Unaonekana ni mtu unaetaka umaarufu!!hoja yako haina kichwa wala miguu,kwani ulitaka nafasi za ulinzi wapewe kina nani??madereva?wapishi?waalimu?na bado CDM mtaipaisha nyie wenyewe na Makamba wenu!Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
Source: Gazeti la jana la Hoja
Naona pia umesahau kuwa watanzania wote ni walinzi na tena tulipitia JKT! Jambo la Pili ni muhimu pia ujiulize kampuni binafsi za walinzi zimeajiri akina nani na tena ujiuliza wakuu wa mikoa na wilaya ni akina nani, baada ya hapo nadhani utakuwa huna swali
kwan ni cdm ndo wa kwanza kutaka kuajiri walinzi waliopitia jeshini? Hebu peruzi vacancy nyingi za ulinzi uone qualifications tena wengine huspecify kabisa awe mstaafu wa JWTZ hizo hukuziona na wala hukutaka kuhoji wala kujua ni hatari au, kwa cdm imekuwa kosa 'kunya anye kuku akinya bata.......' kwa maoni yangu hata wale waliopata mafunzo ya mgambo au JKT ni askari na hizo ndio sifa kuu za kuajiriwa ulinzi huoni ka ni hatari? Tena wengine wanapewa na bunduki. acha ushabiki kama umeona hatari kwa usalama wa taifa letu ungeazia huko kwenye makampuni yanahitaji askari wastaafu
Kwa watu wazamani ambao kwa sasa most of them ni wazee au wapo kwenye age ambazo hawawezi kufanya kazi hizo tena ndio waliopita national Service na si watanzania wote, kwasentensi hiyo ninawasiswasi na utanzania wako.
Pili umezungumzia kampuni za ulinzi, swali Chadema ni kampuni ya ulinzi? Unajua Bro siasa isikuoe kwa masikio yako ukalainika mpaka akili yako isifanye kazi yake. Kuna masuala ya kufanyia ushabiki na mambo mengine hayatakiwi kushabikiwa. Kwa majibu uliyotype kwa red bado hujajibu hoja kwani unajua kabisa chadema siyo kampuni ya ulinzi. kampuni za ulinzi zote zinatambulika na masheriti yake yako wazi.Kama wewe ni mtu mzima nawasiwasi na maengi juu yako. Tafuta gazeti la Hoja la jana ulisome kisha utoe hoja
Unaonekana ni mtu unaetaka umaarufu!!hoja yako haina kichwa wala miguu,kwani ulitaka nafasi za ulinzi wapewe kina nani??madereva?wapishi?waalimu?na bado CDM mtaipaisha nyie wenyewe na Makamba wenu!
Kwa watu wazamani ambao kwa sasa most of them ni wazee au wapo kwenye age ambazo hawawezi kufanya kazi hizo tena ndio waliopita national Service na si watanzania wote, kwasentensi hiyo ninawasiswasi na utanzania wako.
Pili umezungumzia kampuni za ulinzi, swali Chadema ni kampuni ya ulinzi? Unajua Bro siasa isikuoe kwa masikio yako ukalainika mpaka akili yako isifanye kazi yake. Kuna masuala ya kufanyia ushabiki na mambo mengine hayatakiwi kushabikiwa. Kwa majibu uliyotype kwa red bado hujajibu hoja kwani unajua kabisa chadema siyo kampuni ya ulinzi. kampuni za ulinzi zote zinatambulika na masheriti yake yako wazi.Kama wewe ni mtu mzima nawasiwasi na maengi juu yako. Tafuta gazeti la Hoja la jana ulisome kisha utoe hoja
Kwa watu wazamani ambao kwa sasa most of them ni wazee au wapo kwenye age ambazo hawawezi kufanya kazi hizo tena ndio waliopita national Service na si watanzania wote, kwasentensi hiyo ninawasiswasi na utanzania wako.
Pili umezungumzia kampuni za ulinzi, swali Chadema ni kampuni ya ulinzi? Unajua Bro siasa isikuoe kwa masikio yako ukalainika mpaka akili yako isifanye kazi yake. Kuna masuala ya kufanyia ushabiki na mambo mengine hayatakiwi kushabikiwa. Kwa majibu uliyotype kwa red bado hujajibu hoja kwani unajua kabisa chadema siyo kampuni ya ulinzi. kampuni za ulinzi zote zinatambulika na masheriti yake yako wazi.Kama wewe ni mtu mzima nawasiwasi na maengi juu yako. Tafuta gazeti la Hoja la jana ulisome kisha utoe hoja
Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.