Easyfit hujawahi kusikia tokea chanzo cha kuaminika na mazingira yenye ushahidi unapolazimisha hivyo una lako jambo. Na pia angalia na waliokuwa wakimsema walikuwa wanalengo gani. Tukitumia uhalisia kwa jinsi mchakamchaka ulivyokuwa igunga na jinzi watu walivyofurika na jinsi jamaa alivyokuwa amezungukwa na watu mchana ndio alikuwa na mgombea ktk mikutano ya hadhara, usiku cp mpaka saa nane maana walikuwa walikuwa wamekabwa koo, hapo walikwepo wazee, na watu kibao, nilipita siku moja hivi huyo mke angempata wapi? Ndg zangu hoja ya mapenzi haijawahi kuwa na mashiko kuangusha vision yamtu kama tulivyoona kwa Rais Clinton na slaa majuzi. Pamoja na kwamba mazingira yanaonesha mwigulu alizushiwa tu baada kuonekana hakuna cha kusema, very clean, very smart, strategic and high convimcing power, hata ingekuwa kweli sioni kama ni kete ya kisiasa kila anapokwenda baada upinzani kuandaa mkakati unabaki kusema wake za watu wake za watu. Hivi kwa matusi mnayoandika humu ninyi mna mke mmoja mmoja kweli ? Nayakubali maelezo ya kiongozi