LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Nitakuja. Nasikia Lema leo anagawa tena zile picha zake.
Fichaga upun,.,guani Wako mjinga weeee!
Nitakuja. Nasikia Lema leo anagawa tena zile picha zake.
Wapendwa wanna bodi ya Jf amani iwe mioyoni mwenu,
Siku ya Leo chama cha demokrasia na maendeleo kitafanya mkutano wake Sanawari ya juu.
Wahutubiaji wakuu ni mwanasheria mkuu Wa chama Tundu lisu na halima mdee.
Kama mnavyojua jimbo hili linaongozwa na Ole Medeye-CCM.
Tayari m/kiti Wa CHADEMA Arumeru Magharibi na Diwani Wa Engutoto Gibson .
Ametangaza kumvaa ubunge 2015.
Hivi huwa hakuna maeneo mengine zaidi ya Arusha kila siku Chadema na Arusha ni chama cha Arusha au Tanzania.
Nini ajenda ya mikutano hiyo?
Nitakuja. Nasikia Lema leo anagawa tena zile picha zake.
Nitakuja. Nasikia Lema leo anagawa tena zile picha zake.
Ni kwamba Godbless lema na Golugwa wako active sana, ndiyo maana huwa anahitisha mikutano mingi
Lisu kanifurahisha sana lei amedai viongozi wrote Wa kidini wakiwemo mashehe na maaskofu wameikataa katiba ya sit aHivi mtu akiwa mfuasi wa Chadema ndiyo kaelimika?
Kiingilio shillingi ngapi?
Mkuu MSALANI biashara matangazo.
Fichaga upun,.,guani Wako mjinga weeee!
Wapendwa wanna bodi ya Jf amani iwe mioyoni mwenu,
Siku ya Leo chama cha demokrasia na maendeleo kitafanya mkutano wake Sanawari ya juu.
Wahutubiaji wakuu ni mwanasheria mkuu Wa chama Tundu lisu na halima mdee.
Kama mnavyojua jimbo hili linaongozwa na Ole Medeye-CCM.
Tayari m/kiti Wa CHADEMA Arumeru Magharibi na Diwani Wa Engutoto Gibson .
Ametangaza kumvaa ubunge 2015.
umezoea t shirt,kofia, kupanda fuso, sinia la wali na buku saba za lumumba
Watakuwa walifanya utani tu , mbona arusha hakuna ccm !Kuna post niliona humu kwamba ccm watajibu mapigo leo,vp tena wameingia uvunguni au?