HAHAhaaaaaa mbowe kishatepeta kaka usijipe matumaini tena mama kamzidi ujanja wala hajatumia nguvu nyingi kama za mwanzo tulieni watu walambe asali taratiiiiibuuuMbowe kiboko yenu. Anawatime muingie kumi na nane zake. Kutulia kwake msimwone bwege. Akitoa kichwa msianze kukimbilia silaha na vitisho. Mfuate Hilo likatiba lenu lenye maviraka mpa limechoka linasema halitaki tena repea.
Ndiye maana awamu ya 5 mwendazake alikuja na katiba yake kichwani. Kumbuka
Kwa kuwa sukumagang manachukia maendeleo ya kupiga hatua kutoka kwenye ile awamu yenu ya mwisho March 17, kazikweni tu paleKwani uhai wa nchi ni kuiondoa CCM madarakani?
Kabla ya kupewa nchi chadema ilipaswa kuwa mfano bora kuanzia uongozi wake yenyewe.
Miaka 30 kwenye siasa huku wakishindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu ya chama.
Wanaishia kulipa pango kwa mke wa Anthony Komu?
Na pale waliposhitukiwa ndio chadema imejtahidi kununua ile nyumba ya mbele tu.
Chama cha Baba mkwe amempa mkwe wake Uenyekiti na hataki kubanduka.
Wapi usafi wao!
Je!
Wana tofauti gani na CCM hii ya Wahuni kina Nape?
Mbowe anapigania Uhuru wa nchi gani?Mbowe kiboko yenu. Anawatime muingie kumi na nane zake. Kutulia kwake msimwone bwege. Akitoa kichwa msianze kukimbilia silaha na vitisho. Mfuate Hilo likatiba lenu lenye maviraka mpa limechoka linasema halitaki tena repea.
Ndiye maana awamu ya 5 mwendazake alikuja na katiba yake kichwani. Kumbuka
mbowe ni muhuni tu kama walivyo wahuni wengine yaani anawadanganya watu eti anatafuta uhuru wa nchi ganiMbowe anapigania Uhuru wa nchi gani?
Tanganyika na Zanzibar zilishakuwa Huru na kuungana kuanzisha Jamuhuri mwaka 1964
Tanzania ni taifa Huru linalotambulika na Umoja wa Mataifa.
Hizo ni fikra Mkuu fikra za Bavicha siyo hizo, Bavicha wao wanajua Katiba Mpya itawaingiza Chadema madarakani na watapata nafasi za uongozi.Dhumuni la katiba mpya sio kuing'oa CCM madarakani bali ni kuweka misingi thabiti ya maendeleo na ustawi wa watanzania wote bila kujali itikadi zao kwa kubainisha haki na wajibu wa viongozi kwa wananchi na wananchi kwa taifa lao. Tofautisha siasa chafu na mambo ya msingi
halafu wanaita chama cha democrasia yaani na wafuasi nao ni viazi tu hawana akili timamuFreeman Mbowe mwenyekiti wa CHADEMA kwa miaka takribani 22 hawezi kutuambia anapigania ‘demokrasia’
wanafikiri sisi watanzania ni wajinga kiasi hicho?Hizo ni fikra Mkuu fikra za Bavicha siyo hizo, Bavicha wao wanajua Katiba Mpya itawaingiza Chadema madarakani na watapata nafasi za uongozi.
Yaaani mnaongoza harakati za kudai Katiba Mpya ya nchi wakati nyie kwenye chama chenu hakuna Haki wala demokrasia.
Mtatushawishi vipi wakati nyie wenyewe chama chenu kinaendeshwa na sauti ya mtu mmoja.
ccm kwenye mama wa democrasia wamesha badirisha mara mbi katika miaka hiyo kumikumi tu yeye wa mnaisha chama cha baba mkweMiaka 22 yote ni Mbowe pekee anayeweza kuwa mwenyekiti?
Mbowe anapigania Uhuru wa nchi gani?
Tanganyika na Zanzibar zilishakuwa Huru na kuungana kuanzisha Jamuhuri mwaka 1964
Tanzania ni taifa Huru linalotambulika na Umoja wa Mataifa.
Naona mtu mmoja mwenye ID mbil tofauti akijibizana mwenywe. Na bado MWAMBA atawatia uchizi ukoo mzimambowe ni muhuni tu kama walivyo wahuni wengine yaani anawadanganya watu eti anatafuta uhuru wa nchi gani
Hivi kwa nini Chadema viongozi wake wakuu kwa maana ya Mwenyekiti makamu Mwenyekiti na Katibu na Katibu msaidizi bara wote wawe wa din ya upande ule.Na hivi kuna cku Chadema inaweza kumsimamisha mgombea urais asiyetoka kanisanAllah warrior bwana. Nani kalinganisha ni mwa-attach...-wack wock wack! Niambie ewe shujaa
Mbowe anapigania Uhuru wa nchi gani?
Tanganyika na Zanzibar zilishakuwa Huru na kuungana kuanzisha Jamuhuri mwaka 1964
Tanzania ni taifa Huru linalotambulika na Umoja wa Mataifa.
katiba mpya si kwa ajili ya chama ni kwa ajili ya wananchi kama chama kina matatizo yake basi ndo wapinzani wake wachukue kama point kwenye uchaguzi. Kama ccm inaona chadema haipo vizuri basi ijipatie point kupitia huo udhaifu lakini suala la katiba mpya ibaki kuwa takwa la wananchi kwakuwa wapo pia wana ccm wanaotaka katiba mpya nao unawaambiaje?KUBALINI UKWELI CHADEMA FANYENI MAREKEBISHO YA KATIBA YENU KWANZA
? MBONA CHADEMA PEKEYAO NDIYO WANALISHIKIA BANGO? SEMA TU HIYO NI AGENDA YA CHADEMA NA SIYO WANANCHI MBOAN MIMI SIITAKI?katiba mpya si kwa ajili ya chama ni kwa ajili ya wananchi kama chama kina matatizo yake basi ndo wapinzani wake wachukue kama point kwenye uchaguzi. Kama ccm inaona chadema haipo vizuri basi ijipatie point kupitia huo udhaifu lakini suala la katiba mpya ibaki kuwa takwa la wananchi kwakuwa wapo pia wana ccm wanaotaka katiba mpya nao unawaambiaje?
Ni utapeli tupuKama Mbowe aliingia 1993, Bob Makani alistaafu lini?.