Sijawahi kubahatika kuisoma katiba ya chadema, ni kweli katiba hairuhusu mwanachama kugombea zaidi ya mara mbili nafasi ya urais? Na je ni kweli katiba ya sasa kama haitabadilishwa itamzuia mh. Zitto z. Kabwe kuwania nafasi ya urais 2015? Kama haya ni ya kweli nani mwenye uhalali wa kuwania nafasi ya urais ; mh. Zitto z. Kabwe au dr. Slaa? Wana jf tafadhari natamani kufahamu maana kila nikitafakali sipati jibu.