Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
tena hatujasahau, watazirudisha zote!!Nyie mnazo, si mmeiba za umma.
acha pumbanaomba chadema wamsamehe zitto ili ashuhudie makamanda halisi wanavalishwa mataji ya ushindi hapo mwakani na yy akiwa miongoni mwao
Safi sana kamanda...!
Makamanda wajitokeza kwa wingi kurudisha fomu za kugombea nafasi za uongozi katika Jimbo la Kinondoni hapo jana. Nawasilisha
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
heri cdm yenye fremu kuliko ccm ambayo uchunguzi unabainisha kwamba haijawahi kujenga ofisi nchi hii bali imepora majengo ya umma .
lile ghorofa mlilowanyang'anya wananchi pale ARUSHA limewasaidia nini ? Mbona MH LEMA ANAWABURUZA ?