CHADEMA jiulizeni kwanini baada ya mwaka 2015 wananchi wanawapuuza?

Unajidai hujamsikia katibu wako wa chama akilalamikia chaguzi fake mnazo endesha? Anasema haukna chaguzi CCM walizo shinda zaidi ya 35% kwa hiyo nyie mlio tumwa kuja kujipigia debe huku mitandaoni MNAJIFARIJI lakini wananchi wamewakataa ccm na mnalijua hilo...
 
Ndugu zangu,

Kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wananchi walifuatilia sana matamko ya viongozi wa Chadema. Siku hizi Mbowe au kiongozi mwingine wa Chadema anaitisha mkutano na waandishi wa habari wananchi na baadhi ya wafuasi wa Chadema hawajali na zaidi wanaishia kudharau.

Kabla ya mwaka 2015 taarifa kwa vyombo vya habari za mara kwa mara zilitolewa na Tumaini Makene na watu wengi walizingatia na kujadili siku hizi Makene haeleweki anafanya kazi gani hapo ufipa (makao makuu ya Chadema).

Mjadala wa leo utajikita katika sababu za nini kimetokea hadi wananchi wanapuuza matamko au taarifa za CHADEMA?
Hujui kitu kinaendelea au unajivisha upofu?
Huna tofauti na kuchungulia nyeti zako mwenyewe kisha unamwita mpitanjia na kumuuliza "eti hizi nyeti ni za kiume au kike?"
Hizo ni akili au matope?
 
Kama wananchi wameichoka CDM mbona mnazuia mikutano??
MaCCM kada mnafunga ofisi kunyima wapinzani form na kuwafuta wapinzani!
Mnatumia Polisi kukamata wapinzani na kuwaweka ndani!!
Hiyo ndo kuchokwa na wananchi??
Sikiliza uongo wa viongozi wenu na njama za kuuwa demokrasia!!
CDM ndio nini?wenzio wameenguliwa kugombea baada ya kuandika vituko
 
Hujui kitu kinaendelea au unajivisha upofu?
Huna tofauti na kuchungulia nyeti zako mwenyewe kisha unamwita mpitanjia na kumuuliza "eti hizi nyeti ni za kiume au kike?"
Hizo ni akili au matope?
Kamanda umesusa?
 
Ndugu zangu,

Kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wananchi walifuatilia sana matamko ya viongozi wa Chadema. Siku hizi Mbowe au kiongozi mwingine wa Chadema anaitisha mkutano na waandishi wa habari wananchi na baadhi ya wafuasi wa Chadema hawajali na zaidi wanaishia kudharau.

Kabla ya mwaka 2015 taarifa kwa vyombo vya habari za mara kwa mara zilitolewa na Tumaini Makene na watu wengi walizingatia na kujadili siku hizi Makene haeleweki anafanya kazi gani hapo ufipa (makao makuu ya Chadema).

Mjadala wa leo utajikita katika sababu za nini kimetokea hadi wananchi wanapuuza matamko au taarifa za CHADEMA?

Lete solution ww ingekuwa ndio Mbowe ungefanya nn
 
Wanapuuzwa wanao ogopa ushindani wa kisiasa hadi kujigeuza genge la kigaidi linalotumia mabavu ya dola kutawala badala ya kuwa chama cha siasa.
 
Press conference ya mwisho ilikuwa ya Dr. Wilbroad Peter Slaa, mwaka 2015. Wakati anaamua rasmi kuachana na siasa uchwara za CCM na CHADEMA. Hizi za sasa hazina mvuto, ni kama mikutano ya wenyeviti wa vitongoji.
 
Ndugu zangu,

Kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wananchi walifuatilia sana matamko ya viongozi wa Chadema. Siku hizi Mbowe au kiongozi mwingine wa Chadema anaitisha mkutano na waandishi wa habari wananchi na baadhi ya wafuasi wa Chadema hawajali na zaidi wanaishia kudharau.

Kabla ya mwaka 2015 taarifa kwa vyombo vya habari za mara kwa mara zilitolewa na Tumaini Makene na watu wengi walizingatia na kujadili siku hizi Makene haeleweki anafanya kazi gani hapo ufipa (makao makuu ya Chadema).

Mjadala wa leo utajikita katika sababu za nini kimetokea hadi wananchi wanapuuza matamko au taarifa za CHADEMA?
Akili zako ni vipi na ndiyo sababu ulishindwa shule, hivi kama Chadema imepuuzwa na wananchi inakuwaje CCM na polisi wanatumia nguvu nyingi dhidi yake! Kama umeshindwa kuelewa hili ni waziri hauna uwezo wa kufikiri.
 
Kwenye wagombea kukatwa mi Nina yafuatayo

MOSI: CHADEMA Walizidiwa ujanja na CCM kwa kuwafundisha wagombea wao

Na polepole ni muongo waliokuwa wanaratibu ni makatibu wa wilaya na kata na sio mawakili km asemavyo

Binafsi nimebahatika kuona baadhi ya FOMU sehemu ya 11 hawajazi chama kinacho mdhamini pia watu wanasahau hata kusaini pia fomu ya maadili wengine wanasahau

Pia makatibu wa wilaya hawakufanya majukumu yao kikamilifu KABISA hasa vijijini sjui kwa mijini huko

PILI: CHADEMA HAIKUJIPANGA KUPANGA MKAKATI MBADALA KUIZIDI DOLA hii kwa maaana hao CCM ndio wanaoclaim kuwa wanadola na ndio wenye haki na nchi hii lakini CDM waliridhika wakiamini ni km Mambo haya ni rahisi

Inasemekana kuwa huu mpango wa ukataji uliratibiwa na wazee wa system na ma ma RCS NA DCS WAKIWAPA MAAGIZO MA DEDS NA ROS NA AROS kuwa 75%. CCM wapite bila kupingwa lakini kwa mkoa km MANYARA kule mnyeti mpenda sifa kawashiniikiza WATENDAJI wakate wote na CCM WAPITE KWA 100% hata km mgombea hajakosea kujaza hii ni mbaya watu wanapandikizwa chuki kwa nguvu

TATU: VYAMA VYA UPINZANI VYOTEEE VIWE MAKINI INAWEZEKANA NEC HAIINGILIWI BUT 2020 INAWEZA KUWA KINYUME CHAKE HII NI NDOTO NIMEIOTA USIKU

HUU UKATAJI UMEZIDI WA MWAKA 2014

MAANA HATA 2014 WATU WALIKATWA BUT HUU NI U UMEVUNJA REKODI YA DUNIA

Bora 80 billions zingeenda kwenye miradi ya maji kuliko haya maigizo

LADHA YA SIASA IMEISHA TANZANIA
 
Akili zako ni vipi na ndiyo sababu ulishindwa shule, hivi kama Chadema imepuuzwa na wananchi inakuwaje CCM na polisi wanatumia nguvu nyingine dhidi yake! Kama umeshindwa kuelewa hili ni waziri hauna uwezo wa kufikiri.
wananchi hawaungi mkono malalamiko yenu?
 
Kwenye wagombea kukatwa mi Nina yafuatayo

MOSI: CHADEMA Walizidiwa ujanja na CCM kwa kuwafundisha wagombea wao

Na polepole ni muongo waliokuwa wanaratibu ni makatibu wa wilaya na kata na sio mawakili km asemavyo

Binafsi nimebahatika kuona baadhi ya FOMU sehemu ya 11 hawajazi chama kinacho mdhamini pia watu wanasahau hata kusaini pia fomu ya maadili wengine wanasahau

Pia makatibu wa wilaya hawakufanya majukumu yao kikamilifu KABISA hasa vijijini sjui kwa mijini huko

PILI: CHADEMA HAIKUJIPANGA KUPANGA MKAKATI MBADALA KUIZIDI DOLA hii kwa maaana hao CCM ndio wanaoclaim kuwa wanadola na ndio wenye haki na nchi hii lakini CDM waliridhika wakiamini ni km Mambo haya ni rahisi

Inasemekana kuwa huu mpango wa ukataji uliratibiwa na wazee wa system na ma ma RCS NA DCS WAKIWAPA MAAGIZO MA DEDS NA ROS NA AROS kuwa 75%. CCM wapite bila kupingwa lakini kwa mkoa km MANYARA kule mnyeti mpenda sifa kawashiniikiza WATENDAJI wakate wote na CCM WAPITE KWA 100% hata km mgombea hajakosea kujaza hii ni mbaya watu wanapandikizwa chuki kwa nguvu

TATU: VYAMA VYA UPINZANI VYOTEEE VIWE MAKINI INAWEZEKANA NEC HAIINGILIWI BUT 2020 INAWEZA KUWA KINYUME CHAKE HII NI NDOTO NIMEIOTA USIKU

HUU UKATAJI UMEZIDI WA MWAKA 2014

MAANA HATA 2014 WATU WALIKATWA BUT HUU NI U UMEVUNJA REKODI YA DUNIA

Bora 80 billions zingeenda kwenye miradi ya maji kuliko haya maigizo

LADHA YA SIASA IMEISHA TANZANIA

Mm naomba kuuliza swali moja, kwani ujazaji wa hizi form inakuwa ni kama unafanya mtihani wa form 4?
Coz kama mtu ameandika sehemu sio si ishu ya ww msimamizi kumwambia tu hapa hapana jaza hapa, kwa staili hii basi hapa Tanzania hakuna mtu angekuwa na passport wala kitambulisho cha nida Coz zile form ndio balaa kujaza
 
Back
Top Bottom