CHADEMA, Jipangeni na mpango huu wa serikali na vyombo vyake

ujiyo wa rais wa china TZ sidhani kama una tatizo. waliberali wa uingereza wakishirikiana na wamarekani hawaipendi china. TZ tuna imani na china kuliko nchi za magharibi. chondechonde chdm, msiharibu ziara ya kwanza ya rais mpya wa china barani africa.

watakao kaidi msije sema hatukuwaambieni! ohooo!
 
Back
Top Bottom