CHADEMA Kasulu watimuana

Soma katiba ya Chadema ibara ya 7.4.10 (r) na (u) utapata majibu kamili. Kifungu hiki kinahusu kazi za kamati tendaji ya jimbo au wilaya.
 
Alhaji Kasisiko hapaswi kukikwepa kikombe. japo kwa sasa lazima atalipa fadhira kwa kijana wake kutokana na ufadhiri aliokuwa anaupata, akiachwa atashindwa kufanya maamuzi kwa mujibu wa katiba.

Ni "fadhila na "ufadili" na siyo fadhi(ra)a na fadhi(ri). Naomba usahihishe hilo next time unapoandika. Ni ushauri tu wa kukuongezea credibility ili uvute shavu hapo nafasi ya Zitto! 🙂
 

Gogoro lingine hilooooo! Matokeo ya ziara ya Dr. Slaa huko Kigoma.
 
Alhaji Kasisiko hapaswi kukikwepa kikombe. japo kwa sasa lazima atalipa fadhira kwa kijana wake kutokana na ufadhiri aliokuwa anaupata, akiachwa atashindwa kufanya maamuzi kwa mujibu wa katiba.
Mtoi bila shaka hili zimwi ambalo limemchanganya Slaa akaamua kuja na ahadi ya kuhalalisha Gongo.
 
kwa style hii chadema mpaka kufika uchaguzi,atakuwa amebaki mzee mtei mwenyewe!

Na Mkwewe Mbowe aende wapi? Labda Lilian adai talaka kwa kusalitiwa ndoa yake.

Kwi kwi kwi teh teh teh
 
Karama!..????sasa karama inakuwaje kwa taarifa,iwe ni habari ya kweli ama ya uongo .

Utajiuliza sana. Lakin siku zote Mola yu pamoja na watenda haki na wakweli na abadan hawezi kuwa na wanafiki.

sasa hapo uatapata pumba na mchele.

Pole sana
 
ismael, kasulu kuna matatizo ya uongozi. Kambi ya bujoro inapenda madaraka na vivyo hivyo ata hawa akina masud ni wapenda misifa. Mgogoro ulikuwepo na ilionekana waliuzika. Kilichokuza mgogoro huu kwa nguvu ni pale ilipotolewa ratiba ya ujio wa dr slaa. Kambi ya bujoro ilisapoti dr slaa aje huku akina masud, kaijage na luka hawakutaka dr slaa aje. Awa walijiapiza kuwa ni zito damu. Hujuma zilifanywa na vijana wa ccm lakini masud & co walikuwa na mkono wao. Waliitwa kwenye kikao cha maandalizi wakagoma isipokuwa kaijage. Kilichofanyika akina masud wanakijua. Je ujio wa zito kesho si wapepanga bila kuhusisha watu wengine. Siku ya ujio wa dr slaa ata zitto alikuwa na mkono wake kwa vurugu zilizotokea Waliondaa hizi vurugu si wahuni kwamba hawakuandaliwa, bali masud and co waliandaa huu upuuzi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…