CHADEMA kufanya maandamano mengine Arusha ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kufanya maandamano mengine Arusha ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Jan 8, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Katibu mkuu wa CCM Mkoa wa Arusha, amelaani maandamano ya CHADEMA huko Arusha na kusababisha vifo vya watu wasio na hatia. Amesema kama kisa cha maandamano ni kwa sababu ya umeya, ni kuwa uchaguzi wa meya umeisha kwisha na meya ameisha patikana. Kwa yule ambae hakubaliani na uchaguzi huo aende mahakamani.


  Source : ITV Habari ya saa mbili usiku 08.01.2010
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Kinyaa...., !
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo maandamano mengine mnatayarisha ili watu muwatoe wawe mbuzi wa kafara ??
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Kinyaa...!
   
 5. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyo mama ndiyo chanzo cha vurugu hizo bado anasema waende mahakamani. Hii ni demokrasia mpya ya Tanzania. uchaguzi unafanyika kwa kukiuka kanuni na taratibu halafu mshenzi mwingine anakwambia mahakamani kwa sababu anajua kuwa mahakimu ni wa CCM? hata wakati wa uchaguzi mkuu wasimamizi wa uchaguzi walipokuwa wanaulizwa na wagombea kuwa mbona matokeo yanayotangzwa siyo yaliyo katika nakala ya fomu za matokeo, wasimamizi walikuwa wanawajibu kuwa kama hawataki waende mahakamani.
   
 6. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,844
  Likes Received: 11,962
  Trophy Points: 280
  Kama mme wako hakutoshelezi nibip.
   
 7. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maandamano yatafanyika tena, kama hali ndiyo hii ccm bado au la inabidi waachie
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Huyu mama wakuja haijui arusha!
   
 9. K

  Kipara kikubwa Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huyu Mary Chatanda ni mjinga sana anaona sisi hamnazo, yeye ndo chanzo cha haya yote kwanza kwa taarifa tu huyu mama hata huo ubunge kabebwa na mkulu mwenyewe ambaye alimwita kutoka Iringa na kumtaka akagombee tanga viti maalumu ili kurahisisha mawasiliano kwani na hii inasemekana ni mali yake. Hatari tupu! Ubinafsi wao ndo umepelekea mauaji ya watu Arusha, siku zao zinahesabika!
   
 10. m

  mbezibeach Senior Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mama nae anatafuta umaarufu tu...msameheni bure....hili swala ni kubwa sana kwake
   
 11. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kodo lyake:cell:
   
 12. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :A S-confused1:
  Angekuwa mjinga tungemwelimisha ila hapa naona ni mpum.......................... :A S-confused1:fu mmoja hivi.

  Huyu kwa vyovyote atakuwa ni MGAGA GIGI KOKO au ukoo wa BULICHEKA
   
 13. n

  niweze JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawa Ndio Wachafua Amani Tanzania. Kama Huyu Kiongozi wa CCM Katoa Hii Statement, Watakiona cha Moto Kinakuja. Bado CCM Wanaona Wao Watafanya Lolote Tanzania na Watanzania Tuta Kaa Kimya na Kwenda Kulala, Thats Wrong Impression. CCM Jiandaeni na Moto TAIFA Zima.
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Nimejizuia sana kuchangia chochote tangu CCM wajipambabanuwe kwamba wao cha umuhimu kwao ni madaraka na si kitu kingine chochote, nimefuatilia kwa makini sana michango ya wadau hapa jamvini, ili nisipigwe ban naomba yeyote asomae threa hii angaalie tu signature yangu nadhani huo ndio mchango wangu. kuna watu wanatumia tumbo na makalio kufikiri hao huwezi kuwa nao sawa hata siku moja, ni sawa na north and south aziwezi kuwa pamoja milele, nadhani hapo nimeeleweka.
  ONYO: Wewe Yusuf Rajab Makamba ni muislamu, nakuomba sana tena sana acha kukidhihaki kitabu chetu kitakatifu Biblia kuhalalisha mauwaji, wewe ni muislamu koran haina mapungufu yoyote, ninakuamuru kuanzia leo anza kunukuu kutoka kwenye koran kitabu unachokiamini kutoa mifano mbalimbali, uvumilivu una kikomo kama maaskofu wameshindwa kukukemea kuhusu hili sasa subili watu ambao tuna hasira tukufundishe kwa vitendo.
  Nina uhakika kama makamba angetumia koran tukufu kutoa mifano yake ya kishetani basi misikiti yote ingeadamana kumlaani, wakristo mko wapi mnakubali huyu mwehu kukinjisi kitabu chetu kitakatifu kila siku huku akikiheshimu kitabu kitakatifu anachokiamini ambacho ni koran?
  Angalizo: usicoment post yangu kabla haujaisoma kwa makini na kujuwa ni nini maudhui yake. mtu yeyote anaetumia makalio kufikiri badala ya akili hana hadhi ya kucomment post yangu. asante
   
 15. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mtindio wa ubungo? ah sorry, ...
   
Loading...