GE2025 CHADEMA: Kesi ya Lissu itaanza kusikilizwa mfululizo kuanzia tarehe 6 - 24 Oktoba kisha kuendelea hadi Novemba 12

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wake Tundu Lissu itaanza kusikilizwa kuanzia tarehe 6 Oktoba 2025 hadi 24 Oktoba, kisha kuendelea tena tarehe 3 hadi 12 Novemba 2025.

Kwa mujibu wa chama hicho, mashahidi wa upande wa Jamhuri watakuwa 30 na vielelezo vitakavyowasilishwa ni 11. CHADEMA imetoa wito kwa Watanzania kufuatilia kesi hiyo kwa umakini na kusimama na Lissu katika kudai haki na utawala wa sheria.

photo_2025-10-05_18-37-38.jpg
 
Matokeo ya kile kikao cha Balaza la usalama cha Taifa (National Security Council) yameanza kufanyiwa kazi .

Soon lolote linaweza kutokea japo kwa masherti magumu .

Ukishasoma futa.
 
Ile kesi wanataka kuachana nayo - Lissu na yeye kagoma kutoka kwa masharti. Kwamba akitoka ni moja kwa moja Ubelgiji na begi la hela juu.

Mwamba kagoma kasema bora anyongewe hapa hapa TZ nchi yake.
Tesha na yeye kawachanganya vibaya mno.
Polepole na yeye Kama kawaida mzee wa Data.
29th October nayo inakaribia hata ungekuwa ni wewe aisee.
 
Jamaa wameitesa CCM kibabe sana
 
Kwa mara ya kwanza tangu 05/02/1977 ndiyo CCM kwa mara ya kwanza inaishi kwa shida. Hizi wiki 3 hadi 29th October ni za mateso makubwa mno kwao.
Na bado ,hadi wanyooke ,wangese Hawa walituburuza sana mamamamaaa eeeh zao
 
Matokeo ya kile kikao cha Balaza la usalama cha Taifa (National Security Council) yameanza kufanyiwa kazi .

Soon lolote linaweza kutokea japo kwa masherti magumu .

Ukishasoma futa.
Let it be

Mungu tunakuomba regeza mioyo migumu yawafuatao

1.Samia Suluhu Hassan(Muslim
2.Emmanuel NCHIMBI(Mkristo)
3.Paul Christian Makonda(Mkristo)
4.Dotto Biteko (Mkristo)
5.Tulia Akson (Mkristo)
6.Faustine Mafwele (Mkristo)
7.Lameck Mwigulu Nchemba(Mkristo)
8.Camilius Wambura (Mkristo)
9.Mohamed Mchengerwa (Muslim)
10.Mkunda (Mkristo)
11.Mombo (Muslim)
12.Nassoro Katuga (Muslim)
13.Rajab Waziri (Muslim)
 
Hao wote wapo kwenye pin ,mazingira yalivyo nikwamba watake wasitake Ngoma imeegemea upande wao ,yaani wakithibutu kukaidi chochote inakula kwao mazima .

Kwa sasa hawana chaguo zaidi ya kutii
 
Mafisiem na vikaragosi vyao safari hii wamebanwa mbavu
 
Wakuu,

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wake Tundu Lissu itaanza kusikilizwa kuanzia tarehe 6 Oktoba 2025 hadi 24 Oktoba, kisha kuendelea tena tarehe 3 hadi 12 Novemba 2025.

Kwa mujibu wa chama hicho, mashahidi wa upande wa Jamhuri watakuwa 30 na vielelezo vitakavyowasilishwa ni 11. CHADEMA imetoa wito kwa Watanzania kufuatilia kesi hiyo kwa umakini na kusimama na Lissu katika kudai haki na utawala wa sheria.

"Timing"; couldn't have been any better; AU!
 
Let it be

Mungu tunakuomba regeza mioyo migumu yawafuatao

1.Samia Suluhu Hassan(Muslim
2.Emmanuel NCHIMBI(Mkristo)
3.Paul Christian Makonda(Mkristo)
4.Dotto Biteko (Mkristo)
5.Tulia Akson (Mkristo)
6.Faustine Mafwele (Mkristo)
7.Lameck Mwigulu Nchemba(Mkristo)
8.Camilius Wambura (Mkristo)
9.Mohamed Mchengerwa (Muslim)
10.Mkunda (Mkristo)
11.Mombo (Muslim)
12.Nassoro Katuga (Muslim)
13.Rajab Waziri (Muslim)
Hata haieleweki umelenga jambo gani hapa. Hizo imani zao zinahusiana vipi na ushetani wao.

Halafu unamwomba mungu gani huyo alegeze mioyo ya mashetani?

Utakuwa unazo sababu zako za kishetani kuweka orodha kama hiyo hapa. Bila shaka ni katika kuficha imani yako inayo husiana na ushetani wenyewe.
 
Hawana cha maana hao wanampotezea muda tu bila sababu za msingi, yote kumi ni mipango ya muda mrefu kudhoofisha nguvu ya wapinzani kupisha uchaguzi.
 
Back
Top Bottom