Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Ahsante....Na mimi nilitaka nimjibu, lakini nikaona jibu lako ni murua na linajitosheleza kabisa !
Matokeo ya kula za maoni ndan ya CHADEMA ambayo yanaendelea kutolewa yanahashilia kuwa chama bado kinahitaji kuongeza nguvu ya kusajili wanachama wapya .
Mtu anashinda kwa kula 88 na kula zilizopgwa ni zaid ya kula mia moja ukizngatia jimbo lina wapiga kula zaid ya 50000.
2010 vita ya CCM ndani kwa ndani ilichangia sana CHADEMA ikazoa Wabunge katika maeneo ya mijini kama Dar na Iringa.
Kuna umuhimu wa chama kuzidi kusajili watu ili kuwa na safari ya uhakika.
Kuna kamati teule ya kitendaji ndo wanaruhusiwa kupiga kura
Uliza kwanza ndo ukurupuke kutoa hoja,wanaopiga kura za maoni kwa wabunge ndani ya CDM ni mkutano maalum wa uchaguzi jimbo,kwa upande wa udiwani ni mkutano maalum wa uchaguzi kata na wala sio wanachama wote kwa jinsi unavyodhania.
Ndo nini sasa?Wewe Alex na hoyce michango yenu inafanana na makosa yenu yanafanana anagalieni michango yenu neno lenye red!Id moja hiyo!!!!
Ahsante....Na mimi nilitaka nimjibu, lakini nikaona jibu lako ni murua na linajitosheleza kabisa !
Mnaweweseka CDM HAINA wanachama ina wapita njia ndo maana hata michango na ada hawatoi kiasi cha kushindwa kujenge makao makuu ya Ofisi! Ni mashabiki tu wanaoendeshwa na mihemuko!
Shida apo huo mkutano mahalumu mbona kila jimbo na idadi yake au katiba ya chama inasmaje
Na bado subirini mtatandikwa, armageddon inakuja!
CDM wanaleta porojo tu hapa na hawa sio wanachama ni mashabiki tu ndo maana hawana majibu!
Rejea waraka namba 1 wa katibu mkuu unatoa mwongozo wa kura za maoni na sio kamati tendaji ya jimbo au wilaya bali waraka unaagiza kazi hiyo ifanywe na mkutano maalum wa uchaguzi jimbo na umeainisha wajumbe watakao wa mkutano maalum wa uchaguzi jimbo au kata.Kwa rejea zaidi waraka unapatikana kwenye website ya chama!
Mleta mada ulipaswa kuuliza kwanza ni utaratibu gani unaotumiwa na chadema kwenye kura za maoni
Sawa....muhimu ni kwamba si wanachama wote wanaoshiriki na ninadhani hilo ni sahihi !
mm ninayekwambia ni mwanachama na ni m/kiti msaafu wa cdm chuo kikuu SUA kwa hyo nondo unayopewa ni ya uhakika na ukwel ndo huo tatizo ninyi mmezoea mfumo wa kifisadi wa ccm ambao wanamruhusu mgombea aandae kadi feki na kuwapatia watu ili mradi tu apite kwenye kura za maoni.