CHADEMA_KUSINI
Member
- Jan 4, 2015
- 29
- 13
Wanajamvi CHADEMA kinatarajia kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Mashujaa Mtwara Mjini. Mkutano huo utafanyika tarehe 12 - 04 - 2015 kuanzia saa nane (8:00) kamili mchana. Mkutano huo utahutubiwa na Viongozi wa Kitaifa wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Tanganyika Mh. John John Mnyika. Wanachama na wapenzi wa maeneo ya Mikoa ya Lindi na Mtwara mnakaribishwa sana.