Tais wa nchi ndiyo kila kitu?
What kind of crappy oversimplification is that?
am sure penye "smart" ulikuwa unataka kusema "idiotic".Ndiyo maana yake hapa TanZania raisi ndiyo kila kitu unaweza kupinga kama ukitaka lkn ndiyo hivyo, bila Raisi hakitembei wala hakisogei chochote, na smart people wanajua hilo, lkn chadema siyo smart people na ndiyo hawataweza kutoboa!
am sure penye "smart" ulikuwa unataka kusema "idiotic".
it's only an idiot ndiye anayeweza kuwa na hii mentality ya eti "rais ni kila kitu".
Pole Magufuli siyo Malaika,ni binadamu kama.Mimi na wewe.Ni mmoja Wa walio sababisha uvundo na hayo majipu hivyo basi atakosolewa tuSikilizeni hapa nchini Raisi wa nchi ndiyo kila kitu, yaani huwezi kuanzisha vita dhidi ya Raisi wa JMTZ na ukashinda kwa maana Raisi ndiyo mkubwa wa kila mtu na ana uwezo wa kuajiri na kufukuza karibia kila mtu vile vile ana uwezo wa kufanya maisha ya yoyote yule ndani ya TZ yakawa magumu!
Hivyo basi kwa kuujua huwo ukweli na kuutambua chadema walipaswa wawe na akili kidogo kwenye kudili na Raisi wa JMTZ kwa maana yeye ndiye ameshika mpini, ikiwa na maana kwamba mtake msitake mnamuhitaji ili mamuweze kufanikiwa kwenye siasa zenu hapa TanZania, mlipaswa mlijue hilo!!
lkn cha ajabu chadema siyo watu intelligent kwa maana wanashindwa kutambua hilo matokeo yake wanamtukana na kumkejeli Raisi, wanasema hasafiri kwa sababu sijui hajui Kiingereza, siku Raisi anahutubuia Bunge walimdhalilisha na ktk nje ya Bunge kwa kumzomea, huku kwenye mitandao Viongozi wa chadema nyuma ya screen wanamtukana Raisi kutwa nzima na kumdhihaki!
Sasa haya yote Raisi anayasikia na yeye kama binadamu hayamfurahishi na inamuuma hata kama Raisi labda ulikuwa ni mpango wake kabisa kwamba labda aweke siasa pembeni na sasa atoe fursa sawa au karibia fursa sawa kwa vyama vyote hawezi kufanya hivyo tena kwani mmeshamtukana vya kutosha na kila mnapomtukana anasikia na anajua na ndivyo mnavyozidi kumgeuza kuwa mwanasiasa hata kama alikuwa hana nia ya kuwa Mwanasiasa!
Mlipaswa muwe clever hata kama Raisi kuna mahali amekosea basi mlipaswa muwe wastaarabu kwenye kumkosoa lkn siyo kumtukana na kumkejeli kwangu mimi chadema siyo watu intelligent kwa maana mmepoteza siajabu nafasi ambayo ni ngumu sana kuja kuipata tena, Raisi Magufuli hakuwa Mwanasiasa lkn sasa mmemgeuza kuwa Mwanasiasa na nina uhakika atadili na ninyi na hili JIJI sahauni kuliongoza kwani Raisi ana madaraka makubwa sana ya kuweza kuwafanyizia umafia kisiasa na hakuna kitu mtafanya, kwani mmeyataka wenyewe na hii ndiyo ilikuwa nafasi yenu lkn you blew up men!
It's over, next time kuweni smart kidogo, lkn swali next time itakuja lini tena, kumbukeni mnavyomtukana Raisi wa nchi mnaitukana Taasisi ya Uraisi kwa kifupi mnaitukana nchi sasa smart people hawafanyi hivyo!
Magufuli pia hayuko smart angejua kwamba yeye ni Rais wa watanzania asingelipiza kisasi na Pili angetreat watanzania wote sawa bila upendeleo wala uonevu.Na anhekaripia pale sheria inapovunjwa.Angekaripia hata issue ya Umeya au Z'bar ndiyo ningejua Magufuli ni Rais wa watanzania lakini mpaka sasa ninaona Magufuli ni Rais wa wanachama wa CCM tu.Pole kaka ndivyo tunavyomuona amasivyo abadilike.Atende haki.Vyovyote vile unavyotaka kuiita lkn huwo ndiyo ukweli, na ktk mazingira kama haya watu smart huutambua kwanza huo ukweli halafu ndiyo huangalia jinsi ya kuishi nao!
TanZania Raisi ni kila kitu, hauwezi kumzunguka kufanya kitu bila ya yeye kuridhia na huwo ndiyo ukweli!
Pole Magufuli siyo Malaika,ni binadamu kama.Mimi na wewe.Ni mmoja Wa walio sababisha uvundo na hayo majipu hivyo basi atakosolewa tu
Magufuli pia hayuko smart angejua kwamba yeye ni Rais wa watanzania asingelipiza kisasi na Pili angetreat watanzania wote sawa bila upendeleo wala uonevu.Na anhekaripia pale sheria inapovunjwa.Angekaripia hata issue ya Umeya au Z'bar ndiyo ningejua Magufuli ni Rais wa watanzania lakini mpaka sasa ninaona Magufuli ni Rais wa wanachama wa CCM tu.Pole kaka ndivyo tunavyomuona amasivyo abadilike.Atende haki.
Wakazi wa majiji makubwa kama Dar wanakuwa na ule ushamba wa kujiona eti kwa sababu wao wanaishi jijini basi wanajua kila kitu. Kuna mtu mmoja anakwambia JPM ni mshamba, yaani kwa sababu yeye anakaa Dar tayari anajiona anao uhalali wa kuwadharau watu wa mikoani. Kwa sababu mtu anaoga kwenye bomba linalotoa maji kutokea juu ya kichwa chake, kwa sababu anakwenda kazini na kurudi nyumbani akiendesha gari jipya, kwa sababu anaishi kwenye nyumba ya umeme, anasahau kuwa asili yake haswa ni kule shamba ambapo bibi yake anaishi kwenye nyumba ya udongo ambayo haina socket ya kuwashia taa. Dar ni jiji lililojaa malimbukeni wasiojijua kwamba wao ni washamba kama wale watu wa mikoani ambao wanaona ufahari kuwadharau.Haijalishi Magufuli amefanya au amesema nini yeye ni Raisi na Uraisi wa nchi ni taasisi hivyo unavyoamua kumtukana Raisi haumtukani Magufuli kama Magufuli bali unaitukana taasisi yaUraisi na kuitukana Taasisi ya uraisi unaitukana nchi, hivyo kama wewe ni mtu mwenye akili na unapenda kufanikiwa kwenye mambo yako unapaswa ulijue hilo na kuishi nalo!
Mkuu, mbona inachanganya issues? Hata hivyo hakuwaomba, aliwataka walipe kodi.Angekuwa kila kitu angewaomba wafanyabiashara walipe kodi??
Aliomba ndio maana aliweka time limitMkuu, mbona inachanganya issues? Hata hivyo hakuwaomba, aliwataka walipe kodi.
Ukiomba hutoi limitation maana halisi ya kuomba ni si chako kwahyo lazima uwe mdogo aliwataka walipe ndo maana aliwapa time limitAliomba ndio maana aliweka time limit