuwa zamu ya Kilosa na nipo hapa sasa hivi na kesho nitakuwa Mvomero na Mzumbe University. Kilichonishitua hapa Kilosa ni kuona kwamba hakuna CHADEMA presence kabisa, yaani hata Madiwani wote ni wa CCM, I mean ni vigumu sana kwetu CCM kutawala bila kukumbushwa mapungufu yetu na Chadema sasa wanapokuwa hawapo kabisa mara nyingi inapelekea Viongozi wetu wa CCM kujisahau.

- Halafu inakuja hoja yangu ya msingi, Vipi CHADEMA kumpeleka Slaa DC Washington badala ya kumleta huku Kilosa aje ajaribu kufungua matawi? I mean Tawi la Kilosa si linaweza kuwa muhimu kwa Chadema kuliko tawi la wanachama wanne la DC Washington/USA? Chadema ni muhimu sana mkaangalia priorities zenu kwa sababu hii no moja ya changamoto kubwa inayowatesa sana ya kukimbilia kuanzisha matawi ambayo ni fruitless huko nja na kwa gharama kubwa kuliko kuhangaikia hapa Bongo kwa gharama ndogo na yenye matokeo ya kura kwa chama chenu.

- I mean kesho Mvomero, it was great kufika Mhenge tena jana the place that was once my second home kwa sababu ndipo niliposoma Sekondari, I went there jana na kuwaahidi Shule kwa ujumla kwamba nitawakusanya watu wote maarufu waliowahi kusoma pale kusudi tuwasaidie na changamoto zao, pia niliongea sana na DC na Mkurugenzi wa Wilaya kuhusu kuwapatia gari la Shule, wameniahidi watalifanyia kazi so Mahenge angalau kidogo CHADEMA wapo, jamani ni muhimu sana Chadema mnapokuwepo maana mnasaidia sana kutuamsha CCM tunapolala kidogo!!

- Hapa ni bwenini Nyerere Dom na hiki ni kitanda cha deka nilicholalia Miaka 30 iliyopita nilipokuwa nasoma hapa Kwiro Sekondari, it was great to be here again ninamshukuru sana Mungu kwa kunipa nafasi ya kurudi tena hapa nikiwa mzima.

Le Mutuz
 
CUF, TLP, NCCR, ADC, PPT Maendeleo..... Hawa wapo? Mbona huwaulizi? CHADEMA ndo wanaowanyima usingizi kweli sasa nimeamini
 
Hivi Mwigulu kaenda Marekani kufanya nini vile........??????. Na kwa nini asiende Arusha ambako CCM imelala dolo???????
 
CHADEMA ni chama cha kutafuta sifa siyo kuwatumikia watu siyo hapoa tu CHADEMA hawapo sehemu nyingi sana.
 
Hivi Mwigulu kaenda Marekani kufanya nini vile........??????. Na kwa nini asiende Arusha ambako CCM imelala dolo???????
Linganisha na utofautishe then utapata majibu yako kweupe tu.
 
Malecela, si wanasema adui muombee njaa? Kama CHADEMA haipo Kilosa si ndiyo raha ya CCM? au ndiyo ule utaratibu wenu ili siku iende lazima chochote unachoaandika neno CHADEMA litokee?
 
Malecela, si wanasema adui muombee njaa? Kama CHADEMA haipo Kilosa si ndiyo raha ya CCM? au ndiyo ule utaratibu wenu ili siku iende lazima chochote unachoaandika neno CHADEMA litokee?

- Jamani swali nililouliza mbona ni dogo sana kwamba kwa nini Chadema hawapo hapa Kilosa? Sasa kama kweli hapa Kilosa tu hampo je mtaweza vipi kushika Dola kama mnavyodai bila kuwepo sehemu muhimu kama hizi? Mbona ni swali dogo sana I mean Mheshimiwa Mwigulu anatokea Chama Tawala so akienda USA ni kuendeleza tu mwendo wa kasi zaidi, ila Slaa kwenda DC Washington na huku Kilosa tu hampo kabisa inaleta maswali mengi sana kuliko majibu, au mnasemaje?

CCM mbona haipo Pemba?Mmeshinda chaguzi yyt Pemba?

Lemutuz kwenye siasa tambua kuwa kila chama kina strong holds zake!
 
Mwambie Nchemba akaimarishe matawi Arusha,na arudi route ya USA

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi Mwigulu kaenda Marekani kufanya nini vile........??????. Na kwa nini asiende Arusha ambako CCM imelala dolo???????

I second you mkuu. Huyu big boy anajifanya kuongea vizuri while indeed he's mocking us...! Au alitaka tujue PRESENCE YA UWEPO wake Moro.
 
Shule za wazazi zipo hoi bin taaban, walimu wake hawajalipwa mishahara zaidi ya miezi minne halafu wewe LE MUTUZ na mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mnatumia mamilioni ya fedha kuzunguka uko SHAME ON YOU PEOPLE.
 
- Jamani swali nililouliza mbona ni dogo sana kwamba kwa nini Chadema hawapo hapa Kilosa? Sasa kama kweli hapa Kilosa tu hampo je mtaweza vipi kushika Dola kama mnavyodai bila kuwepo sehemu muhimu kama hizi? Mbona ni swali dogo sana I mean Mheshimiwa Mwigulu anatokea Chama Tawala so akienda USA ni kuendeleza tu mwendo wa kasi zaidi, ila Slaa kwenda DC Washington na huku Kilosa tu hampo kabisa inaleta maswali mengi sana kuliko majibu, au mnasemaje?

Le Mutuz

Na mimi nakuuliza swali hivi wakati mnatengeneza bajeti ya zaidi ya 100m kwenda mbeya na moshi wakati shule za wazazi hazilipi mishahara walimu na zipo hoi kitaaluma ni akili au matope.
 
CCM mbona haipo Pemba?Mmeshinda chaguzi yyt Pemba?

Lemutuz kwenye siasa tambua kuwa kila chama kina strong holds zake!

- Mheshimiwa sana sometimes uwe unakubali kwamba Chadema mna mapungufu mengi tu na hili ni mojawapo wala halina mabiashano!!

Le Mutuz
 
Shule za wazazi zipo hoi bin taaban, walimu wake hawajalipwa mishahara zaidi ya miezi minne halafu wewe LE MUTUZ na mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mnatumia mamilioni ya fedha kuzunguka uko SHAME ON YOU PEOPLE.

- Waalimu hawajalipwa mishahara kwa sababu ya wizi wa waalimu wakuu wao kwa sababu wanafunzi wapo na wanalipa ada, otherwise it is not a topic here fungua topic yake hapa ninasema Kilosa hakuna Chadema, that is the point mkuu sana! ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
Linganisha na utofautishe then utapata majibu yako kweupe tu.
Unataka arudie zoezi hilo ili apate jibu unalotaka wewe?yeye ameshafanya utafiti na amekuja na jibu hili,ni juu yako sasa kujibu hoja ya msingi badala ya kurukaruka!
 
mkuu kila ukiwekaga picha hapa lazimaaa uwe umejiegemeza sehemu nini tatizo?
 
mimi siwapendi ccm hata kidogo hata wale ambao hawajaniudhi kwa lolote. LAKINI LEO LE mtuz kaongea ukweli kiasi.kazi kubwa iliyo mbele yetu CHADEMA ni kupeleka ushawishi wa CHAMA vijijini.watu wajiunge na chama kwa wingi huko vijijini.wapiga kura waaminifu ni wanawake wa vijijini.nguvu kubwa ielekezwe huko na ikiwezekana utafiti ufanyike kubaini wapi wabunge wa CCM wamechokwa na wananchi ndio CHADEMA waelekeze nguvu isiyo na kikomo huko.kilosa ni katika majimbo yaliyo chini ya ccm ambayo wananchi wamemchoka mbunge wao.
 
Chadema ni chama cha kutafuta sifa siyo kuwatumikia watu siyo hapoa tu chadema hawapo sehemu nyingi sana.

KWI KWI KWI... Mkuu umetegwa nawe umetegeka? Kwn aliyekwenda washngton ni slaa au mwigulu? Hebu xoma tena thread hyo.
 
- Mheshimiwa sana sometimes uwe unakubali kwamba Chadema mna mapungufu mengi tu na hili ni mojawapo wala halina mabiashano!!

Le Mutuz

Ni kweli mkuu Le Mutuz hamna chama kisicho na mapungufu na kukataa kuwa CHADEMA hawana mapungufu sio sahihi!

Mapungufu ya CCM ni haya:

Kwa nn wasimtume Le Mutuz Pemba ambako walishindwa vibaya 2010 na kukosa Jimbo hata moja lkn wanamtuma Morogoro waliposhinda majimbo yote 2010?

Kuvunja sheria za kimataifa kwa kumsimamisha then kumfundisha cha kuongea Balozi wa Taifa lenye nguvu kiuchumi la China bila kujali mkataba wa Geneva unasemaje kuhusu mahusiano ya nchi 2 marafiki!

CHADEMA na CCM nani ana mapungufu hatari?
 
kilosa chadema ipo kwan kuna kijana mmoja anaitwa seleman simba ndo mwenyekiti na anawasumbua sana madiwani wa ccm wa kata za kilosa mjini. cha muhimu huyu seleman simba na wenzake wapewe support ya hali ya juu ili kuimarisha chama pale kilosa.
 
Back
Top Bottom