CHADEMA Jaribuni kuwa Smart kidogo!

Pole Magufuli siyo Malaika,ni binadamu kama.Mimi na wewe.Ni mmoja Wa walio sababisha uvundo na hayo majipu hivyo basi atakosolewa tu
Mkuu nana unakaribisha matusi kutka kwa lumumba fc maana kwao magu ni kila kitu kuliko hata mungu
 
Nijinsi gani husivyo tumia akili uliyopewa na mwenyezi mungu,yaani kumuheshimu huyo magu wako ndio inatosha kuishi maisha mazuri bila ya kufanya kazi?
 
Nakuona wewe ni mgeni sana wa siasa hapa duniani au kifupi ni kuwa wewe ni limbukeni wa siasa
 
Mkuu umeshakula cha Arusha,,,,Unatokwa na povu kama unakimbizwa na Nyumbu
Mkuu huyo mwenyewe ni ngiri hivyo kufukuzwa na nyumbu hiyo ni kawaida sana kwake,tatizo ni njaa inamsumbua
 
Kusema raisi ndio kila kitu ni upumbavu na ukosefu wa fikra. Nyie ndio mmetumwa kukitetea chama. Crap!!!
 
Hawa ndio aina ya watu wenye mentalality primitive kweli,wao hata Rais akija kuwachukulia mke wanamsindikiza kwa sifa na mapambio.Wao wanaamini Rais ni kila kitu.
Wanatofauti na wale wanaoamini Mbowe ndio kila kitu?
 
Na andiko lako hili, na bado hujui kwanini walitoka Bungeni.
 
Maajabu haya... hata miezi sita bado unalalamika kwamba Rais katukanwa sana!!!! Yaani mtu hata kama ni mwana-CCM halafu bado ukatetea uhuni unaofanywa kwenye suala zima la mameya basi we mtu utakuwa na matatizo ya uelewa!
 
ukiwa kazi yako ni kudeki barabara huwezi kutambua hayo, yule jamaa mchunga ng'ombe analifahamu sana
 
Maajabu haya... hata miezi sita bado unalalamika kwamba Rais katukanwa sana!!!! Yaani mtu hata kama ni mwana-CCM halafu bado ukatetea uhuni unaofanywa kwenye suala zima la mameya basi we mtu utakuwa na matatizo ya uelewa!

Nafikiri anachomaanisha ni kwamba chadema wanamlazimisha Magufuli kushindana nao kisiasa ata kama hivyo vitu havikuwa akilini mwake.

Naona Zitto anamjulia Magufuli sana ndio maana atafanikiwa sana na halmashauri yake.
 
Chaga- dema. Wanayo damu ya upinzani lakini Mjomba usijali wataisoma namba tu na mwaka huu ndio mwisho wao hawa makajanja Chaga. wewe subiri tulimalize la znz kwanza
 
Bado ni mwanadamu kama wewe, anakosea kama vile ulivyokosea ulicho andika bila kufiri kwanza. Kukosesolewa ni sehemu ya kumrekebisha pale anapokosea.
 
Nafikiri anachomaanisha ni kwamba chadema wanamlazimisha Magufuli kushindana nao kisiasa ata kama hivyo vitu havikuwa akilini mwake.

Naona Zitto anamjulia Magufuli sana ndio maana atafanikiwa sana na halmashauri yake.
Zitto sio kwamba anamjulia JPM; bali nadhani ndio staili yake ya kisiasa... kwamba, if you can't fight them, join them-- and I like that version of politics coz' hii nchi ni yetu sote and no matter what, kwa sasa serikali iliyopo ni ya CCM na JPM ndio mkuu wake and so, it turns to be bulshit inapotokea mnapinga almost kila kitu only because upo upinzani, sawa na kuunga mkono kila kitu only because upo chama tawala!

Kuhusu CHADEMA na Magufuli; hiyo ni expected... hata yeye (JPM) am sure hakutarajia kwamba watakuja kumwacha a-relax. However, I hope na yeye atakuwa smart enough kama aliemtangulia (JK) kwa kuwapuuza pale panapolazimika kufanya hivyo na kuwasikiliza pale panapokuwa na umuhimu au ulazima wa kuwasikiliza... kinyume chake, wanaweza kumwondoa hata kwenye orbit aliyokusudia kupita!
 
Nimevaa suruali na shati jeupe kwa bahati mbaya nimepita kwenye hiki kibanda cha kuhifadhia Mkaa, nimechafuka kweli kweli. Aibu ilioje Barbarosa
 
Chaga- dema. Wanayo damu ya upinzani lakini Mjomba usijali wataisoma namba tu na mwaka huu ndio mwisho wao hawa makajanja Chaga. wewe subiri tulimalize la znz kwanza
Endelea kujipa matumaini yasiyokuwepo,Mwenzio alisema hvyo hvyo sasa hivi anapiga tu waandishi wa habari.
 
Milundi tatizo humu watu ni wabishi mno na wala hawajifunzi kutoka na wakati. Mh. Magufuli anachotaka ni mambo kwenda mbele sassa akitokea mtu hata kama ni Chama Pinzani akataka kumkwamisha. Walahi hatakubali Hili=o sijui kwa nini ChADEMA hawalioni! BAdo wana muda wakidhani siasa za fujo za migomo kwa awamu hii ndio dili wajue wamachemsha. Sasa hivi wataloose popularity! Actually wamekwisha-loose wanachotakiwa ni kuijenga kwani 100% hawana nguvu ya kupingana na Mh. Magufuli hilo ndio walijue wanaomuunga mkono ni wengi. I hope wanangalia vyombo vya habari hawajamuona mH. Mengi anakabidhi msaada mpaka jino la nwisho linaonekana????? Unadhani kwa nini??? I am sure 100% wamkwishaona faida fuilani za kiutendaji kwenye biashara zzao zinaenda vema! Sasa wakitaka kushindwa vibaya sana waendelee kuwasikiliza watu wa mitandaooni wakiwalostisha!
 
Ndiyo maana yake hapa TanZania raisi ndiyo kila kitu unaweza kupinga kama ukitaka lkn ndiyo hivyo, bila Raisi hakitembei wala hakisogei chochote, na smart people wanajua hilo, lkn chadema siyo smart people na ndiyo hawataweza kutoboa!
Nchi ilikaa bila Raisi since 2005 Mpaka 2015 halafu unasema bila Raisi mambo hayaendei
 
Mkuu nana unakaribisha matusi kutka kwa lumumba fc maana kwao magu ni kila kitu kuliko hata mungu

Siku hizi nimewazoea.Wakitukana nina warudishia tu taratibu bila hata kutumia nguvu na watakaa kimya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…