CHADEMA kama mnataka kushinda Arumeru Mashariki kuweni makini na huyu jamaa!

Imeka vizuri hiyo kaka, nilikuwa natafakari sana kwamba kitu kama hicho kinawezaje kufanyika halafu mtu afumaniwe halafu iwe kimya tu. Jungu lilipikwa ama kweli siasa mchezo mchafu. Ila kuwa makini kiongozi maana sijawahi kuona thread yoyote ikikushambulia kwa hoja zaidi hii ambayo hata kama ulifanya angekosekana ambaye hajawahi kuzini awe wa kwanza kurusha jiwe. Take care, you have the future of our nation
Too low na wewe hata ukuadi si ki ivyo ndugu unajidhalilisha.
 
Lakini kufumaniwa na mke wa mtu ukimtafuna haikuwa tuhuma, bali ilikuwa fact.
Ushukuru mungu, mnatafunana wenyewe kwa wenyewe, otherwize sijui ungeficha wapi sura yako...
Hivi wewe huoni alio fanya kiongozi wenu? Kaiba mke wa mtu na mpaka kufikishwa mahakamani, lakini yeye hana kosa mbele ya macho yenu.
 
Easyfit hujawahi kusikia tokea chanzo cha kuaminika na mazingira yenye ushahidi unapolazimisha hivyo una lako jambo. Na pia angalia na waliokuwa wakimsema walikuwa wanalengo gani. Tukitumia uhalisia kwa jinsi mchakamchaka ulivyokuwa igunga na jinzi watu walivyofurika na jinsi jamaa alivyokuwa amezungukwa na watu mchana ndio alikuwa na mgombea ktk mikutano ya hadhara, usiku cp mpaka saa nane maana walikuwa walikuwa wamekabwa koo, hapo walikwepo wazee, na watu kibao, nilipita siku moja hivi huyo mke angempata wapi? Ndg zangu hoja ya mapenzi haijawahi kuwa na mashiko kuangusha vision yamtu kama tulivyoona kwa Rais Clinton na slaa majuzi. Pamoja na kwamba mazingira yanaonesha mwigulu alizushiwa tu baada kuonekana hakuna cha kusema, very clean, very smart, strategic and high convimcing power, hata ingekuwa kweli sioni kama ni kete ya kisiasa kila anapokwenda baada upinzani kuandaa mkakati unabaki kusema wake za watu wake za watu. Hivi kwa matusi mnayoandika humu ninyi mna mke mmoja mmoja kweli ? Nayakubali maelezo ya kiongozi
 
Uwezo wa vijana wa sekretariat ya CCM ni sawa na cdm kumi na watano hivyo hivyo Arumeru akienda Nape Mwigulu na Januari cdm wanatakiwa 45
 
Watanzania wa leo (hasa wameru) wanajua ni nini kimeifikisha nchi hapa ilipo. Hawahitaji mtu kuja kuwashawishi, wameshafanya maamuzi zamani. Kinachotakiwa kufanywa na vyama makini ni kulinda kura, na kuhakikisha mbinu chafu zote zinazibitiwa. Hakuna haja ya propaganda kwa sasa. Nchi ina waya waya kama machela, ina yeyayeya kama mlevi, kama vile haina mwenyewe haina viongozi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom