Leo hii katibu mkuu wa cdm mh Dr Mashinji atakuwa anahutubia mkutano mkuu wa mwaka wa chama rafiki cha CPP nchini Denmark kuhusu demokrasia na maendeleo,wakati hapa nyumbani tunapigwa pinView attachment 406513

Karibu vyama vyote vya siasa vina vyama rafiki. CCM ina vyama rafiki vingi tu. Na kwa miaka 54 ya utawala wake imehutubia mikutano mingi sana ya aina hiyo. Hivyo kwa CCM hiyo siyo habari.