Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,650
Wapendwa wanna bodi ya Jf amani iwe mioyoni mwenu,
Siku ya Leo chama cha demokrasia na maendeleo kitafanya mkutano wake Sanawari ya juu.
Wahutubiaji wakuu ni mwanasheria mkuu Wa chama Tundu lisu na halima mdee.
Kama mnavyojua jimbo hili linaongozwa na Ole Medeye-CCM.
Tayari m/kiti Wa CHADEMA Arumeru Magharibi na Diwani Wa Engutoto Gibson .
Ametangaza kumvaa ubunge 2015.