CHADEMA kama kampuni ya samsung, Lowassa Samsung galaxy note 7

Unashikingu ngapi mfukoni? Wakati wa JK ukituma ujumbe mzuri kama huu badaye una sabini yako ya kununulia mifuko ya sumenti
 
kumbe uzezeta una wengi, na wewe?
Kampuni ya Simu za Mkononi ya Sumsung yenye makao yake makuu katika mji wa SUMSUNG nchini Korea kusini ilijizolea sifa sana kwa utengenezaji wa simu nzuri sana na kufikia hatua hata ya kuua soko la Makampuni kama ya Motorola, Nokia na Apple.

Hivi karibuni Kampuni hiyo ilijinasibu kuwa tolea lake jipya la simu aina ya SUMSUNG GALAXY NOTE 7 kuwa aina hiyo ya simu ilikuwa salama licha ya kulalamikiwa mara kadhaa kuwa ilikuwa na matatizo.
Lakini simu hiyo inadaiwa kushika moto ikiwa mikononi mwa abiria ambaye alikuwa kwenye shirika la ndege la Southwest Airlines nchini Marekani, hiyo ikiwa ni mara pili kwa aina hiyo ya simu kulipuka kwa moto.
Kufuatia Matukio hayo mawili, Kamapuni ya SumSung Wamekiri kuwa simu hiyo ina matatizo ya Betri na tayari wameshaiondoa sokoni.

CHADEMA(KAMPUNI YA SUMSUNG) wenye sifa ya kutengeneza wagombea urais kutoka nje ya CHAMA hususan kutoka CCM, walipata umaarufu sana walipompata Dk. Wilbroad Slaa ambaye kwa kweli alitoa ushindani mkali kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
Aidha walijinasibu sana na mgombea wao mwingine kutoka CCM, EDWARD LOWASSA(SUMSUNG GALAXY NOTE 7) kuwa ni chaguo sahihi licha kulalamikiwa(kama ambavyo sumsung galaxy note 7 ilivyolalamikiwa) kuwa hana sifa ya kuwa rais hasa ukizingatia mazingira ambayo nchi ilikuwa nayo ya Rushwa, Ufisadi, Uzembe Kazini, Watumishi hewa n.k, malalamiko yaliyotokana na ukweli kwamba LOWASSA(SumSung Galaxy note 7) ni mmoja wa watu waliolifikisha taifa katika mazingira hayo.

MOTO wa rais Dk. John Pombe Magufuli kushughulikia Ufisadi, rushwa, Uzembe katika ofisi za Umma, Watumishi hewa n.k hakika LOWASSA ndani ya CHADEMA ni sawa na SumSung Galaxy Notem7. CHADEMA wamekosa dira kwa sababu hoja yao ya kupiga vita Ufisadi imekwisha. Hoja ya UFISADI imekwisha kwa sababu ya mambo mawili, mosi ni kukiri kwao kuwa Rais anashughulika na ilani yao ambalo ni jambo jema kukiri kuwa kilio chao cha siku nyingi sasa rais anakishughulia lakini PILI na amabalo ni muhimu ni kiendelea kwao kumkumbatia mtu ambaye walitembea nchi nzima kutangana tena wakisema wana USHAHIDI wa UFISADI wake, LOWASSA(SUMSUNG GALAXY NOTE 7). Mbaya kabisa(narudia ! Mbaya kabisa) wakiamini NDIYE tegemeo lao kwenye uchaguzi wa 2020. WASUBIRI SUMSUNG GALAXY NOTE 7 kulipuka kabla ya 2020.
 
Hakuna kampuni inayoitwa sumsung yani wewe jamaa ni kiazi sanaaaaa sasa ww una tifauti gani na bwana yule?
 
mtoa mada ni mtanzania kweli.....hujui kuwa uchaguzi umekwisha? by the way tunataka ajira, milion 50 kila kjj nk....
 
Naambiwa aliyetoa mada hii eti naye ni mbunge.
 
Hakuna kampuni inayoitwa sumsung yani wewe jamaa ni kiazi sanaaaaa sasa ww una tifauti gani na bwana yule?
Kiazi ni wewe.
Screenshot_2016-10-16-09-20-24.png
 
Back
Top Bottom