CHADEMA kimataifa zaidi

CHADEMA kimataifa zaidi

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Leo hii katibu mkuu wa cdm mh Dr Mashinji atakuwa anahutubia mkutano mkuu wa mwaka wa chama rafiki cha CPP nchini Denmark kuhusu demokrasia na maendeleo,wakati hapa nyumbani tunapigwa pin
1474795408040.jpg
 
Nitajie rafiki yako nami nitakuambia tabia yako. Hii dhana ya vyama rafiki katika nchi hii inafikirisha na inaonesha haiba ya chama kwa kuangalia aina ya "marafiki" wa vyama kuanzia CCM, Chadema, n.k. Naomba niishie hapo.
 
Huhaeleweka ebu funguka tukuelewe
 
Nitajie rafiki yako nami nitakuambia tabia yako. Hii dhana ya vyama rafiki katika nchi hii inafikirisha na inaonesha haiba ya chama kwa kuangalia aina ya "marafiki" wa vyama kuanzia CCM, Chadema, n.k. Naomba niishie hapo.
Kwa mtazamo wako cdm kuwa na chama rafiki nje ya nchi ni dhambi?mbona ccm wana vyama rafiki nje ya nchi?
 
Mkuu, sizungumzii kuwa au kutokuwa na rafiki nje ya nchi. Nilichosema ni rahisi kujua tabia ya mtu au hata taasisi kwa kuangalia aina ya marafiki.
 
Huo ni mtazamo wako
 
Back
Top Bottom