nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,439
- 2,287
Chadema kanyaga twende
mkuu utakuwa unamatatizo ya macho kafanyie chakeup plz
mkuu siyo CCM tena ni ACT!
Weka hiyo speech hapa!
Act na ccm ni kitu kimoja
ndiyo wale wale.mkuu siyo CCM tena ni ACT!
Naona umewekewa bandle na Mbowe .
Dr. Yaredi ndo nani mkuu? Sipati kumbukumbu nzuri ya kamanda kama huyo. Najua Mheshmiwa Ali Kirasa ndo alikuwa anatangaza nia
Weka hiyo speech hapa!
Weka hiyo speech hapa!
Weka hiyo speech hapa!
Kama Utaendelea Kuamini Katka Magazeti Radio Na Tv Unaweza Kujikuta Umedanganywa Usishangae Chadema Na Nccr Kushinda Majimbo Mengi Mkoani Kigoma
Tunaomba na picha
Naona umewekewa bandle na Mbowe .
Asije kujisahau akaweka za ACT Wazalendo maana inawatoa upepo balaa
View attachment 242723
Weka hiyo speech hapa!
Picha ya giza harafu huyo mgombea haonekani
endelea kuota ndotoEndelea kuvaa miwani ya mbao,chadema imefanya furuku uchaguzi s/ mitaa!
Subiri uone ngoma 2015