Mara nyingi tumeshudia cdm ikifanya harakati mbali mbali kama maandamano,midahalo na operation kuweza kuishinikiza ccm kuwajibika na kufanya mabadiriko ingawa siyo kila sehem.
Je cdm ikiingia madarakani itakubali vyama vingine kama ccm,cuf na tlp kufanya maandamano yanayo pinga chama na sera?
Je cdm itakubali kukoselewa kama inavyofanya kwa ccm.Pia cdm itakuwa tayari kuajibishwa na kufanya uamzi mgumu ambao vyama vingine hapa Afrika vimeshindwa?
Chadema itaingia madarakani kwa mlango upi?
Chadema itaingia madarakani kwa mlango upi?
Mlango wa nyuma tunafungua buti.Mkifungia funguo ndani sisi tunavunja kitasa.Chadema itaingia madarakani kwa mlango upi?
itakuingilia kwa nyumachadema itaingia madarakani kwa mlango upi?
KWani kasema uongo, yani nyie mnataka kujadili ndoto? Mada yenyewe ni kama hadithi za abunuasi sasa mjadili nini?Uki-mmaki mwita25 hatakusumbua naomba turudi kwenye mada, na si kujadili coment ya mwita25
Chadema itaingia madarakani kwa mlango upi?
Nikuongezee mengineMara nyingi tumeshudia cdm ikifanya harakati mbali mbali kama maandamano,midahalo na operation kuweza kuishinikiza ccm kuwajibika na kufanya mabadiriko ingawa siyo kila sehem.
Je cdm ikiingia madarakani itakubali vyama vingine kama ccm,cuf na tlp kufanya maandamano yanayo pinga chama na sera?
Je cdm itakubali kukoselewa kama inavyofanya kwa ccm.Pia cdm itakuwa tayari kuajibishwa na kufanya uamzi mgumu ambao vyama vingine hapa Afrika vimeshindwa?
Nikuongezee mengine
Je watavumilia wafuasi wa vyama vingine kuwazuia wake zao kupiga kura na kununua shahada za wengine kama njama za ushindi kama walivyofanya kule Mbeya, Tarime na sasa kule Igunga?
Je wataruhusu waandishi wa habari kusomea taaluma moja tu ya kumtukana Rais na serikali iliyoko madarakani kama ambavyo gazeti moja litokalo mara moja kwa wiki waandishi wake walivyojifunza?
Je wataendeleza sera yao ya U-majimbo kwa lengo la kuwagawa watanzania?
Chadema itaingia madarakani kwa mlango upi?
Chadema itaingia madarakani kwa mlango upi?