Nini ajenda ya mikutano hiyo?
Hivi Chadema hakuna sehemu nyingine mnayoweza kufanya mikutano yenu zaidi ya Arusha..Kwa nini mnapenda kulivuruga sana jiji la Arusha? Mbona sijawahi kusikia mkifanya mikutano Moshi?
Matusi
Nini ajenda ya mikutano hiyo?
Ushoga na usagaji hauna nafasi Tanzania yetu
hivi chadema hakuna sehemu nyingine mnayoweza kufanya mikutano yenu zaidi ya arusha..kwa nini mnapenda kulivuruga sana jiji la arusha? Mbona sijawahi kusikia mkifanya mikutano moshi?
Nitakuja. Nasikia Lema leo anagawa tena zile picha zake.
Hivi huwa hakuna maeneo mengine zaidi ya Arusha kila siku Chadema na Arusha ni chama cha Arusha au Tanzania.Wapendwa wanna bodi ya Jf amani iwe mioyoni mwenu,
Siku ya Leo chama cha demokrasia na maendeleo kitafanya mkutano wake Sanawari ya juu.
Wahutubiaji wakuu ni mwanasheria mkuu Wa chama Tundu lisu na halima mdee.
Kama mnavyojua jimbo hili linaongozwa na Ole Medeye-CCM.
Tayari m/kiti Wa CHADEMA Arumeru Magharibi na Diwani Wa Engutoto Gibson .
Ametangaza kumvaa ubunge 2015.
Hivi mtu akiwa mfuasi wa Chadema ndiyo kaelimika?watu wa moshi walishaelimika siku nyingi!
Hivi Chadema hakuna sehemu nyingine mnayoweza kufanya mikutano yenu zaidi ya Arusha..Kwa nini mnapenda kulivuruga sana jiji la Arusha? Mbona sijawahi kusikia mkifanya mikutano Moshi?
Hivi mtu akiwa mfuasi wa Chadema ndiyo kaelimika?