Suala sio udini kama unavyofikiri,Said Arfi kachaguliwa na wana Mpanda wa dini zote,na anapendwa hakuchakachua matokeo,mimi mwenyewe namkubali sana ni mtu mkarimu na muungwana sana asiye na majigambo ya aina yoyote,ni mtu ambaye nasikia akiwa jimboni anajichanganya hadi kwenye vijiwe vya kahawa na bila kuambiwa huwezi jua kama umekaa na mbunge.Nilichozungumzia cha kwanza ni suala la ofisi ,la pili uwepo wake jimboni na la tatu ambulance,sasa hayo ya dini unayotaka kuleta umeyatoa wapi?.Hamjakoma tu na huo udini wenu mnaoeneza,umewatafuna kwenye sensa lakini bado tu magamba hamjaona madhara ya kuendekeza udini na ukanda.