Kasulumbayi wa CHADEMA na ushindi wa asubuhi Maswa Mashariki

jilogamawe

Member
Mar 5, 2015
37
10
Ndg wana JF

Mgombea Ubunge wa CHADEMA na ukawa jimbo la Maswa mashariki,diwani wa kata ya ipililo 1994 hadi 2015, mbunge wa 2010 hadi 2015 chadema na mwenyekiti wa kanda ya Serengeti CHADEMA kamanda kasulumbayi mhoja Sylvester, ni miongoni mwa wagombea ubunge wa chadema na ukawa wenye kushinda ubunge mapema kabla hata ya jogoo kuwika.

Kasulumbayi ni miongoni wa wanamageuzi wa kwanza kabisa kanda ya ziwa baada tu ya mfumo wa vyama vya siasa kuanza miaka ya 1992, Kasulumbayi kitaaluma ni mwalimu aliyelazimika kuacha kazi ya kufundisha baada ya mfumo kandamizi unaokataza mfanyakazi wa uma hususani upinzani kujihusisha na siasa.

Kasulumbayi Sylvester alijitosa kugombea udiwani 1994 na kushinda kupitia chama cha wananchi CUF , aliendelea hivyo kushinda chaguzi zilizofata mpaka 2008 alipoamua kujiondoa na kujiunga na chama cha ustawi na jamii chausta cha bwana James mapalala, 2008 hiyo hiyo uchaguzi mdogo wa udiwani ulitishwa bwana Kasulumbayi alijitosa tena kugombea udiwani kupitia chama chake kipya kwa maana ya chausta na kufanikiwa kushinda uchaguzi huo mdogo licha ya CCM kualikana kanda ya ziwa kwa kuwaita wabunge na madiwani wote wa CCM kwa ajiri ya kupambana na kasulumbayi japo waliambulia aibu na kutoroka kabla hata ya matokeo kutangazwa.

2010 kasulumbayi alijiunga rasimi na CHADEMA baada ya mashushuu hatari wa CHADEMA kunusa na kujiridhisha anafaa kugombea kupitia CHADEMA na ndipo alipogombea udiwani na ubunge jimbo la Maswa mashariki na kushinda nafasi zote mbili, kasulumbayi ametumia muda wake mwingi kujijenga na kujiongezea mashabiki kutoka makundi mbalimbali, Kasulumbayi anapendwa na wana CHADEMA, wana CCM, wafanyakazi, walalahoi, waendesha bodaboda, baiskel, matoroli, mama ntilie, wafanyabiashara vijana nk.

Kasulumbayi amehakikisha mradi wa umeme vijijini unakuwepo kila kijiji katika jimbo lake na amefanikiwa kwa 100%, na hakuna jimbo lolote Tanzania lililoweza kufanikiwa hichi kwa mjibu wa report ya REA, kasulumbayi ameusimamia mfumo wa jimbo kuhakikisha unawanufaisha wanajimbo kupitia vikundi, mashule,zahanati, upimaji viwanja, maegesho, uanzishwaji masoko, Barabara,ujenzi wa vyoo, uchimbaji visima vya maji nk.

Kasulumbayi amengia tena katikati kwa kuanza na ushindi wa mapema uchaguzi wa chama maoni kwa kupata kura zaidi ya 260 akifatiwa kwa mbali kwa kura zisizo zidi 30.

Kasulumbayi Sylvester Leo anatarajiwa kurudisha form yake ya ugombea ubunge ktk ofisi ya mkurungenzi Saa 6 mchana, kasulumbayi huyu ni nomaaaa na moto wa kuotea mbali, hongera kasulumbayi hongereni wana Maswa mashariki na hongereni wana CHADEMA na UKAWA na ktk mahesabu yenu hesabuni Maswa mashariki ni moja pampaneni kifua mbele kokote mliko huku mkiamini kasulumbayi ni mshindi wa mapema tu, kabla hata ya jogoo kuwika na kuku wa kienyeji kuku wenye nguvu kufunguliwa.
 
Ripoti nzuri. Hiyo siri yake ya uongozi bora atugawie na sisi wengine. Naona jirani Bunda ameshamgawia Ester Bulaya. Halafu kanda ya Ziwa mmejipanga vizuri sana katika kutaka mabadiliko. Hongerani sana makamanda na wananchi kwa ujumla.
 
Jilogamawe tuwekee na wasifu wa mpinzani wake tuone kama anajaa kwenye kiganja!
 
Punwwde nawaletea na wasifu wa mgombea wa ccm

Huyu jamaa anakubarika sana Maswa sijui kwanini wakati watu wake ni maskini sana. Wanamuita yesu au Luge(lango kuu) kila mmoja lazima apite apo. Jamaa nomaaa kawashika wapiga kura pazuri.
 
Anazo sifa za kuwa waziri wa elimu katika serikali ya UKAWA????

Bila shaka atakuwa na certificate ya ualimu,hivyo kwa vichwa vilivyopo UKAWA huyu ni miongoni mwa wasomi wa juu,anastahili kuwa Waziri wa Elimu maana kama sio huyu utampa Sugu au Lema?
 
Ndg wana JF

Mgombea Ubunge wa CHADEMA na ukawa jimbo la Maswa mashariki,diwani wa kata ya ipililo 1994 hadi 2015, mbunge wa 2010 hadi 2015 chadema na mwenyekiti wa kanda ya Serengeti CHADEMA kamanda kasulumbayi mhoja Sylvester, ni miongoni mwa wagombea ubunge wa chadema na ukawa wenye kushinda ubunge mapema kabla hata ya jogoo kuwika.

Kasulumbayi ni miongoni wa wanamageuzi wa kwanza kabisa kanda ya ziwa baada tu ya mfumo wa vyama vya siasa kuanza miaka ya 1992, Kasulumbayi kitaaluma ni mwalimu aliyelazimika kuacha kazi ya kufundisha baada ya mfumo kandamizi unaokataza mfanyakazi wa uma hususani upinzani kujihusisha na siasa.

Kasulumbayi Sylvester alijitosa kugombea udiwani 1994 na kushinda kupitia chama cha wananchi CUF , aliendelea hivyo kushinda chaguzi zilizofata mpaka 2008 alipoamua kujiondoa na kujiunga na chama cha ustawi na jamii chausta cha bwana James mapalala, 2008 hiyo hiyo uchaguzi mdogo wa udiwani ulitishwa bwana Kasulumbayi alijitosa tena kugombea udiwani kupitia chama chake kipya kwa maana ya chausta na kufanikiwa kushinda uchaguzi huo mdogo licha ya CCM kualikana kanda ya ziwa kwa kuwaita wabunge na madiwani wote wa CCM kwa ajiri ya kupambana na kasulumbayi japo waliambulia aibu na kutoroka kabla hata ya matokeo kutangazwa.

2010 kasulumbayi alijiunga rasimi na CHADEMA baada ya mashushuu hatari wa CHADEMA kunusa na kujiridhisha anafaa kugombea kupitia CHADEMA na ndipo alipogombea udiwani na ubunge jimbo la Maswa mashariki na kushinda nafasi zote mbili, kasulumbayi ametumia muda wake mwingi kujijenga na kujiongezea mashabiki kutoka makundi mbalimbali, Kasulumbayi anapendwa na wana CHADEMA, wana CCM, wafanyakazi, walalahoi, waendesha bodaboda, baiskel, matoroli, mama ntilie, wafanyabiashara vijana nk.

Kasulumbayi amehakikisha mradi wa umeme vijijini unakuwepo kila kijiji katika jimbo lake na amefanikiwa kwa 100%, na hakuna jimbo lolote Tanzania lililoweza kufanikiwa hichi kwa mjibu wa report ya REA, kasulumbayi ameusimamia mfumo wa jimbo kuhakikisha unawanufaisha wanajimbo kupitia vikundi, mashule,zahanati, upimaji viwanja, maegesho, uanzishwaji masoko, Barabara,ujenzi wa vyoo, uchimbaji visima vya maji nk.

Kasulumbayi amengia tena katikati kwa kuanza na ushindi wa mapema uchaguzi wa chama maoni kwa kupata kura zaidi ya 260 akifatiwa kwa mbali kwa kura zisizo zidi 30.

Kasulumbayi Sylvester Leo anatarajiwa kurudisha form yake ya ugombea ubunge ktk ofisi ya mkurungenzi Saa 6 mchana, kasulumbayi huyu ni nomaaaa na moto wa kuotea mbali, hongera kasulumbayi hongereni wana Maswa mashariki na hongereni wana CHADEMA na UKAWA na ktk mahesabu yenu hesabuni Maswa mashariki ni moja pampaneni kifua mbele kokote mliko huku mkiamini kasulumbayi ni mshindi wa mapema tu, kabla hata ya jogoo kuwika na kuku wa kienyeji kuku wenye nguvu kufunguliwa.

katekeleza ilani ya ccm 99% over
 
bwana wewe ebu jaribu kufuatilia kanda ya ziwa mashariki na kanda ya ziwa magharibi, ndio utafahamu hiyo mikoa inapatikana katika kanda gani. Ni wanasiasa gani mnaowahitaji kama ajenda ya vyama vyenu bado hamzitambui.!!!
Kaka hakuna kanda ya ziwa mashariki wala ziwa magharibi,chadema kuna kanda ya ziwa yenye mikoa ya mwanza,geita na kagera,........mara,simiyu na shinyanga ni kanda ya serengeti hujui chochote km kawaida yenu.
 
Pole sana mwana JF mwenzagu, chadema wana jumla ya kanda kumi(10) Tanzania bara kanda 8 ambazo ni 1.kanda maalumu ya pwani yenye mikoa ya pwani, kinondoni, temeke na ilala 2. Kanda ya kaskazini ni tanga, Kilimanjaro, arusha na manyara, 3 kanda ya kati ni morogoro, Dodoma na singida, 4. Kanda ya ziwa magharibi/ziwa Victoria kagera, geita na kwanza.5. Kanda ya ziwa mashariki/ Serengeti shinyanga, simiyu na Mara,6 kanda ya nyanda juu kusini ni iringa, mbeya. Njombe na rukwa, 7 kanda ya kusini ni ruvuma, Lindi na mtwara, 8. kanda ya magharibi ni katavi. Kigoma na tabora. Kwa upande wa Tanzania visiwani chadema wana kanda mbili ambazo ni 9.kanda ya ugunja ni mjini magharibi, ugunja kusini na kaskazini,10 ni kanda ya Pemba ni Pemba kaskazini na kusini.
 
Huyu jamaa anakubarika sana Maswa sijui kwanini wakati watu wake ni maskini sana. Wanamuita yesu au Luge(lango kuu) kila mmoja lazima apite apo. Jamaa nomaaa kawashika wapiga kura pazuri.
Like the MP like voters.
 
Back
Top Bottom