Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,114
- 219,222
- Thread starter
- #61
Hakuna Tajiri anayelipwa , kwanza Chadema haina hela za kutapanya hovyoIla ninyi hamlipwi eti?
Hakuna Tajiri anayelipwa , kwanza Chadema haina hela za kutapanya hovyoIla ninyi hamlipwi eti?
Ndiyo maana imeamua kujiua yenyewe.Ninachokiona ni ngum sana kuiua chadema
Nguvu moja makamanda .
umetoa wapi huo uzushi ?Hivi ni kweli wale wanawake mamluki wa Ndugai wamerudishwa chamani? Kama ni kweli Chadema kwishney!!!!
Cdm ni imani. .. imani haifi watu ndio hufa au usallitiNinachokiona ni ngumu sana kuiua CHADEMA
umetoa wapi huo uzushi ?
umetoa wapi huo uzushi ?
Endelea kutusoma hapa hapa jf , rufaa yao imepokelewaIle kesi ya wale wakina mama mpaka sasa hatima yao ni nini?
Endelea kutusoma hapa hapa jf , rufaa yao imepokelewa
Luka 3:14 .Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, niMsidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
Hili hapa mkuu. Luka 3:14 Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
Ni juu yao na usaliti wao , hatuwezi kuwafunga miguuJe wanakwenda bungeni?
I appreciate🤝Ni “usiku wa kiza” siyo “usiku wa giza”
shida inapata familia yake,mazuzu hamjui tuHata hivyo katika hali ya kushangaza wamemkuta Mdude akiwa katika hali ya furaha na bashasha huku akiwapa ujumbe mzito kwamba AMEFUNGWA MWILI LAKINI HAJAFUNGWA AKILI NA FIKRA .
sasa unalia nini ?shida inapata familia yake,mazuzu hamjui tu
mnamtembelea mfungwa mkiwa na furaha na makopo ya soda mnapiga selfie