Piga kazi kijana usitegemee wanasiasa watakupa maendeleo. Hata CHADEMA wakichukua nchi watagawa pesa au watakupa mkate kila siku?
Aaaa Sawa kumbe wenyewe wanachofanya ndicho hicho!!!!. So si vibaya maana maendeleo ndio yanasonga mbele. Na hiyo sasa inafanya CCM kuwa imara au sio?
ishu sio kupewa mkate. mabadiliko ni lazima ili tuanze kukimbia badala ya huku kutambaa ama kutembea tufanyako. vua gamba kijana.
soonest, wananchi watachagua mabadiliko ya kweli. wameshagundua kuwa maendeleo ya kweli, hata hivyo hayawezi kuletwa na chama kile kile (cha magamba), na sera zile zile, eti kwa hali, nguvu na kasi zaidi! 2015 lazima patachimbika.
Kwamba maisha ni magumu na mishahara haitoshi mtawaambia?CHADEMA jana wameshaelezwa kinaga ubaga, tunakwenda Tanzania nzima kuwaona wananchi na kuwaeleza ana kwa nana ukweli wa mambo ulivyo, siyo hawa jamaa wanaowajaza uongo.
Kwanini hukwenda Jangwani jana? kulikuwa na msosi na 5000/= juu!Lakini katika mioto kuna mioto
Je huo moto CDM unasaidia nn nchi? kama sio uchu wa kutaka madaraka?
Mimi sina msosi na nimelala njaa hao CDM wanakula je ninapata faida gani?
Tuwe wakweli kuzunguka huku na huku na kutoa maneno haina faida yoyo sisi tunataka maendeleo bwana.
Wajaribu japo kuleta maendeleo hata kijiji kimoja Singida ambako watu njaa inawaua. Maneno matupu hayavunji mfupa bwana. Je hapo unasemaje?
Lakini katika mioto kuna mioto

siku zote bondia anayekwepa ngumi nyingi ndiye aliyepiwa.
mfano ipo mingi na ukiona anayekimbizwa ndiye kibaka
ukiona anayesutwa ndiye mbeya.
ukiona aliyetazama chini hajavaa nguo ndiye kafumaniwa.
ukiona aliyepanda kizimbani ndiye mshtakiwa.
ukiona anayepeleka watu uwanjani wakamshangilie hana sera.
ukiona mtu anaongea na watu waliovaa nguo za aina moja jua anawadanganya.
ukiona mtu anahutubia kundi la kina mama anatafuta huruma.
ukiona chama kinatumia makada watano wakati kina mawaziri 60 jua kimechoka.
ukiona mtu anaita barabara ni maendeleo badala ya nyenzo ya maendeleo ju kafilisika.
ukiona chama kinarudishiwa kadi baada ya wiki 2 jua kimenunua.
CCM oyee! Ni furaha ilioje chama chetu kuweza kukonga mioyo ya wananchi wa DSM waliofurika viwanja wa Jangwani kwa utashi wao na mapenzi kwa chama.
Timu ya jana imetoa salamu tosha kwa CDM kwamba CCM bado ni kipenzi cha wana darisalama kutokana na utekelezaji wa miradi yenye tija kwa wananchi wa TZ. DSM ikiwa ni kiwakilishi cha makundi ya watz toka mikoa yote, uwepo wa makundi mbalimbali ya wananchi ni uthibitisho kuwa CCM ni chombo cha wote tofauti ya CDM chombo kinachomilikiwa na watu wa Kaskazini.
Ni faraja ilioje kuwa mkutano wa Jangwani itafuatiwa na mikutano mingine Kinondoni, Ilala na Temeke ili kuwapelekea wananchi neno la matumaini kabla ya 2015.
Mikutano ya Ilala, Kinondoni na Temeke itafuatiwa na mlolongo wa mikutano katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Kigoma, Manyara, Mbeya, Mwanza, Ruvuma, Shinyanga na Kumalizia Iringa, hapo mwaka 2012 utakuwa umeisha. Miaka 2013 - itakuwa zamu ya mikoa mingine ikiwa na mazishi rasmi ya CDM katika mikoa ya ukanda wa Ziwa.
TAFADHALI MWANA CCM kuwa wazi na jasiri kutetea chama chako; KWA KUVUA GAMBA NA GWANDA, VAA UZALENDO
Nyie pigeni kelele tu mnadhani wenzenu bado miaka ya 2010. Sasa hivi CCM inabadilika. Kinachotakiwa CDM wabadilishe mfumo wa sera zao maana kiukweli kelele za CDM kimewafanya CCM wanabadilika.
USHAURI:
Wanatakiwa CDM wabadilishe mfumo wa Sera zao la sivyo mwaka 2015 itakuwa hivi:-
CCM 75%
CUF 10%
NCCR 7%
CDM 5%
UDP 2.5%
Others 0.5 %
Kuweni chonjo watanzania wanaakili sio wajinga. Vyama vyote vinatakiwa kubadilika
TRUTH SHALL SET YOU FREE
CCM oyee! Ni furaha ilioje chama chetu kuweza kukonga mioyo ya wananchi wa DSM waliofurika viwanja wa Jangwani kwa utashi wao na mapenzi kwa chama.
Kweli Mafilili mlikonga jana. Mitaa ya kwetu huku jet lumo walikuwa wanachukua elf tano kila mwanachama mlangoni unaposhuka kwenye coaster iliyowapeleka na kuwarudisha.
Hiyo ndo ilani pekee mliyoweza kuitekeleza, TAKRIMA NA BAKSHISHI. POLE.