CHADEMA Kanda ya Nyasa wafika Gereza la Ruanda kumuona Mdude Nyagali

Hata hivyo katika hali ya kushangaza wamemkuta Mdude akiwa katika hali ya furaha na bashasha huku akiwapa ujumbe mzito kwamba AMEFUNGWA MWILI LAKINI HAJAFUNGWA AKILI NA FIKRA .
shida inapata familia yake,mazuzu hamjui tu
mnamtembelea mfungwa mkiwa na furaha na makopo ya soda mnapiga selfie
 
Back
Top Bottom