Chadema kuanguka chali

Mkuu with respect huwezi kusema maneno yako bila kuleta facts, ni vizuri ungeweka grounds ambazo zingetusaidia kuweza kuijadili mada kwa marefu na mapana.
Unaweka facts ikiwa kama unazungumzia Chama chenye kuonyesha uzalendo ,lakini hawa jamaa ni wajuaji kuliko unavyowafahamu ,na hizo facts za kuziangalia zipo tele ,kwa uchache angalia madai yao pale bungeni na yale majina yao waliyoyataja ya mafisadi kwenye majukwaa ya mikutano ni kupoteza wakati wa wananchi, jiulize madai yao yamefikia wapi ? Hawa huwaamsha wezi tu hio ndio kazi yao ,yaani wao ni kama indicators ,wabunifu wao CCM(CDM ni mtoto wa CCM) ,CCM waliiunda CDM kuwa chama mbadala au chama cha kuusambaratisha umma wa Taifa hili kama tuonavyo ,wezi wanapeta ,mafisadi wanatetewa na haohao Chadema ,si unamuona yule wanaemuta Zitto msaliti.
 
Mwiba,

Sababu za kuanguka kwa CDM hujataja ila hiyo ndio tabu ya kuongea na vigogo wa CCM.

Najua ni utabiri wa Maji Marefu(MB) na Sheikh Yahya leo asubuhi pale Ikulu!

Hatushangai nchi yetu ikiendeshwa na utabiri ambao sasa umeuleta huku jamvini! Ngoja tusubiri maana bado tunangojea Mgombea Uraisi afe!
 
Du Mwiba yote uliyonena sawa kabisa lakini kutuwekea Salim Ahmed Salim halafu ukamkana kuwa sio mzanzibar na Mwinyi aliyetawala wawamu ya 2? Da bado kabisa ukampambanisha na Safari nimepata kizungu:roll:zungu
 
Mbona habari yenyewe kama ya kutunga vile, alafu ai-flow sawasawa. Huyo mtu ni nani? Na mazingira aloyaona ambayo yatasababisha CDM ife ni yapi? Ni mwendawazimu gani asiyefahamu siasa za maji taka ya hako kachama kalikokosa mwelekeo! Yaani hata leo bado unalishwa mavi ya siasa za udini ziko ndani ya CDM na wewe unameza tu, bahati mbaya hata bila ya kutafuna. Kaaaazi kweli kweli, vipi CUF imekwisha qualify kutoka kwenye chama cha waislam au vipi! Na yale majambia yao waloingiza wakati wa IGP mahita kule Zanz, umekwisha yauza na yakaisha! Hizo ndo siasa za hako kachama. Tafakari kisha chukua hatua, Tanzania bila siasa za maji taka inawezekana
 
Du Mwiba yote uliyonena sawa kabisa lakini kutuwekea Salim Ahmed Salim halafu ukamkana kuwa sio mzanzibar na Mwinyi aliyetawala wawamu ya 2? Da bado kabisa ukampambanisha na Safari nimepata kizungu:roll:zungu

Yakhee ,Salim si mzanzibari aliwahi kusema yeye ni mnyasa pili hali kadhalika Mwinyi nae ndio kabsaa ni mzaramo wa hapo Kisarawe

Huyo Safari ndie mgombea kwa tiketi ya Chadema 2015 ,semeni kama hamjasikia maana wenyewe eti wanaifanya kuwa ni siri kubwa.

Dalili za mvua inasemwa ni mawingu japo wengine tunasema ni upepo ! Kigogo nilimhoji ni vipi Chadema itakufa wakati jamii kubwa ya WaTz wameidondokea ? Alinishangaza na kusema kwani huikumbuki CUF ambayo ni chama kilichokalia kivita kuliko vyama vingine vyote hapa Tanzania ? Nikajibu ni kweli CUF ni chama kisichokuwa na lelemama kimefanya kweli na kimeingia Ikulu lakini ndio kimeshuka chati ,hapo kigogo ndipo akaja juu na kusema na Chadema nayo itashuka ,baya zaidi kwa Chadema hata ikulu haitokanyaga.
 
Peleka ujinga na upumbavu wako,safari si mgombea wa cdm,na wala cdm haiwezi kufa kwa maneno na utabiri wa ccm,you must be out of your mind
 
mwiba umelewa!!!.halafu wewe una shida.nani kakufahamisha kuwa uteuzi wa mgombea uraisi tumefanya.ndo utashangaa kumbe tuna reserve ya nguvu.kavae pedi!!
 
Ukweli unauma yaani mnaona kumbe sio siri tena ,ni lazima muwe wakali na mijitusi kibao ,ila siwashangai ndio zenu hizo !!
 
hizi habari ni kama zile za magazeti ya rai, uhuru, habari leo, mtanzania yanayoandika mawazo ya mafisadi na kusema eti imeandikwa na mwandishi wetu asiye na jina,,,,

anaeleza utumbo wa vikao vya kahawa vya vizee vya ccm vinasubiri kujifia.
 
WaTanzania walio wengi wameanza kuona ubabe,ubeberu,ubepari unyanyasaji unaofanywa na chama hiki cha ajabu chenye kauli zinazobadilika kama rangi ya kinyonga.Chadema kama inavyojulikana kuwa ni chama cha kkijadi au chenye itikadi ya ukabila na udini mbele ,kimekuwa kikianguka kila siku ingawa kinapoanguka huzusha jipya na kupata wafuasi na baadae wafuasi hukikimbia kutokana na umangimeza ulio ndani ya chama hicho.
Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha Chadema ,CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa CCM.

kumbe habari imetoka kwa mwana CCM ....basi habari hii ni propaganda

hata huyu mleta habari ni mwana CCM check hiyo red bold.........
 
Yakhee ,Salim si mzanzibari aliwahi kusema yeye ni mnyasa pili hali kadhalika Mwinyi nae ndio kabsaa ni mzaramo wa hapo Kisarawe

Huyo Safari ndie mgombea kwa tiketi ya Chadema 2015 ,semeni kama hamjasikia maana wenyewe eti wanaifanya kuwa ni siri kubwa.

Dalili za mvua inasemwa ni mawingu japo wengine tunasema ni upepo ! Kigogo nilimhoji ni vipi Chadema itakufa wakati jamii kubwa ya WaTz wameidondokea ? Alinishangaza na kusema kwani huikumbuki CUF ambayo ni chama kilichokalia kivita kuliko vyama vingine vyote hapa Tanzania ? Nikajibu ni kweli CUF ni chama kisichokuwa na lelemama kimefanya kweli na kimeingia Ikulu lakini ndio kimeshuka chati ,hapo kigogo ndipo akaja juu na kusema na Chadema nayo itashuka ,baya zaidi kwa Chadema hata ikulu haitokanyaga.

Mwiba, haya ndio mawazo ya ki-CCM yanayokera na kutuletea shida humu nchini!!

Utaanzaje kufikiria nani agombee 2015 kabla ya kujenga chama?? Mtu yeyote anaweza kugombea na unavyosema CHADEMA mgombea wao ndio huyo CDM ni nani? CDM ni zaidi ya wananchi milioni moja as we speak! Hao ndio wataamua nani agombee!

Mwisho, mgombea lazima awe amependekezwa na chama cha siasa na awe mwanachama! Prof Safari si mwanachama wa CDM! Ni vizuri tukaja na hoja za watu ambao tumefaidika na jasho la watanzania kupata elimu! Ni dharau ya hali ya juu kwa watanzania kuwa na mawazo na hoja kama hizi! Jasho lao litakuwa limetoka bure!
 
Nani aliwaambia kama Salimu Ahamed ni Mzanzibari ? Wacheni uvivu tafuteni ,kuhusu kuanguka kwa Chadema hilo wandugu halina ubishi .CDM 2015 inakwenda na maji ,sawaswaa !

Jingine hivi niwaulize nyinyi na tarehe zenu ni lini Mzanzibari aliwahi kushika nafasi ya Uraisi wa JMT ??? Sasa niwasikiapo wengine wanaosema Wazanzibari tusahau kuupata uongozi wa juu wa SMT naona mtakuwa mna viherehere hamjui mnenalo!

Heshima kwako,

Mkuu naomba utujuze Salim Ahamed Salimu asili yake wapi ? alafu tuendelee.
 
Ubabe upi?
Wa Richmond, Dowans, Kagoda, IPTL, RADA, Muafaka wa vyama viwili kati ya vingi, hebu tueleze. CUF ni upinzani au chama Twawala.
inaongelewa hoja ingine unaleta utumbo, mseto wa cuf na ccm unahusika nanini hapa ktk mada hii?roho zitawauma sana mwaka huu,wazenj wanaenda mbele nyie kazi malumbano tu.
 
Mwiba ulikuwa ni ule wa zamani, enzi za mijadala ya kugombea mafuta ya kujaa kwenye kinibu, mwiba huo ulikuwa na ncha kali, ukichoma kila pembe. Mwiba huu wa sasa nadhani umesuguliwa kwenye jiwe, makali yamekwisha sasa unatoa kamasi na uvundo tuu!. Nashauri bora hata ubadili jina, usijiite mwiba maana hauchomi tena, labda ungejiita......... ambalo ndipo mwiba ulipotokea baada ya kuchomolewa!
 
CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa C



Naungana na wewe kumbe DOWANS na migomo ya kila siku ndo mazingira mazuri ambayo CCM inajijengea kuchukua ushindi wa Kishindo wa kuanguka 2015? safi sana pia ukumbuke kwa sasa hakuna Mzanzibar hata mmoja anayeweza kusimama kugombea nafasi ya Urais akashinda hasa kwa huku Tanganyika hilo msahau kabisa
 
endelea kuota ndoto za mchana!! CCM inatumia hela za walala hoi ili wabaki madarakani lakini hilo lina mwisho, angalia Tunis na Misri, itafuatia East africa......labda TZ, UG au KE ndo itaanza. nguvu ya umma. kumbuka mafuriko hayazuiwi na mikono!!
 
You know, we have freedom of expression, but this is a mere fabrication. You should not post such a scrap if you don't have concrete evidences to prove on what you are trying making us believe on.

Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap
 
Back
Top Bottom