Chadema kuanguka chali

Chadema kuanguka chali

Unaweka facts ikiwa kama unazungumzia Chama chenye kuonyesha uzalendo ,lakini hawa jamaa ni wajuaji kuliko unavyowafahamu ,na hizo facts za kuziangalia zipo tele ,kwa uchache angalia madai yao pale bungeni na yale majina yao waliyoyataja ya mafisadi kwenye majukwaa ya mikutano ni kupoteza wakati wa wananchi, jiulize madai yao yamefikia wapi ? Hawa huwaamsha wezi tu hio ndio kazi yao ,yaani wao ni kama indicators ,wabunifu wao CCM(CDM ni mtoto wa CCM) ,CCM waliiunda CDM kuwa chama mbadala au chama cha kuusambaratisha umma wa Taifa hili kama tuonavyo ,wezi wanapeta ,mafisadi wanatetewa na haohao Chadema ,si unamuona yule wanaemuta Zitto msaliti.
kaka hapa sijakuelewa unamaanisha nini? mbona haueleweki? hebu rudia tena this reply
 
Yakhee ,Salim si mzanzibari aliwahi kusema yeye ni mnyasa pili hali kadhalika Mwinyi nae ndio kabsaa ni mzaramo wa hapo Kisarawe

Huyo Safari ndie mgombea kwa tiketi ya Chadema 2015 ,semeni kama hamjasikia maana wenyewe eti wanaifanya kuwa ni siri kubwa.

Dalili za mvua inasemwa ni mawingu japo wengine tunasema ni upepo ! Kigogo nilimhoji ni vipi Chadema itakufa wakati jamii kubwa ya WaTz wameidondokea ? Alinishangaza na kusema kwani huikumbuki CUF ambayo ni chama kilichokalia kivita kuliko vyama vingine vyote hapa Tanzania ? Nikajibu ni kweli CUF ni chama kisichokuwa na lelemama kimefanya kweli na kimeingia Ikulu lakini ndio kimeshuka chati ,hapo kigogo ndipo akaja juu na kusema na Chadema nayo itashuka ,baya zaidi kwa Chadema hata ikulu haitokanyaga.
Kesi ya ngedere unampelekea nyani? unafikiri angekujibu nini zaidi ya propaganda? Pia nashukuru kwa kauli yako mwenyewe kuwa CUF
imeingia ikulu na ccm. Sasa je,chama hicho kinaweza kuwa kambi moja ya upinzani na chadema?
 
Mkuu with respect huwezi kusema maneno yako bila kuleta facts, ni vizuri ungeweka grounds ambazo zingetusaidia kuweza kuijadili mada kwa marefu na mapana.

naunga mkono, facts ni muhimu, mie wajameni naomba wanaosema cdm kuna udini na ukabila ufafanuzi pls!!!!!!!!!!! (and the ccm is very good in destroying opposition, kwa hili wako makini sana na wanalijua kulifanya. remember nncr? marando, mrema and others)
 
Hizi ni dalili za mtu mwenye mapepo. Nonsense per excellence
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima.
Habari zinasema kuwa kama kufa basi Chadema itakufa na kusahaulika kabisa na pengine kujulikana kwakwe itakuwa Chama kilichokuja juu kama uy hahaha
 
Unatafuta umaarufu na thread zako zisizokuwa na kichwa wala miguu. Usipost maneno ya kwenye baa hapa kwa great thinkers. Wewe ndo mdini na ukabila unakunyemelea pia
 
ccm mawazo yenu ni jinsi ya kushinda uchaguzi tu, hamna mawazo ya kutatua matatizo yanayowakabili watanzania, kwa mtindo huo mnategemea chadema itaanguka kivipi kama ccm yenyewe mawazo yao ni hasi ya kushinda uchaguzi siku zote. Kwa mtindo huo chadema kuanguka ni vigumu, na kwa mawazo hayo ccm ipo karibu kuanguka, na kada wa ccm aliyekupa habari hizo asifikiri watu wote ni wavivu wakufikiri kama yeye.
 
kajipange vizuri unapokuja kuongea na magreatthinker
 
Nani aliwaambia kama Salimu Ahamed ni Mzanzibari ? Wacheni uvivu tafuteni ,kuhusu kuanguka kwa Chadema hilo wandugu halina ubishi .CDM 2015 inakwenda na maji ,sawaswaa !

Jingine hivi niwaulize nyinyi na tarehe zenu ni lini Mzanzibari aliwahi kushika nafasi ya Uraisi wa JMT ??? Sasa niwasikiapo wengine wanaosema Wazanzibari tusahau kuupata uongozi wa juu wa SMT naona mtakuwa mna viherehere hamjui mnenalo!

Kweli wewe umelala usingizi pono.. kwa vile ni habari kutoka kwa mwana ccm basi tuziamini na kuzikubali kwani yeye nani mpaka atutabirie yajayo. ccm imeshakufa ife mara ngapi? Halafu wewe unaongea kama unaishi Russia vile na maandamano yaliyopamba moto bado unafikiri watu wanaitaka ccm?? Wake up and smell the coffee mkuu. Huu unabii wa kipuuzi wa ccm usituletee hapa.
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima.
Habari zinasema kuwa kama kufa basi Chadema itakufa na kusahaulika kabisa na pengine kujulikana kwakwe itakuwa Chama kilichokuja juu kama uyoga na kufa kama uyoga.
WaTanzania walio wengi wameanza kuona ubabe,ubeberu,ubepari unyanyasaji unaofanywa na chama hiki cha ajabu chenye kauli zinazobadilika kama rangi ya kinyonga.Chadema kama inavyojulikana kuwa ni chama cha kkijadi au chenye itikadi ya ukabila na udini mbele ,kimekuwa kikianguka kila siku ingawa kinapoanguka huzusha jipya na kupata wafuasi na baadae wafuasi hukikimbia kutokana na umangimeza ulio ndani ya chama hicho.
Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha Chadema ,CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa CCM.

Kweli wananchi watakusikila mtoto wa JK fisadi. Kama mnaona Chadema itakufa CCM itakuwa wapi wakati huo? Kama Chadema itakufa na Watanzania wengi watakuwa wamepigwa risasi na jeshi la polisi this is only way Chadema itakuwa kwa maana Chadema si chama kama CCM, Chadema ni Wananchi wahusika. Nilikuwa najua kabisa this is how CCM-criminals thinks kwa upeo wa giza waliokuwa nao. Tusieknde mbali, tuangalie sasa Tanzania Wananchi wangapi wanataka CCM waende jela? Tunawatakia CCM safari nje Saudi....
 
Ukistaajabu ya Malaria Sugu utayaona ya Mwiba. Kumbuka siku zote dua la kuku......
 
Nani aliwaambia kama Salimu Ahamed ni Mzanzibari ? Wacheni uvivu tafuteni ,kuhusu kuanguka kwa Chadema hilo wandugu halina ubishi .CDM 2015 inakwenda na maji ,sawaswaa !

Jingine hivi niwaulize nyinyi na tarehe zenu ni lini Mzanzibari aliwahi kushika nafasi ya Uraisi wa JMT ??? Sasa niwasikiapo wengine wanaosema Wazanzibari tusahau kuupata uongozi wa juu wa SMT naona mtakuwa mna viherehere hamjui mnenalo!


 
Hakika hizi ni hoja dhaifu mno na wala hazina mashiko. Ukutane na M/Kiti wa yanga akwambie kuwa 'simba itakufa' kabisa au ukutane na shetani akwambie 'Mungu nitamtupilia mbali' kwa sababu tu ni hasimu wake mkubwa basi ndio tayari itakuwa kama alivyosema?

Kimsingi mnaonesha jinsi gani mnaihofia nguvu ya CDM inayokua na kuenea kwa kasi ktk uma wa watanzania. Hata kama mnapika propaganda mzipike hadi ziive basi, sio mnaleta 'fixi' nyepesi hata mtoto mdogo atawadharau!
 
chadema ikianguka basi ccm itakuwa marehemu maana watanzania sasa tunaandaa jeneza la kuizikia ccm na mchumba wake cuf
 
Back
Top Bottom