Nitajie rafiki yako nami nitakuambia tabia yako. Hii dhana ya vyama rafiki katika nchi hii inafikirisha na inaonesha haiba ya chama kwa kuangalia aina ya "marafiki" wa vyama kuanzia CCM, Chadema, n.k. Naomba niishie hapo.
And this is only applicable katika ulimwengu wa kimwili, kiroho any one can be your friend. Mfano Jesus alisema alikuja kwa ajili ya wenye dhambi/wagonjwa ili wapate kupona. Wabaya hawatengwi kihivyo, watabadilikaje? Na wewe ambae sio rafiki wa hicho chama ni mwema sasa!