Mmmm, Kitendo cha kumngoa diwani mbovu unakitafsiri vipi? Issue ya wingi wa madiwani bila kujali viwngo unaionaje? Safety is part of quality, For CDM quality comes first, not quantity. Check our MPs and compare with those of CCM. Ukiingia CDM ukiharibu out. Lazima utumikie umma kwa uadilifu.Miaka michache iliyopita Kampuni kubwa ya kutengeneza Magari Duniani Toyota ilipata matatizo kwa kutengeneza Magari ambayo yalikuwa na matatizo ya clutch na kusababisha wateja wao kupata ajali na wengine kupoteza maisha katika kujitetea Raisi wa Kampuni hiyo kubwa na maarufu Duniani Bw. Aichio Toyoda alisema nafikiri ilikuwa mbele ya Senate ya Marekani yafuatayo:
"Toyota Grew too quickly"
"Quite frankly, I fear the pace at which we have grown may have been too quick" na akaendelea zaidi kwa kusema "Toyota's priority has traditionally been the following: First; Safety, Second; Quality, and Third; Volume. These priorities became confused"
Je kuna mahusiano yoyote au fundisho lolote lile CHADEMA inaweza kuona hapo kati yao na Toyota?
Ninanchomaanisha ni kwamba Je, CHADEMA wanakwenda kasi sana ambapo kasi yao kama vile Kampuni ya Toyota inaweza kuwafanya wachanganye mambo hasa kwenye mpangilio wa priorities ambapo Toyota walizichanganya na wakati mwingine badala ya kuanza na Safety wao wakaanza na Volume au badala ya Quality wao wakaenda na Volume na matokeo yake hayakuwa mazuri kwa Toyota pamoja na kuwa kwamba mwanzoni walifanikiwa sana!
Ulichosahau kusema ni kwamba Toyota walichukua hatua hima kurekebisha kasoro na sasa hivi wamerudi tena kwenye top 3 auto maker duniani.
Kung'oa viongozi wabovu, kujenga quality. sio bora uongozi bali uongozi bora. Umeya cukueni sisi tutawaletea madiwani safi, subiri uchaguzi wa madiwani.kwa hiyo Chadema nao wana mpango gani kuhusu hili?
A typical stupid CHADEMA member, who would not know how to face challenges of the future.
Nafikiri hapa umechanganya mambo...je, yawezekana unaongelea NCCR-Mageuzi? au labda CUF? Kumbuka Chadema haikukimbilia kutaka kukamata dola kwa vipindi viwili, 1995 na 2000. Ni miaka zaidi ya kumi toka kuanzishwa kwake, Chadema ilipoamua kumsimamisha mgombea wa Uraisi. Toka wakati huo nyota ya Chadema imezidi kupanda (angalia 2005 na 2010) wakati vyama vingine vikiendelea kuporomoka . Ngoja tuache porojo tutumie takwimu;
sijaelewa hizo clutch za CHADEMA zimachanganywa wapi ??
au Mwanza mkuu???
kwa hiyo Chadema nao wana mpango gani kuhusu hili?