CHADEMA jimbo la Peramiho

CHADEMA jimbo la Peramiho

lazima tupige vita ukabila chadema wamezidi imefikia mpaka mzee mtei anamkakadhi uenyekiti mkwewe mbowe? sasa hao ni wa kupewe nchi?

@d-uchi ondoa hiyo A ya mwanzo kinachobaki ndiyo jina lako
 
hapana mangi wangu ila wanapenda pesa mpaka wanamwaga damu za wananchi.


wamemwaga damu za waliofukiwa hai bulyanhulu,imran kombe,kolimba,mtwara,nyamongo,zanzibar,walimng'oa kucha ulimmboka,walimuua mwangosi,wana maafande waliomng'oa meno,kucha na jicho kibanda etc etc etc etc..
ccm oyee
 
CCM ni washenzi.
Huyu Jenista mwenye asili ya parangu hapo peramiho lazima ang'oke. Anaongeaga pumba tu huyu dada.
 
huyu anaijua peramiho kweli au anaota ndoto za mchana? kwa vyovyote ni wale wachagga wa madaba anataka mtaji...mbona mbowe alivyoenda ruvuma aliishia songea mjini tu?

we jamaaaa mbona mbaguzi sana ww? very possible co mtanzania ww sasa umeamua ujiweke salama kwa kutukana wa chaga kama cover yako angalia tutaanza ufuatiia utaifa wako hopeless character we tabia gan hiyo?
 
ukweli ndiyo huo hata kama ni unauma? ni chama cha moshi-arusha chama cha ukabila ndiyo maana kijana aliyetulia kama zitto kabwe wanampiga vita.

aisee we jamaa ni mbulula sana kwa nn? nadhan unambwato ww sasa umekosa mmbatoji unahaha kutafuta wanaume wa kufanyie nakushauri kapumzike kama unawashwa. ukabila utakuua unataka kusema wachaga wote ni cdm? hv unatumia mavi kufikiri?
 
Tuwashauli mods waanzishe jukwaa la ukabila make naona kuna watu popote pale kwao ukabila ni topic ya kwanza

..sasa kama hapa ishu ya P eramiho wala hawajaongelewa wangoni ila tayari mtu kashaanza kuongelea kabila fulani,this is really bad. ya nini kama huna la kuchangia kuhusu hiyo sehemu ama haupajuhi vyema why can't you make your pity trench off?
 
Tuwe wazalendo jamani tuache mambo ya kuzungumzia ukabila ....kama CHADEMA kingekuwa chama cha ukabila basi hata Serikali ingemlazimisha Tendwa akifute ....na hilo lisingepingika na hakuna ambaye angebisha .....naanza pata wasiwasi kwamba CCM mnaiogopa CDM sasa mnataka kuwavuruga wanachama wa CDM na ishu ya ukabila ....

Tuache uzushi ...Changia hoja au pinga hoja kwa hoja....Kuwa Mtanzania sio Mkabila fulani

Mkuu hizi siasa za majitaka zinaudhi kweli. Sielewi wachagga wamewakosea nini. Hapo ndipo pia najiuliza ''ccm'' - au yeyote awaye - haiwataki wachagga kwenye chama chao. Kwa kweli inaudhi. Pathetic!! Imenenwa, kimtokacho mtu mdomoni ndicho kimjazacho moyoni. Search this, 'power of labeling' or 'the role of labelling in behaviour and attitude formation'. Mtoto ukimwita kibaka mwishowe anaweza kuwa hivyo. Kwa hiyo chadema ya wakristo; chadema ya wakatoliki; chadema ya wachagga; chadema ya wakaskazini ni 'labeling' itakayowafanya baadhi kuifuata chadema.

Jifunze kujenga hoja. Ngoja nikufundishe kwa mfano huu (nikijifanya ni mfuasi wa ccm): Ingawa chadema imeanza kujipenyeza songea vijijini hasa miongoni mwa vijana bado kasi yake ni ndogo kuliko ambavyo mtoa mada alivyobainisha - bila kuonesha ushahidi. Ccm bado imeshikilia ngome zake kuu zenye wafuasi waaminifu; wazee/watu wazima na wanawake. Makundi haya ndiyo wapiga kura wakuu kwenye chaguzi. Hawana papara na mabadiliko na wana subira. Huyatazama maendeleo kama mchakato wa muda mrefu. Kwa hiyo kelele za baadhi ya vijana wafuasi wa chadema jimboni Peramiho aliwezi kumng'oa mbunge Jenista Mhagama
 
mimi npo jimboni kwake kabisaa,hana lolote zaidi yakisauti chake chaumbea,juzi alikua nakikao kijiji chaluhimba njiani tu kuelekea songea mjini,kalialia wee kabanwa maswali nawananchi kinoma!bendera zinapatikana wapi nizifate....peoplessssssssssssss!maliziaaa
 
stupid ideas! wewe mpaka mhm Rais alisema jana mambo ya udini ukabila hautufai .kwenye akili yako huna uwezo wa kujenga hoja?unaongea ujinga kama huna are concrete idea lala..
"Any intelligent fool can make things bigger and more complex... It takes a touch of genius --- and a lot of courage to move in the opposite direction." - Albert Einstein
Never argue with a fool. People might not notice the difference. Mtu ambaye ni mkabila au mdini anaonesha kiwango cha juu sana cha ujinga kama siui upinda. Kwasababu hiyo hata ukibishana naye hataelewa. Dawa ni kumpuuza.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
lazima tupige vita ukabila chadema wamezidi imefikia mpaka mzee mtei anamkakadhi uenyekiti mkwewe mbowe? sasa hao ni wa kupewe nchi?

Kwa hiyo huko peramiho wanaohamasishana kujenga Chama chao ni Wachaga? Ukiwa -------- unakuwa -------- tu, kila kikutokacho ni upumbavu, hata pale pasipostahili. Kila unalochangia unaonyesha chuki dhidi ya Chadema, kwanini uteseke kiasi hicho kama si upumbavu? Pasipo upumbavu kuna kujitathimini; na ktk upumbavu hakuna utambuzi! Haiwezikani masaa24, siku 7, 30 hadi 365.25 wewe ubakie 'STATIC', no! Mtu gani?
 
Kwa wale watakao guswa na pengine wasiweze kufika Peramiho wanaweza kuwasiliana na katibu wa jimbo kwa number hii...0767117838.
 
Peramiho mbali kote huko songea mjini kimeshaeleweka mbona
 
Watu wengine bwn, kama historia ya miaka 15 tu unapoteza namna hii, hivi ikiisha pita miaka 30 si utakua kichwani huna kumbukumbu yoyote? Nenda tena darasani, au nenda hata kwa msajiri wa vyama bwn Tendwa akwambia, nani alikua mwenyekiti wa CDM wa kwanza and then alipotoka nani alimpokea na baada ya hapo nani alifuata, inaelekea na wewe ni kizazi cha akina Shukuru Kawambwa na Philip Mulugo.
lazima tupige vita ukabila chadema wamezidi imefikia mpaka mzee mtei anamkakadhi uenyekiti mkwewe mbowe? sasa hao ni wa kupewe nchi?
 
Hilo ni jimbo la Mwalimu Jenista Mhagama.
Mama anayejifanya mkereketwa na anayewashwa na sera mfu za Chama Twawala-CCM.

Huyu mama huwa ananikera sana anapochangia Bungeni. Kwanza anatumia energy kubwa sana kuwasilisha mchango wake. Ukimsikiliza unaona kabisa anahema kama vile anataka kufika kileleni wakti wa shughuli ile ya kula Daku usiku!

Lazima huanza na sentensi kama hivi,
''............Serikali yangu sikivu ya CCM inayoongozwa na Mhe. Jakaya Mrisho Kiwete...........Hii tozo ya Tshs.1,000/=kwa simu za mikononi ni hela kidogo sana hata wapiga kura wangu wa Jimbo la Peramiho wamenituma niliambie Bunge kuwa wanao uwezo wa kulipa....Baada ya kusema hayo naunga mkono hoja kwa 100%...."

Na hapo utasikia makofi na meza za Wabunge wa CCM wenye akili ndogo inayo ongoza akili kubwa wakipiga makofi na kugonga meza na viti!!!

Pambaf kabisa.
 
Back
Top Bottom