Chadema kuanguka chali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kuanguka chali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Feb 5, 2011.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Msema kweli mpenzi wa Mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima.
  Habari zinasema kuwa kama kufa basi Chadema itakufa na kusahaulika kabisa na pengine kujulikana kwakwe itakuwa Chama kilichokuja juu kama uyoga na kufa kama uyoga.
  WaTanzania walio wengi wameanza kuona ubabe,ubeberu,ubepari unyanyasaji unaofanywa na chama hiki cha ajabu chenye kauli zinazobadilika kama rangi ya kinyonga.Chadema kama inavyojulikana kuwa ni chama cha kkijadi au chenye itikadi ya ukabila na udini mbele ,kimekuwa kikianguka kila siku ingawa kinapoanguka huzusha jipya na kupata wafuasi na baadae wafuasi hukikimbia kutokana na umangimeza ulio ndani ya chama hicho.
  Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha Chadema ,CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa CCM.
   
 2. P

  Pokola JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  :A S thumbs_down:
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  asubuhi-subuhi tu...........

  Mashuzi!!!!!
   
 4. W

  We can JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni ruksa kusema lolote!
   
 5. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
   
 6. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ubabe upi?
  Wa Richmond, Dowans, Kagoda, IPTL, RADA, Muafaka wa vyama viwili kati ya vingi, hebu tueleze. CUF ni upinzani au chama Twawala.
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  hata pumba
   
 8. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #8
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu with respect huwezi kusema maneno yako bila kuleta facts, ni vizuri ungeweka grounds ambazo zingetusaidia kuweza kuijadili mada kwa marefu na mapana.
   
 9. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  crap!!
   
 10. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu umenichekesha saana asbh-asbh na hapo juu lol!
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kumbe habari imetoka kwa mwana CCM ....basi habari hii ni propaganda
   
 12. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Unajua bila kuwa na watu katuni kama Mwiba duniani kungekuwa kuna-bore sana.....
   
 13. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Here we go again, a die hard CUF member predicting a major opposition party extinction and guess where is he reliably informed from?????? CCM... too low bro Mwiba!!!!!
   
 14. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Mwiba.

  Mkuu hoja ujibiwa kwa hoja bahati mbaya sioni hoja ya kukujibu.Kwanza nijitambulishe kwako kwamba mimi si mwanachama wa chama chochote za siasa ukitaka sababu kwanini si mwanachama wa chama chochote nitakupa sababu kibao.

  Mkuu kwanza niseme ukweli siamini kama itatokea tena Mzanzibar kutawala Tanzania.Mazingira yamebadilika sana Zanzibar ya leo ni nchi kamali si sehemu ya JMT mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yanazidi kuondoa uwezekano wa mzanzibar kutawala Tanzania.Zanzibar ilikuwa na nafasi ya kutoa rai wa JMT mwaka 2005 lakini ni wazanzibar wenyewe walio piga kampeni za kumpaka matope ya kipuuzi mpaka akaangukia pua,muda umeshapita sana Salimu A salim hana nafasi labda miujiza itokee.
   
 15. C

  Campana JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Je huyo Salim hatapigwa madongo hukohuko CCM na kubwagwa kama ilivyokuwa 2005? Au mara hii historia yake ya HIZBU imemezwa na mwafaka wa CCM na CUF?
   
 16. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Tena Mwana CCm mwenyewe Tambwe Hiza!.....CRAP:sick:
   
 17. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Namheshimu saana Salim na muda wake ulichukuliwa na JK!
   
 18. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Light trvels faster than sound. This is why CDM appear bright until you hear us speak. Nimeipenda hiyo
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  majani
   
 20. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nani aliwaambia kama Salimu Ahamed ni Mzanzibari ? Wacheni uvivu tafuteni ,kuhusu kuanguka kwa Chadema hilo wandugu halina ubishi .CDM 2015 inakwenda na maji ,sawaswaa !

  Jingine hivi niwaulize nyinyi na tarehe zenu ni lini Mzanzibari aliwahi kushika nafasi ya Uraisi wa JMT ??? Sasa niwasikiapo wengine wanaosema Wazanzibari tusahau kuupata uongozi wa juu wa SMT naona mtakuwa mna viherehere hamjui mnenalo!
   
Loading...