CHADEMA jijengeni kiuchumi !

CHADEMA jijengeni kiuchumi !

Mkuu Chama,
Vip kuhusu Biashara ya Uchimbaji wa Madini, Gesi na kujenga majumba makubwa ya kupangishaaa ?
The Fixer
Mkuu bado ni utata tu tena mkubwa ETHICS ndiyo msingi mkuu biashara yoyote lazima ilipiwe kodi; kwenye biashara lazima kuwe na ushindani sasa hebu niambie ni biashara gani itakayofanywa na chama tawala itakayokabiliwa na ushindani? Vyama visaidie kutoa elimu ya ujasiri mali hilo linatosha sana kusaidia msukumo wa uchumi; lakini la chama tawala au chama cha siasa kuwa na leseni ya biashara tusidanganye

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom